Kampuni ya sasatel yafilisika rasmi.

Ttcl sio inakufa ila inauliwa leo kwenye mkutano wa ccm alisimama waziri wa sayansi na teknolojia bila aibu akasema kuna sehemu nyingine makampuni ya simu hayawezi kutoa huduma kutokana na miundo mbinu na wateja wachache ila wametenga pesa maalumu kuyashawishi makampuni hayo yaweze kwenda kuwekeza.Kwanini hizo pesa wasipewe TTCL kwani kazi ya kampuni ya umma ni kutoa huduma unapoipa kampuni binafsi unaipa kwa manufaa ya nani?
Pia hayo makampuni pamoja na kutoa huduma lakini bado hayalipi kodi inayostahili akasema sasa tunajenga mtambo tuweze kujua faida zao halisi walikuwa wapi siku zote wakati jambo hili lilishalalamikiwa miaka miwili iliyopita

Na champion wa hili ni January Makamba. Mimi nadhani tukikomaa na wabunge wanaweza batilisha hili na hizi hela zikaenda TTcL. Ilakichwa uwa kinauma sana kila nikifikiria technologia yao ya CDMA. Na hii imechangia sana kutokuukua kwao. Sijihui nani aliwaingiza mkenge.
 
Wapendwa,
Nimepata taarifa toka kwa mdogo wangu aliyepo sasatel kuwa hadi leo hii hawajalipwa mshahara wa mwezi wa saba na ule wa mwezi wa sita walipewa nusu tu.inasemekana kampuni imeuzwa kwa wasanii wa kitanzania ambao hata hawajui jinsi ya kuendesha kampuni.wafanya kazi wanahofia kudhulumiwa haki zao zote.

Sasa wenye simu za Sasatel tutapata wapi huduma zao? MIMI NINASHIDA NA BATTERY YA SIMU YANGU YA WIRELESS HANDSET YA MEZANI NITAPATA WAPI BATTERY?
NAOMBA MSAADA
 
Sasa wenye simu za Sasatel tutapata wapi huduma zao? MIMI NINASHIDA NA BATTERY YA SIMU YANGU YA WIRELESS HANDSET YA MEZANI NITAPATA WAPI BATTERY?
NAOMBA MSAADA
nenda ofisini kwao...Masaki karibu na Coco beach
 
Breaking News:Sasatel yafa Rasmi.
Noma sana kuna mshikaji flani namjua aliacha kazi kwa mbwembwe akaenda Sasatel nadhani na yeye atakuwa anapumulia mashine,vijana wengi wanapenda sana maendeleo ya harakaharaka yakija makampuni mapya anakimbilia tu bila kutafakari anaacha sehemu aliyekuwepo miaka miwili anaenda kwenye kampuni ambayo haijui ina background gani anatema Big G kwa karanga za kuonjeshwa,Kuna kampuni ilikuja miaka ya 2008 inaitwa Hits Tanzania kampuni ya simu ilikuwa na prefix 0741xxxxxx ilinyang'anya wafanyakazi wengi kutoka kampuni za simu watu walikimbilia kisa walikuwa wanaenda kulipwa $3000 wakaacha kazi za huku walipokuwa wanalipwa 1.3m baada ya miezi mi3 wakakumbana na mtikisiko wa uchumi kampuni ikafa wakaanza kuemea mashine ahmad wengine wakapata zari wakaenda Equatorial Guine ndio ikawa manusura otherwise ilikuwa aibu maana walikuwa wamekaa miezi mi3 bila mshaara ikabidi wengine wakaanza kuuza magari yao haya makampuni mapya yanayokuja ni majanga sio mazuri kukimbilia...RIP sasatel
 
Dah huruma sana kwa mwekezaji. Yani katumia gharama nyingi kwenye kujenga infrastructure za mtandao then unakosa faida uliyoitaka. Pole yake aiseh. Soko limeshabana hili
 
Back
Top Bottom