Kampeni ya kuikataa Vodacom

RIP Voda, ila utabaki nao Rostam na Fred maana hata watumishi was umma watakuwa TTCL

Wewe utaRIP VODACOM Tanzania utaiacha juu kileleni. Halafu watumishi wa umma ni 500,000 tu. Sijui una data za idadi ya watuamiaji wa simu nchini?
 
Airtel money serikali ya CCM ni mmiliki
 

Punguani wewe!

Wewe ni regime apologist!

Unatetea the biggest evil unaacha kumtetea mwananchi mnyonge kabisa!

Kusema mwingine ndio anaweza kudukua na sio Voda,you are just clueless!

Unaitoa Voda kwenye kudukua as if Voda is saint here!

Third Party agent anaweza kudukua na Vodacom pia inaweza kudukua the same way!

Sheria sio tatizo,kama Voda inaweza kusimama ikakataa uonevu kutoka kwa regime na waka-pay price kwa niaba ya mteja asie na hatia!

Voda sio some stupid box unaenda kusema nataka hiki mimi ni serikali,kuna ethics ambazo ni allowed worldwide zinasimamiwa na world bodies such as ITU,huwezi ruhusu udukuaji kis3ng3 s3ng3 maana serikali mbalimbali duniani pia ni evil like other evils!

ITU na GSM board inaweza fanya majukumu yake na ikigundua kwa udhibitisho kwamba evil regime inatumia makampuni ya simu yasiyo maaminifu kuonea wanadamu powerless wanaweza ban TZ from the world GSM board na mkaishia kupigiana simu za makopo kwenye kiinchi chenu wenyewe!

Wewe unadhani hii dunia unajiamulia kufanya unachotaka sababu wewe ni Jiwe?

Plus,sijui wewe uhakika kua sio Voda iliyodukua umeupata wapi maana huna uwezo wa kuichunguza Voda na serikali kwenye hili.Hata kama umechunguza tukuamini wewe kama nani?

Voda unaambiwa fungia namba ya huyu mama na huyu baba,kisa ni waandishi wa habari!Dukua huyu dukua yule kisa ni Waziri Mkuu aliepita!Dukua huyu kisa ni mwanachama wa Chadema,etc!Huu upumbavu usio na mipaka wewe ndio una utetea?!

Vodacom haikosi lawama hapa ku-act kama agent of evil kwa niaba ya evil regime!

Na hii chuki mioyoni mwa wananchi powerless itaifanya iwe number 2.Already Tigo ashakua number one karibu katika kila category!

Na nakuhakikishia,binafsi yangu nimejaa chuki na TTCL then Vodacom,TCRA na chochote connected to the regime!

Sijui wengine,binafsi yangu ndio hivyo na ninajua wapo wengine wenye chuki na hivi vi-agents of evil!

Makampuni makubwa tuliyotegemea walao yasimame their ground against this biggest evil of all times,hao hao ndio wameamua kuipigia magoti,sijui nani atatutetea against this bully!

I really dont know!

Our end,of us all,including you unaejiona leo upo salama sababu unatetea regime,your days are coming too!
 
Airtel ndo mikakati yao inafeli kila siku walikuja na vocha ya mia mbili walifeli wamefungua airtel money kila kona ila bado wamefeli
 
Bavicha ni mbumbumbu! Hata hapa mnatuma coments kwa lain ya Voda
 
Msipotoshe,issue sio kurekodiwa,issue ni kutoa/kuvujisha mawasiliano ya wateja kinyume na sheria taratibu tena kwa masilahi yenye mwelekeo wa kisiasa.

CCM bakini na voda yenu kwa masilahi yenu.
Swadakta !
 

Kumbe regime inapingwa hivi!😃😃 Basi sawa. Kila heri mtetezi wa wanyonge.
 
Povu la nini mtoto wa kike, kama hutaki/uhungi mkono kampeni yake au unaona haina mana wewe unaumia nini? Pita kimya mwache na kampeni yake. Je lazima kuunga mkono kila jambo?
Pumbavu! Hii nayo mtaishia patupu kama kipindi kile.

Sikia, watu hawatumii Voda sababu Lema au Msigwa au Mbowe kasema tumieni, Bali wa natumia voda sababu ya huduma zao,

Huduma zao ndio zitakazoamua uitmuie au laa!

Wakati mwingine tumieni akili.
 
nina laini 3; voda, tigo na airtel(nimesajili hapa majuzi).

Hata hivyo laini yangu napigiwa ila sipatikani ingawa nipo hewani... sasa ukichanganya na haya mazagazaga haya basi ndo naachana nayo kabisa...
Bye Bye Vodacom...
 
Kwa hiyo na wewe kwa akili yako unaona voda inaweza kufa sababu wateja watahama kwakuwa hawatunzi faragha zao?
. Zipi hasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…