Ukishaitumikia CCM usomi nao unaisha. Unakuwa "JINGA"IGP Mteule E.Mangu ni jembe la ukweli cool contented na msomi mwenye uzoefu wa kutosha katika ofisi ya IGP.
Tunategemea mabadiliko ya ukweli jeshi la polisi.
Hongera sana Mkuu.

![]()
Ndiye huyu? RPC wa Mkoa wa Mwanza, Naibu Kamishna wa Polisi, Ernest Mangu.
mambo yangu ni poa.
Pole tena kama ulitapeliwa hapa hapa mtandaoni.
Atakayechukua nafasi ya Saidi Mwema kama IGP Ni Kamishna Ernest Mangu.
Ataapishwa kesho.
![]()
Ernest Mangu
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatatu, Desemba 30, 2013, amemteua Kamishna wa Polisi Ernest Mangu kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini.
Taarifa iliyotolewa usiku wa leo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue inasema kuwa Kamishna Mangu anachukua
nafasi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini anayestaafu, Saidi Mwema.
Kabla ya uteuzi wake unaoanza keshokutwa, Januari Mosi, 2014, Kamishna Mangu alikuwa Mkurugenzi wa Inteligensia ya Jinai (Director of Criminal Intelligence)katika Jeshi hilo la Polisi.
Aidha, taarifa hiyo inasema kuwa Rais Kikwete amemteua Kamishna Abdulrahman Kaniki kuwa Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi, ambayo ni nafasi mpya katika muundo wa sasa wa Jeshi la Polisi.
Kabla ya uteuzi wake, Kamishna Kaniki alikuwa Kamishna wa Uchunguzi wa Kijinai (Commissioner for Forensic Investigations).
Mkuu wa Jeshi la Polisi mpya ataapishwa kesho, Jumanne, Desemba 31, 2013 katika Viwanja vya Ikulu, Dar es Salaam.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.
Umri utakuwa umemtupa mpaka muda huo,nadhani alipo panamtoshaKova anaweza kufuatia baada ya huyu.
hicho kitengo cha inteligence amekishikilia kwa mda usiofika hata mwezi,kumbuka alikua RPC wa mwanza mwezi mmoja uliopita.Huyu ndie alikuwa mshauri wa Mwema kwenye mambo ya intelijensia, viongozi wa ccm wanabaka na kutishia kuua wako uraiani wanakula bata, polisi wanapikea rushwa utadhani ni stahiki yao, raia wema wamekufa kwa mashinikizo ya kiutawala, i.e Arusha, Moro, Iringa, etc intelijensia uko kimya, leo mnampa kuwa IGP!!!!!! Mvinyo ni ule ule wa zamani kwenye chupa mpya. Huenda udhaifu wote tunaiuona kwa Mwema huyu ndie source, hata rais kaona hilo ndio maana kampa msaidizi.
Nakubaliana na Mh Warioba hawa watu wapitishwe na bunge iki vyeo vya fadhila viishe.
Tumeshasahau kuhusu udini naona JK ameanza kuuchokonoa tu! Hivi huyo Naibu IGP ni wa nini? Huu ni udini tu unaomsumbua huyu Rais wetu aliyevunja record ya kupanda Ndege nyingi na mara nyingi sana lakini hajui hata Blackbox ni nini.
hicho kitengo cha inteligence amekishikilia kwa mda usiofika hata mwezi,kumbuka alikua RPC wa mwanza mwezi mmoja uliopita.
Si tulisikia kuwa IGP - Msataafu Said Mwema kaongezewa miaka 2?? Ilikuwa zuga??
Yaani!! kwa kweli umenichekesha!!!mbona kama mhindi???? Kama kweli basi tanzania ni moja.
Atakayechukua nafasi ya Saidi Mwema kama IGP Ni Kamishna Ernest Mangu.
Ataapishwa kesho.
![]()
Ernest Mangu
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatatu, Desemba 30, 2013, amemteua Kamishna wa Polisi Ernest Mangu kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini.
Taarifa iliyotolewa usiku wa leo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue inasema kuwa Kamishna Mangu anachukua
nafasi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini anayestaafu, Saidi Mwema.
Kabla ya uteuzi wake unaoanza keshokutwa, Januari Mosi, 2014, Kamishna Mangu alikuwa Mkurugenzi wa Inteligensia
ya Jinai (Director of Criminal Intelligence)katika Jeshi hilo la Polisi.
Aidha, taarifa hiyo inasema kuwa Rais Kikwete amemteua Kamishna Abdulrahman Kaniki kuwa Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi, ambayo ni nafasi mpya katika muundo wa sasa wa Jeshi la Polisi.
Kabla ya uteuzi wake, Kamishna Kaniki alikuwa Kamishna wa Uchunguzi wa Kijinai (Commissioner for Forensic Investigations).
Mkuu wa Jeshi la Polisi mpya ataapishwa kesho, Jumanne, Desemba 31, 2013 katika Viwanja vya Ikulu, Dar es Salaam.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.
bado mkuu,angalia timeline ni lini yamefanyika mabadiliko ya kumtoa mwanza kwenda kuwa DCI,haijapita hata mwezi kwahiyo tokomeza ilikua imeshasimaa.Asante kwa taarifa, ya operation tokomeza inamhusu. Pia issue ya Kapuya alikuwa tayari na intelijensia. Hatutegemei polisi wabadilike, tuambie akiwa RPC ana record gani ya kujivunua zaidi ya kuendeleza mgogoro wa udiwani Ilemela???