omari londo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 1,793
- 1,776
Suluhisho ni kutotumia chochote chenye uhusiano au harufu ya uccmKupitia mtandao wa twitter,kuna kampeni imeanza ya kuikataa kampuni fulani ya simu kwa tuhuma za kuvujisha siri za wateja wake.
Watu wameaandika jina la kampuni na nembo ya kiana na kisha kupiga mkasi wa mstari mwekundu.
Tutaeshimieni tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nijiuzulu Watoto wangu Wale maweIngekua nchi za wenzetu hapo bosi angejiuzulu na wangeomba msamaha
Watanzania wanashangaza sana.
Vodacom inamilikiwa na Ccm kama mwanahisa, kwa hali yoyote, Vodacom haiwezi kukubali mmiliki wake ahenyeshwe wakati wanaweza kutoa taarifa kwa chama kuhusu mambo mbalimbali yanayofanyika kupitia mtandao wa vodacom yanayokidhuru chama.
Binafsi nawapongeza vodacom kwa ushirikiano mkubwa wanaoutoa kwa chama tawala.
Wale wenye nongwa, kuna mitandao mingine wala hamjalazimishwa kubaki vodacom, nendeni mjiunge na mitandao ya mabeberu
Kuanzia Sasa nairudisha line yangu ya tigo. Voda natupa kule!!!Mwenyewe nimeivunjilia mbali
Pumbavu kabisa hawa mbwa
Kwa hiyo VodaCom wanawiwa kukisaidia chama cha CCM hata kwa kuvunja sheria? Kama ndivyo hili kampuni ni majanga.
Ohoo!!! Mdharau mwiba mguu huota tende!!!effect ya kampeni hiyo ni ndogo sana hata 5% sidhani kama itafika
maana watumiaji wako wengi ukiachana na nyie wa kwenye social media vijijini huko huwaambii kitu
effect ya kampeni hiyo ni ndogo sana hata 5% sidhani kama itafika
maana watumiaji wako wengi ukiachana na nyie wa kwenye social media vijijini huko huwaambii kitu
Yangu nimeipiga kiberiti. Kilangila.Mwenyewe nimeivunjilia mbali
Pumbavu kabisa hawa mbwa
.Watanzania wanashangaza sana.