#COVID19 Kampuni ya kutengeneza chanjo za COVID-19, Moderna inatarajia kuanza majaribio ya Chanjo za UKIMWI mwezi huu

Corona ni janga la dunia nzima ila watu wanapinga chanjo za corona, unadhani itashindikana kupinga na chanjo za ukimwi?
Hiyo jeuri hakuna. Wadau wa kirusi huwadanganyi na porojo za chapa ya 666. Wanajua kirusi kipo na mapigo yake ni ya kuzimu. Ushuhuda uko dhahiri shahiri. Watakaopuuza ni wale wanaoishi maisha ya utawa na kujinyima raha za ulimwengu huu.
 
Kwanza huo ukimwi unafikiri watu wanauchukuliaje sasa hivi? hivi jambo lenye kushughulisha dunia nzima ila watu wanapinga chanjo ndio itakuwa chanjo ya ukimwi ugonjwa unaotusumbua sana sisi tu huku? tena mimi nakwambia ishu ya ukimwi ndio itakuwa rahisi zaidi kuliko corona kwa sababu kuna mauzauza kibao.
 
Wadau hii ishu ya chanjo ya ukimwi nilijua ni masihara,nimeona habari leo wenzetu Zambia wanaanza kupewa na baada ya hapo Uganda na Kenya watafuata.
 
Hizi fursa hizi, kwa hiyo maslahi ya viwanda vya kondom vipo mashakani?

Watu wengi hua hawaogopi mimba wala magonjwa mengine ya zinaa, wanaogopa ukimwi wanapotumia kondom. Chanjo ikipatikana si ndio zitapotea kabisa mtaani?

Hii ndio vita ya kiuchumi sasa!!!!
watafaidika wale wauza dawa za magonjwa ya zinaa but HIV, Na wauza dawa za kutolea mimba
 
Back
Top Bottom