BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,496
- 14,113
Mnalipia naili au huwa ni mnapanda bure? Mbona mna ujinga sana, au hio cmpuni ni Monolopoly kama Tanesco? hata Tanesco unaweza funga solar au ununue generatorYes but now ni hovyo, mnasubiri basi lije lioshwe then ndio mpande, muanze safari,
Usijipe umuhimu kwenye biashara za watu.yaelekea ni mtu flani una kiherehere sana.Simjui, ningekuwa namjua ningemface
Hao shabiby,dereva kupigana na abiria ni dakika sifuri. poor customer service.Bus inayo jielewa ni shabiby tu.
Hahhahah nimecheka sana mkuu, sasa kwanini hukusoma sms yote? kwahiyo mwajiri nae amekomaa nauli ni sh 100, halafu sikujua kabla ABC wana gari Tabora-Dsm?.Nina mpango wa kuwafungulia mashtaka. wamenikatia tiketi ya kieletronic nikatumiwa ujumbe kwenye simu kwa SMS bahati mbaya sikusoma SMS yote. Nimefika Dar napeleka madai kwa muhindi wangu ili anirudishie nauli yangu nakuta nauli imeandikwa TBR to Dar shs 100 (Mia moja) . Muhindi kagoma kunirudishia 50,000 niliyolipa akidai tiketi inaonyesha nimelipa sh 100.Nimeshaenda Latra wameniambia niende kesho. Shenzi sana hawa
Mawazo finyu.... Hakuna mahali ameandika Hana Hela. Unawaza kidogo sana.Tafuta ela nunua private vehicle hutajuta
Nimesafiri nao sana huu uzembe sijui wameanza lini, kwanini wasiweke mafuta ya safari nzima? maana Dar-Moro ni distance fupi sana kuongeza mafuta au wana kituo chao cha mafuta hapo, Singida-Dar nimetoka nao mara nyingi usiku na mchana pia.Siku zote ambazo nimesafiri nao usiku, siku zilikuwa mbaya
Last week wametuweka manzese mpaka saa sita kasoro, wakati gari ilitakiwa kuondoka saa 4
Unafika moro hotelin saa nane, noo food no anything yet wanaenda kuweka mafuta tunakaa tena Pale 45mn
Kwamba apande Upendo iliyochangamka?.Ungepanda Economy mzee achana na hizi za kijani na bluu
Mkuu sasa umetoka Dar saa 4 usiku, bado unahitaji kula tena wakati Iringa utafika saa 12 asubuhi?ππ Unakula saa 7 usiku si kujiongezea tu mavitambi yasiyo na msingiNapenda basi linalosimama kuanzia 30minutes wakati wa kula au mapumziko. Sio mnakula juu juu dakima kumi tu. Kilimanjaro pia Wana utaratibu huo.
Nimesafiri nao sana huu uzembe sijui wameanza lini, kwanini wasiweke mafuta ya safari nzima? maana Dar-Moro ni distance fupi sana kuongeza mafuta au wana kituo chao cha mafuta hapo, Singida-Dar nimetoka nao mara nyingi usiku na mchana pia.
Hujashikiwa mtutu kuipanda hiyo kampuniNalipa ela sipandi bure, na sio msaada
Mkuu,kuna people zinakula mpaka saa 9 za usiku,unajiuliza huyu mtu saa 9 za usiku anafakamia supu humu njiani ana tatizo gani?Mkuu sasa umetoka Dar saa 4 usiku, bado unahitaji kula tena wakati Iringa utafika saa 12 asubuhi?ππ Unakula saa 7 usiku si kujiongezea tu mavitambi yasiyo na msingi
Mkuu sasa umetoka Dar saa 4 usiku, bado unahitaji kula tena wakati Iringa utafika saa 12 asubuhi?ππ Unakula saa 7 usiku si kujiongezea tu mavitambi yasiyo na msingi
Iringa Dar kuanzia mwaka 2019 mpaka sasa Al Saedy hana mpinzani wa maana.Tayari washakua vimeo? Mbona route ya Iringa dar ndio walikua vibara hao.
Ohhh ni kweli hata Abood huwa wanawapeleka ofisini kwao kule moro ila sikumbuki kama inafika 45 minutes.Wanakituo chao cha mafuta pale cate hotel
Mimi pale huwa wananiboa kulazimisha abiria wote tushuke kwenye basiGari linapaswa kuondoka saa 4, but linaondoka saa sita kasoro, tunafika moro saa tisa, pale hotelin hakuna ishu yoyote ya kufanya kwa muda huo, watu wangechimba dawa na kuondoka, sasa wanashusha watu then wanaenda kuweka mafuta 45mn abiria wanapigwa na baridi tu nje