Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,763
- 284,778
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Halafu vingi vina Atm machines , sijui anapataje hiyo channelVituo vya Meru vinaonesha vina management ya kueleweka.
Kipo pale Kahama ukipita utashangaa parking ilivyochafuka malori haijalishi ni saa ngapi.
Abood kaingiza 50 mbona swasikii wakitangazwa,Ndugu zangu naomba nitoea pongezi kwa kampuni ya mabasi Ester Express kwa kusikia kilio cha wasafiri hapa nchini.
Kampuni hii imeingiza mabasi mapya ili kurahisisha usafiri hasa mikoani. Hongereni sana.
View attachment 2568697
Esther ya mrombo, mountmeru vya Muhindi sjui uhusiano uko wapiVituo vya Meru vinaonesha vina management ya kueleweka.
Kipo pale Kahama ukipita utashangaa parking ilivyochafuka malori haijalishi ni saa ngapi.
Picha iliyowekwa ndiyo imefanya nizungumzie kituo ambacho basi lipo.Esther ya mrombo, mountmeru vya Muhindi sjui uhusiano uko wapi