Kampuni inayomiliki Tigo yabadili jina, sasa ni Honora Tanzania

Hisa ina husika vipi hapa? Excemption ya Tax inatolewa ukianza biashara na sio ukinunua hisa, kama ukinunua Hisa asilimia 27 unaondolewa kodi weka hapa ushahidi, si kila mtu humu ni mtoto mudanganye danganye tu.
Hizo hisa unanua na nini kama sio pesa? Hisa sio hisani ni biashara na biashara yoyote ina kodi.. Sijui unaelewa?
 
Wizi mtupu hapo wanabadili jina kukwepa kodi
MIC TANZANIA imefanya kazi kwa hasara kwa miaka mitatu mfululizo hivyo imeamua kuuza shares zake zote kwa kampuni ya HONORA ili nayo ijaribu na kama nayo itapata hasara ndani ya miaka mitatu itauza shares zake!

Hivi ndivyo Tanganyika inavyoliwa na wajanja kupitia sheria zetu mbovu za uwekezaji
Ukishindwa kutajirika Tanzania basi hakuna nchi nyingine unaweza kutajirika
 
Wajiite vovote ila Tigo ni matusi.
Jina la Tigo lilikuwepo kabla ya wewe kuwaza na kuita matusi (ngono).
Km umezaliwa 2015 na kuendelea sawa.
Ni sawa na kwa mpalange, jina hilo lilikuwepo kabla ya kizazi cha laana kubadilishwa na kuwa tusi
 
Huwa wapuuzi kama wewe siwajibu
Wewe ndio mpumbavu na huna ujualo, wewe ni Kima tu. Change ya ownership haina uhusiano na newly Formed Company. Hata hivyo kampuni ikiuzwa inabaki na TIN ileile, wateja walewale, wadaiwa walewale nk.

Ukinunua Kampuni unanua na madeni yake, operesheni zake hubaki kama zilivyo.

Tax exemption haitolewi kama akili zako zinavyowaza, pia kampumi mpya hupata only 6 months za kutofile Kodi za kampuni but kodi zingine hulipa kama kawaida.
 
Hizo hisa unanua na nini kama sio pesa? Hisa sio hisani ni biashara na biashara yoyote ina kodi.. Sijui unaelewa?
Hakuna aliekataa sio biashara, tunachokataa ni kwamba wakinunua hisa hawalipi kodi, kuanzia mwanzo wa uzi mnaambiwa leteni ushahidi hadi sasa hivi hakuna anaeleta ushahidi.

Leo umetumia Tigopesa? Hujakatwa kodi Ulivyo fanya Muamala? Umenunua Vocha? Hujatumiwa msg ya kukaa Vat? Msamaha upo wapi?
 
Kwenye hii thread hakuna hata mmoja aliyejibu kwa hakika unakwepa vipi kodi kwa kuuza kampuni au kubadili jina la kampuni.

Nitapata muda next time kuongea na consultant anayetufanyia mahesabu anieleweshe kuhusu hili, hapa JF zimejaa hisia kuliko fact.
Tuko JF members karibu au zaidi ya 1,000,000 humu.

Hatuwezi kuwa na uelewa na ufahamu unaofanana kwenye jambo moja.

Shea na wenzako unachikijua. Cha ajabu Kuna watu humu wanarushiana matusi Kwa sbb tu ya tofauti ya mitazamo na uelewa..

Hiyo siyo njema
 
Hakuna aliekataa sio biashara, tunachokataa ni kwamba wakinunua hisa hawalipi kodi, kuanzia mwanzo wa uzi mnaambiwa leteni ushahidi hadi sasa hivi hakuna anaeleta ushahidi.

Leo umetumia Tigopesa? Hujakatwa kodi Ulivyo fanya Muamala? Umenunua Vocha? Hujatumiwa msg ya kukaa Vat? Msamaha upo wapi?
Mbona sasa unachanganya mada? Hebu tutulie kwenye msingi wa mada
 
Does it make any difference?
Mimi Sio mwanasheria ila kwenye biashara tunagusa gusa hizi mambo, kampuni inakua treated kama mtu kisheria.

kama kampuni ina madeni na imefilisika basi itaendelea kudaiwa ile kampuni iliofilisika na sio mmiliki wa kampuni.

Ila kampuni ikuzwa Deni pia Lina transfer toka mmiliki wa Zamani kwenda mmiliki mpya.
 
Thank you for sharing..
 
Tigo cha Wote

Misemo Tigo sijui nani anawatungia

Cha Asubuhi
Our commercial brand Tigo, which derives from the Spanish word "contigo" which means "with you", has been active in Latin America from the beginning, supporting their digital transformation.
 
Inakuwaje hasara wakati kila kitu chao kiko monitored na TCRA?
MIC Tz ipo muda mrefu sana zaidi ya miaka 20
Hapo wamebadilisha jina la biashara ila shareholders ni wale wale
MILICOM NI KAMPUNI YA KIMATAIFA ILIUZA KAMPUNI ZAKE ZA AFRICA, ZINAZOJIENDESHA KWA BRAND YA TIGO KWENDA KWA KAMPUNI YA AXIAN GROUP, NA HAPA TANZANIA NDIO WAKAAMUA KUIITA HONORA TANZANIA
 
Back
Top Bottom