Kampuni inayomiliki Tigo yabadili jina, sasa ni Honora Tanzania

MIC TANZANIA imefanya kazi kwa hasara kwa miaka mitatu mfululizo hivyo imeamua kuuza shares zake zote kwa kampuni ya HONORA ili nayo ijaribu na kama nayo itapata hasara ndani ya miaka mitatu itauza shares zake!

Hivi ndivyo Tanganyika inavyoliwa na wajanja kupitia sheria zetu mbovu za uwekezaji
Hasara tigo!?..tigo ndiyo kampuni ghali ya simu tz
 
Ni kwamba wawekezaji hupewa miaka 5 ya operation bila kulipa kodi then baada ya huo mda ndonhuanza kulipa kodi. Jamaa wanafanya 3 ama 4 years wanauza kwa madai wamepata hasara. Atakayekuja anaaza tena miaka 5 bure kudadeki
Duuuh huu uboya sasa...mfanyabiashara mdogo amewekewa tozo kibao kabla hata ya kupata leseni wafanyabiashara wakubwa wanapiga hela wanasepa..
 
Back
Top Bottom