Kampeni Ya Kataa Ndoa Ilitabiriwa Zamani Itakuja Nyakati Za Mwisho

Samson Ernest

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2014
Posts
1,118
Reaction score
1,565
Kama utabiri utatolewa alafu usitimie huo utabiri bila taarifa za uhakika kutoka kwa Mungu, utakuwa utabiri wa uongo.

Kama kile kimeandikwa kwenye biblia kisiwe kama kilivyosemwa, tutakuwa hatuna haja kuendelea kujivunia neno la Mungu.

Tunajivunia neno la Mungu(biblia) kwa sababu ilituambia mapema yale ambayo tungeyaona waziwazi.

Najua umeona kampeni ya kataa ndoa ikiendeshwa humu kwa nguvu kubwa na kwa ujasiri, na wapo watu wamelipokea hili na kuanza kuliishi.

Napenda uelewe kuwa jambo hili lilionekana mapema litakuwepo, na sasa limekuja na tumeliona humu jamii forum.

1 Timotheo 4
1 Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani;

2 kwa unafiki wa watu wasemao uongo, wakichomwa moto dhamiri zao wenyewe;

3 wakiwazuia watu wasioe, na kuwaamuru wajiepushe na vyakula, ambavyo Mungu aliviumba vipokewe kwa shukrani na walio na imani wenye kuijua hiyo kweli.

Yeyote anayehubiri au kufundisha kuchukia ndoa ya mwanaume na mwanamke hawapaswi kusikilizwa na kuaminiwa.

Mwanaume kuoa mwanamke ni mapenzi ya Mungu jambo hilo liwe kwetu, na sio vinginevyo.

Mungu akubariki sana
 
izo zilizotabiriwa ni itikadi za kidini,
usabato pamoja na uroman.

huwezi kuwa padri mpaka usioe.
unalazimishwa usioe ndio utumikie
 
Huyu aliyeandika mwenyewe hakuoa. 😂😂😂
 
izo zilizotabiriwa ni itikadi za kidini,
usabato pamoja na uroman.

huwezi kuwa padri mpaka usioe.
unalazimishwa usioe ndio utumikie
Si wote wanaishi katika hali ya utakatifu,
 
Mtu kama ana kipato na nguvu za kiume, akili timamu lazima ataoa. hawa kataa ndoani watu wenye matatizo mengi,kati ya hayo niliyosema.

Tatizo la kiakili au kisaikolojia, umasikini na umeme unaweza kuwa tatizo katika kende studio.

Mtu anaweza kuoa ahalafu akaachika au kuacha, akajikuta anaogopa au anakerwa na ndoa...huyu anatakiwa atibiwe. The rest ni watu wenye mapungufu na ahawataki kutibu mapungufu yao. Achana nao teh teh uzeeni huwa wanatia huruma sana, sababu hata uwe fala vipi ukianza kufika 50"s kwenda juu kama haujawa kichaa busara zinaanza kuja automatic, hakuna majuto mabaya kama ya kuachwa na muda.

Hawa ni kama wale wanaosema shule haina maana lakini wanakazana kuwapeleka watoto wao shule 😀
 
Kama utabiri utatolewa alafu usitimie huo utabiri bila taarifa za uhakika kutoka kwa Mungu, utakuwa utabiri wa uongo.

Kama kile kimeandikwa kwenye biblia kisiwe kama kilivyosemwa, tutakuwa hatuna haja kuendelea kujivunia neno la Mungu.

Tunajivunia neno la Mungu(biblia) kwa sababu ilituambia mapema yale ambayo tungeyaona waziwazi.

Najua umeona kampeni ya kataa ndoa ikiendeshwa humu kwa nguvu kubwa na kwa ujasiri, na wapo watu wamelipokea hili na kuanza kuliishi.

Napenda uelewe kuwa jambo hili lilionekana mapema litakuwepo, na sasa limekuja na tumeliona humu jamii forum.

1 Timotheo 4
1 Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani;

2 kwa unafiki wa watu wasemao uongo, wakichomwa moto dhamiri zao wenyewe;

3 wakiwazuia watu wasioe, na kuwaamuru wajiepushe na vyakula, ambavyo Mungu aliviumba vipokewe kwa shukrani na walio na imani wenye kuijua hiyo kweli.

Yeyote anayehubiri au kufundisha kuchukia ndoa ya mwanaume na mwanamke hawapaswi kusikilizwa na kuaminiwa.

Mwanaume kuoa mwanamke ni mapenzi ya Mungu jambo hilo liwe kwetu, na sio vinginevyo.

Mungu akubariki sana
Nyakati za mwisho ni nyakati zipi. Kwenye maandiko wametaja tarehe ambayo zitaanzia hizo nyakati za mwisho? Tangu nikiwa mdogo nasikia nyakati za mwisho halafu huo mwisho naona haufiki
 
Ni upeo wetu wa kibinadamu unaona hivyo,
 
Back
Top Bottom