Kampeni ya kuikataa Vodacom

Vp mkuu mbona umeshupaza shingo kutetea sana.
Kila mtu ana choice,watu wameamua ku boycott hio company waache tu,maybe its the beginning of the new 'era'
 
Gharama ya kujenga utawala wa Sheria na wa Kidemokrasia ni Madaraka na Vyeo vya watu wasio waadilifu kupotea.

Lakini Gharama ya kujenga utawala wa Kiimla wa Chama kimoja ni roho za watu wengi wema na Waadilifu Kuangamizwa.

Taratibu nchi ya Congo Brazavele itabaki na watu wenye Hulka na roho za akina Sipriani ,Kheri na DC .Sambaya, Ally Happiness , Kondakta Paulo, na wengine wanaolinda vyeo vyao kwa kuvunja sheria na hata kuhamasisha umwagaji wa damu.

Kule Burundi nia yao sasa nikuona kuwa ngazi za Chini sasa Wanabaki watu waoga tu na kule ngazi za juu watu katili ,walafi,wabinafsi, wakabila ,wadini,wasio na hofu ya Mungu ,walevi,wahuni,wasiotosheka na chochote ,wanafiki, waongo, wanaosema amani amani machoni pa watu lakini mioyoni mwao wamejawa na chuki , waovu wakuu na wenye Kiburi Wakisaidiwa na waganga na wachawi na mabunduki vifuani mwao.

Kule nchi kwao Kila mwenye Cheo sasa hivi anajitahidi sana kuangamiza Demokrasia na utawala wa sheria kwa kisingizio cha Uslama wa nchi as if utawala huu uliingia madarakani kwa mapambano ya Kivita yaliyotokana na vurugu badala ya Demokrasia .
Leo hii watu wachache waliokuwa wameaminiwa kwa upendo kabisa na wananchi na wanaowalipa kwa kodi za watu wengi wamegeuka ghafla kuwa tishio la maisha na uhai wa watu kama Israel mtoa roho wameamua kujipa jukumu la kupanga nani aishi na nani asiiishi.
Wametoka kuhujumu watu kisiasa mpaka kwenye kuhujumu maisha na uhai wa watu.

Afrika tunarudi kwenye Zama za Mafaraoh waliojiita miungu wanaopaswa kuabudiwa na kusifiwa na kila mtu na asiyeanguka na kusujudu mbele yao aliangamizwa.
 
Tusishabikie uovu .
Usilinganishe tishio la usalama wa nchi na tishio la vyeo vya makabila ya watu na marafiki za watu.

Watu wakijipanga kumtoa madarakani MTU kwa mtutu wa Bunduki hao ni wahaini na wanatakiwa wakamatwe na kushitakowa mahakamani au kukaa kizuizini lakini watu wakipeana taarifa za kutumia Demokrasia kumkataa mtu( na serikali yake ya watu wachache waliojawa na roho za za ubinafsi ,Chuki ,uroho wa madaraka ,uuaji na ukabila) na kumnyima kura wakati wa uchaguzi ukifika hawawezi kamwe kuwa Maadui wa Nchi.
Maadui wa nchi ni hao wanaotumia mitandao kuwatafuta watu ,kuteka,kutesa na kuua watu.

Kwa nini hawakutumia mitandao kujua waliompiga Lisu Risasi ili haki ya kiusalama itendeke kwa wote,? Kwa nini hiyo mitandao haikutumika kujua waliomteka Ben,Azori na wengine wengi?

Kwa nini vyeo vya watu waovu vimegeuka kuwa ndio usalama wa nchi?
Hivi ni nani mwema kiasi cha kujitwika Jukumu la kutoa hukumu bila kumpeleka mtu mahakamani?

Hivi huoni kuwa huu mtindo wa kuwaua na kuwapoteza watu utafikia siku pa kulipizana visasi kwa jino kwa jino wakati ambapo hata mitandao itakua haitumiki tena mana hata hiyo mitandao yao watu hawata itumia tena.?
Hivi wanavyopigana wakulima na wafugaji ni kwa sababu ya usalama wa nchi au wanatetea Mali zao na maisha yao?

Kwa nini hatujifunzi kwa Watu wenye maarifa kama wazungu kuwa ,ulinzi ni jukumu la kila mtu kuwa na amani na uhuru. Ukiwa na amani huwezi kuwaza kumuua mwenzako.
Wasio na amani siku zote ni wale waroho na wabinafsi wenye vyeo. Hofu yao kubwa ni kukosa madarakani na kuona wenzao wanapata na wanadhani kuwa wenzao watakula na kujilimbikizia Mali kama wao walivyofanya.

