Kampuni mpya ya fibre internet mjini ni matapeli?

Kampuni mpya ya fibre internet mjini ni matapeli?

Narudia tena ni afadhali ya zuku mara milioni kumi kuliko hawa matapeli
 
Tatizo mipango miji
Maeneo yenu yenyewe hayajaka
Kimtaaa

Ova
Nipo kariakoo centre kabisa,

Ila unajua nini,
Hawa jamaa ni MATAPELI tu

Kwasababu sio mimi tu mbona wateja wengi wanalalamikia sana hawa
 
Hawa ni matapeli tu
Leo siku ya inne nimelipia na hawajanisogezea huduma na nipo kariakoo mtaa wa ndanda na tandamti na juu ya gorofa nilipo pana box lao la connection na kila nyenzo ila hawa ni MATAPELI tu
Siku ya inne? 🤣🤣🤣
Mkuu wewe ni mrundi?
 
Leo tu nimewapigia simu mara tano naambiwa mafundi wapo busy, mara wanakuja, mara sijui vuta subira,

Sasa nimeamua kesho mapema tu nakwenda pale ofisini kwao nimeambiwa makumbosho bm plaza au dm plaza sikusikia vizuri
Hapo ndio moto utawawakia,

Naomba serikali iwepo pale kwani lolote linaweza kutokea
 
Nipo kariakoo na hata mafundi wao wanaazima ngazi dukani kwangu kwa ajili ya shughuli zao, hawa ni wababaishaji na majizi tu hawana lolote

Jina nimelikosea kwa pengine kuna namna au ni typing error tu

Lakini ni hao hao SAVANNA
Hao majirani zako si wana alternatives? Zitafute usikie kilio.
 
Hawa ni matapeli tu
Leo siku ya inne nimelipia na hawajanisogezea huduma na nipo kariakoo mtaa wa ndanda na tandamti na juu ya gorofa nilipo pana box lao la connection na kila nyenzo ila hawa ni MATAPELI tu
Kumbe una siku nne umelipia. Unajua kuna watu walijiabdikisha TTCL fibre tangu mwaka jana mpaka leo hamna?

Zuku hao utalipia network ikate ukae wiki kadhaa. Wana ofisi mtaa wa Masasi na Likoma pembeni ya Mkombozi Bank panda juu wafuate.
 
Back
Top Bottom