kampeni za kivuta unga izi.Mi nawaomba kwa umoja kabisa tuanze kampeni hii ya kukataa kutumia vodacom labda akili itawarejea, haiwezekani sisi kama wateja siri zetu zinatolewa pasipo ruhusa ya mteja na kama haitoshi unafungiwa kupiga simu pasipo kutaarifiwa na kubwa zaidi tabia yao ya kupunguza vifurushi. Tuseme sasa inatosha voda wameota mapembe wakati sisi ndo tumewafikisha hapo.
# TuikataeVoda
# HawatufaiVoda
VODACOM wameonyesha udhaifu mkubwa sana. Ninatarajia watajitokeza waseme TCRA inapotosha.Vodacom wakamjibu kuwa wameagizwa na TCRA wafunge mawasiliano yake. Lakini baadae TCRA wakakanusha kuwa hawahusiki na tukio hilo na wala sio kazi yao kufungia watu mawasiliano.
tunaanza na huyu ili hao tunaowaendea wajue atutaki upumbavu kama huu!! kama kwote si salama tunaanza kupanda magari twende tukapashane habari afu tunarudi maana ukituma barua posta itafunguliwaungekuwa wewe Vodacom ukapewa amri kutoka huko zinakotoka ungekataa??
hebu acheni unafiki wakumnunia mnamjua voda mnamtwisha lawama bure tu.
haya mtoke voda muende wapi ttcl, Airtel, tigo, zantel Kati ya hao Kuna mwenye ubavu wakukataa maagizo kutoka huko yanapotaka
Wale ni ttcl na ttcl ni ya stone. Anachofanya ni kudukua tuuuHivi mfano uvamiwe na majambazi halafu huwezi kupiga simu polisi na huduma yako ya mawasiliano yamesitishwa kwa mda huo,kuna haja gani ya kutumia huo mtandao?hivi wale kina Membe na nape wanatumia mtandao gani
Nimewaandikia msg hawataki kupokea
View attachment 1168369
Hiyo simu umewahi kumiliki au bwembwe tu?Kwa kuwa vodacom wameamua kutumia tabaka dhalimu la watawala badala ya kufanya biashara...
Na kwa kuwa vodacom wameamua kuwa sehemu ya mhimili huo wa uovu, the axis of evil kama alivopata kusema Rais George W.Bush wa Marekani..
Na kwa kuwa sasa ni dhahiri wanashiriki kusaidia raia wema kufuatiliwa mawasiliano yao na kufanyiwa uhalifu na vyombo dhalimu vya dola...
Nimeamua kuungana na watanzania wazalendo walioamua kususia bidhaa za vodacom na hivi natangaza rasmi kuivunja vipande na kuichoma moto line yangu ya Vodacom ambayo nimekuwa nikiitumia tangu mwaka 2002.
Nimewaachia salio la Shilingi 0.56 kwenye akaunti yangu ya m'pesa...wale wafaidi.
May the unscrupulous and evil dogs of Vodacom go to hell and burn among the rocks!
Shubaaamit!
, wachana nao kabisa, nunulia mke na watoto mitandao mingine ila SI VODAKwa kuwa vodacom wameamua kutumia tabaka dhalimu la watawala badala ya kufanya biashara...
Na kwa kuwa vodacom wameamua kuwa sehemu ya mhimili huo wa uovu...