Kampuni mpya ya fibre internet mjini ni matapeli?

Hivi kweli ndio nimeibiwa jameni?

Yaani wapo kimyaaa kama hakuna lililotokea kweli?
Hii savanna kweli ni matapeli aisee
 
Aisee sijui kimekukuta nini ila natumia internet yao hapa ina speed sijawahi kuona. Ikitokea emergency ukiwajulisha wanafika japo sio kwa muda ila wanafika.
Unalipa shilingi ngapi kuunganishwa na kwa mwezi unalipa bei gani kupata unlimited?
 
IMG_20250522_171216.jpg
 
Savanna ni mojawapo ya kampuni zinazofanya vizuri kwa sasa. Tumetumia kampuni kubwa mbili sizitaji ila zinazidiwa na Savanna.

Kama unaishi sehemu ya mbali hata uwaite Zuku, TTCL au nani lazima watachelewa tu. Kutokana na jina la kampuni kutojua hata kuliandika, basi hauko serious na probably unaishi sehemu ngumu kufikika.

Kabla ya kulipia kampuni ya fibre, tazama miundombinu yao kama iko karibu na wewe. Endapo uko mjini kabisa na wote wanakufikia, chukua Savanna.

Ni kawaida ya wabongo kutaka kila kitu kifanye kazi 100% wakati wao wenyewe ni wababaishaji. Mtu umejenga Tandale kwa Tumbo chini ya transformer ya TANESCO wahuni wanachoma chips, unategemea nini umeme usiwe unakata mara kwa mara.
 
Nipo kariakoo na hata mafundi wao wanaazima ngazi dukani kwangu kwa ajili ya shughuli zao, hawa ni wababaishaji na majizi tu hawana lolote

Jina nimelikosea kwa pengine kuna namna au ni typing error tu

Lakini ni hao hao SAVANNA
 
Back
Top Bottom