#COVID19 Kampuni ya kutengeneza chanjo za COVID-19, Moderna inatarajia kuanza majaribio ya Chanjo za UKIMWI mwezi huu

hapo watakua wametushika watu weusi,tunapenda sana uzinifu,watatumaliza kwa haraka sana hapawatu watajitokeza kwa mamilioni,hakuta kua na haja ya kutangaza hata kwenye tvna kampuni ile ile ilotengeneza za Corona ndio imetengeneza na hii piatwifwa ludodo
 
Humo wakiweka chanjo ya COVID - 19 wakasema wanaotaka "Kuchanjwa" au wa "LA" wajitokeze hata kwa hela watakaokuwa wengi sio wa "LA..!!" bali ninwa kinyume chake....

Sasa jwa jinsi ninavyowajua wazungu tayari wameshafanya utafiti wao na kubaini kwamba ukitaka WAAFRIKA wachanjwe COVID kqa uwingi tuwaambie ni chanjo ya UKIMWI....!!!Ndo maana hata hata kwebye page za WIZARA YA KILIMO wanawasifia madenu weusi wa Rasta kumbe mmmmmmmmmh....!!!!
Hata mimi nimehisi mkuu.
Maana chanjo ya ukimwi ilishindikana kupatikana kwa miaka zaidi ya 40.
Leo kirahisi rahisi tu watuambie imepatikana,hapo akili kumkichwa.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Ahaa ndo mnavyotumwa, siyo? tunajua sana hila zozote mnazotaka kufanya. By the grace of God the Almighty we are far ahead than you think, there is no secret whatsoever....

Wala si suala la kutumwa. Dawa zoote na vifaa tiba unavyotumia viko chini ya uangalizi wa TMDA, leo hii kila mtu amekuwa FDA ya Tanzania, anasema sarakasi zake anazojua.

Ukimuuliza maswali ya msingi hakuna anachojua, ila kutumia influence yake anavyojua.

Ni nani anajua mlolongo anaopitia mtu ili aweze kuingiza dawa, chanjo au vifaa tiba hapa nchini?

Nani ametembelea na kujifunza jinsi crinical trials zinavyosajiliwa na uangalizi wake?
 
Si kama wa tz wengi hawaitaki chanjo.Shida ni kua chanjo aina hiyo hiyo ilikataliwaga marekanibaada ya wahanga kufariki kwa damu kuganda hapo ndipo shida utata,dillema ilianzia
 
Hebu ngoja tuone, maana HIV ni virus mmoja mtabe sana katika jamii ya virus...

Uwezo wake wa kuji cammoflage kujizalisha pasipo kushtukiwa, halafu kuwa dormant kwa miaka kadhaa bila kushtukiwa
 
Hapa ndiyo naipima akili ya mutu mweusi kama inafanya kazi.

Unapinga chanjo ya covid-19, je ya ukimwi pia utapinga? Wazinzi na waasherati munasemaje apo?
 
Efficiency rates za mwanzo zilikua based on previous variants. Hapo hata delta haikua imefikirika itakuja duniani. Lakini bado hizo vaccines zimekua na uwezo huo hapo ulioripotiwa. What an achievement by wazungu

Sikatai mkuu. Lakini sasa hivi si umeona wanasema zinashuka zaidi baada ya miezi sita kiasi cha kuleta booster?
 
Kati ya chanjo ya HIV na chanjo ya UVIKO, ni ipi ilitakiwa ije mapema.......mbwa hawa....

Sasa unatukana watu katika mishe zao za kutengeneza pesa ilhali hawawajibiki kwa mtu yeyote?

Ni kama kukutana na muuza mihogo ya kuchemsha ukamwambia: “fala wewe, badala ya kuleta chai kwanza, unaleta ...”
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom