mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,312
- 55,969
Hiyo kambi ipo kitambo sana enzi hizo mji unaishia Magomeni na Oysterbay, Sinza ilikuwa mashamba ya miwa na mpunga. Lugalo ilionekana ni nje ya mji.
Mimi sio mtaalamu wa mambo ya kijeshi ila ile kambi kuwa pale ni kero tu. Kwanza huku Kawe watu wanaishi kwa hofu tu, kila mtu anajifanya ni mwanajeshi, ukipata pancha maeneo ya Lugalo we tembelea ringi tu ukipaki ubadilishe tairi eti ni kosa.
Jiji lina uhaba wa viwanja vya makazi na huduma nyingine, fungeni kambi ipelekwe huko nje ya mji mkate viwanja mji uchangamke.