Angalia wote wanaotumika kuhujumu Demokrasia ni wale wale ambao angetokea Malaika akaambiwa aangalie Mali walizojilimbikizia na mapesa wanayonyanganya watu na kujilimbikizia na ufahari wa kila aina hakika wangeomba milima iwaangukie ili wajifiche wasiumbuliwe.

Hakuna mtu mwema mwenye hofu ya kukosa.
Mtu mwema akikosa anamshukuru Mungu na kujipanga tena wakati wake ukifika atamuinua tena.
Watu waovu wakipandishwa wanamsahau Mungu na kutupa ngazi iliyowapandisha.Wanaamini nguvu zao ndizo zitakazowasaidia kudumu kwenye madarakani yao.

Nchi ikiwa na Uhuru na Demokrasia ya kweli adui wa nje na ndani hawezi kuingia. Ndio maana nchi nyingi za magharibi hazina vita vya wenyewe kwa wenyewe visivyoisha kama Afraka na Asia.
Hivi Mtu ambaye wazazi wake wamepotezwa na magenge yasiyojulikana lakini hayatafutwi atakuaje na amani na kuipenda nchi yake. Bora mtu apotezwe kwa Uhalifu kama wizi ,ujambazi na uuaji lakini sio kwa sababu anakosoa watawala ambao ni binadamu wenye makosa.
 
Vp mkuu mbona umeshupaza shingo kutetea sana.
Kila mtu ana choice,watu wameamua ku boycott hio company waache tu,maybe its the beginning of the new 'era'
Nadhani watu wameamua kuukataa uovu na waovu na shughuli zao zenye kuwapa jeuri ya kushabikia uovu. Hii itafikia mahali hata wenye kutoa huduma nyingine wakigundulika kuwa wanaunga miguu na mikono uovu watasusiwa huduma zao.

Mtu anakasehemu kake ka kutoa huduma ya mpesa halafu anashabikia utesaji na uuaji na utekaji huku akiwa ametundika kibendera chake , akiwa amevaa kikofia na kitisheti chake cha nyasi na sketi au suruali ya rangi ya Mkaa . Hapo nani mtu mwema na muadilifu mpenda amani na utu atafuata huduma yake?
 
mimi nitatafuta line nyingine kunipata mpaka watu wawili watatu wachezeshe chezeshe ndio mtanipata
 
Easily best comment of 2019!

Exactly my sentiments!
 
Ulishajaribu halotel mkuu?
 
Kuna kiazi mmoja kule Twitter katoka voda kaenda ttcl😂😂😂
 
hivi vita inaweza kuja kuwa ya kibiashara zaidi...
Privacy ni ishu kubwa mno kwenye ushindani
 
Mimi ni mwanahisa wa Vodacom. Ninawaomba kujua taratibu za kuuza hisa zangu za Vodacom kwa sababu zifuatazo:- (1) Tangu ninunue hisa sijapata faida niliyotarajia. (2) Huduma za vodacom kuanzia vifurushi, taratibu zao na mengineyo mengi hayaridhishi. Nimeaona niachane nao niendelee na Airtel ambayo kwa kweli inafanya kazi kwa ajili ya wateja.
 
Wewe kuniita b1tch ni dalili tu za akili yenye mapungufu kwa hiyo sikurudishii. Makampuni ya simu hayana uwezo wa kudukua simu za wateja, mfano, mazungumzo halisi. Data wanazoweza kutoa ni za mwenendo wa mawasiliano tu. Udukuzi hufanywa na wengine kwa teknoljia zingine. Hizo za kudhibiti matumizi ya line ndo nakwambia na narudia kuwa unaelekeza hasira zako sehemu isiyo sahihi. Wanalazimika kutii sheria. Kwani wakiambiwa na mamlaka zuia line hii kwa sababu zilizo ndani ya sheria wao wanatakiwa kwenda mahakamani kwa niaba ya mteja kuthibitisha?

Haya, tukishaiacha hiyo VODA ndo too much power itaacha kutumika? Ni akili kupinga too much power kwa kuisusia kampuni ya simu? Halafu sioni tofauti yako na jiwe kwenye kutumia too much power. Nawe ni mkurupukaji na mropokaji. Vodacom wanajua kila mteja anafanya kazi gani au ana tuhuma gani mpaka useme kuwa wameshiriki utekaji? Hiyo move ya kuikataa VODA fanya wewe na wenzio wenye akili zinazofanana. Mimi siachi kutumia VODA leo wala kesho.
 
Kama kichwa cha habari kinavyo elezea nawaomba wapenzi na Mashabiki wa Simba tuipuuze EFM kwani ndio wanaozunguka kila siku katika kipindi chao cha sport HQ kuitafutia Simba migogoro ili tufanane na yanga. Tuwapuuze na tubakie na Radio one yetu na Clouds radio ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…