Kamati za Lowassa na Zitto zavunjwa

Kamati za Lowassa na Zitto zavunjwa

Spika hawezi kuamuka na kuamua kuvunja kamati. Lazima kuwe na utaratibu umefanyika. Si kuna kamati ya uongozi na wajumbe wake ni:
(a) Spika, ambaye ndiye Mwenyekiti,
(b) Naibu Spika
(c) Kiongozi wa shughuli za Serikali
Bungeni au Mwakilishi wake;
(d) Kiongozi wa Upinzani Bungeni au
Mwakilishi wake;
(e) Wenyeviti wa Kamati za Kudumu;
(f) Mwanasheria Mkuu wa Serikali;
(2). Katibu
Katibu wa Bunge ndiye Katibu wa Kamati

Acha kupotosha, kamati ya uongozi haina mamlaka kuhusu kanuni za Bunge, masuala ya kanuni yanafanyiwa kazi na kamati ya kanuni na sio kamati ya uongozi.

Kamati ya uongozi ina jukumu la kupanga ratiba ya shughuli za Bunge na sio vinginevyo, so kajipange upya na sio kama hivi......
 
Kuna wabunge wanaonekana kuwa wabinafsi na wanakuwa kama na mission za kuwagombanisha wabunge wengine na wananchi.

Hao hao wanakaa kwenye vikao vya kamati za bunge na kutoa maamuzi halafu pale watu wanapoanza kuhoji hayo maamuzi, hao wabunge wanaacha kazi ya kujibu ifanywe na kiti cha spika. I think, this is not fair to everyone.
 
Acha kupotosha, kamati ya uongozi haina mamlaka kuhusu kanuni za Bunge, masuala ya kanuni yanafanyiwa kazi na kamati ya kanuni na sio kamati ya uongozi.

Kamati ya uongozi ina jukumu la kupanga ratiba ya shughuli za Bunge na sio vinginevyo, so kajipange upya na sio kama hivi......

(3) Majukumu ya Kamati ya uongozi

Majukumu ya Kamati ya Uongozi ni kufikiria na kumshauri Spika kuhusu mambo yote yanayohusu shughuli za Bunge
kwa jumla; ikiwa ni pamoja na kuweka utaratibu utakaorahisisha maendeleo ya shughuli za Bunge au za
Kamati yake yoyote endapo itatokea haja
 
Kuhusu hili la kamati ni jukumu la kamati ya bunge ya kanuni, ndio maana Spika aliitisha kikao cha kamati ya kanuni na sio kamati ya uongozi leo na kilikaa tangu saa tatu asubuhi hadi saa saba mchana,
 
haaa! Hasa mashrika nani atakuwa anakagua? Au ndo wamechanganyikiwa! Wanafta kamati muhmu km hyo ya POAC why wasifute TAKUKURU inayoonekana kutowajibika vema? Nahic ipo siku watfta na CAG kwn wanaogopa kuumbuliwa bt hawataki kuacha wizi.
 
Kuhusu hili la kamati ni jukumu la kamati ya bunge ya kanuni, ndio maana Spika aliitisha kikao cha kamati ya kanuni na sio kamati ya uongozi leo na kilikaa tangu saa tatu asubuhi hadi saa saba mchana,

Mkuu you seem to know something. Unaweza kutupa sheria inayotumia kuunda na kuvunja kamati za bunge?

Or at least utaratibu unaotumika kuzifunja na ushiriki mzima wa spika?

I'm completely lost on this maana sioni kinachojadiliwa kwenye hii thread angalao kutoa mwanga what exactly happened.
 
Kwa logic, sidhani kama kamati ya kanuni inaweza ikahusika na maswala ya kubadilisha kamati za bunge.

Wajumbe na Majukumu ya kamati ya kanuni ni haya
1) Wajumbe wa Kamati wanateuliwa na Spika na Mwenyekiti wake ni Spika na Naibu Mwenyekiti ni Naibu Spika.
(2) Katibu huteuliwa na Ofisi ya Spika

Majukumu ya Kamati ya kanuni
(a) Kufikiria na kutoa mapendekezo juu ya kufanya mabadiliko katika Kanuni za Bunge.
(b) Kuchunguza na kutoa taarifa juu ya pendekezo lolote linalohusu Kanuni za Bunge ambalo limepelekwa kwenye Kamati hiyo na Spika au na Mbunge yeyote.
(c) Kuchunguza na kutoa taarifa juu ya lalamiko lolote kuhusu uamuzi wa Spika ambalo limepelekwa
 
Hiki kikao cha bunge mwezi huu kimeisogeza CCM mbali kabisa na wananchi. Bunge limegeuzwa kuwa rubber stamp, kanuni zimekiukwa, hoja za msingi zinakataliwa, na funga kazi AG anakuja na marekebisho ya sheria ambayo itasambaratisha taifa! Crisis!
Mkuu FJM , usiwe na wasiwasi kabisa!, muda muafaka ukiwadia, CCM itawarudisha wote karibu!. It is very simple, kwa vile sisi Watanzania tuko simple, poa na hatuna makuu kabisa, muda ukifika tutapigwa na zile T-shirts na kofia na ile pilau ya shibe ya siku moja!, kila kitu kitakuwa poa kabisa, tutarudi karibu wenyewe, tutaikumbatia CCM yetu na 2015 tutaichagua tena kwa kuipa ushindi kishindo!.

Najua kuna wengi humu hamuamini maneno yangu, just take it or leave it, ukweli halisi daima unabaki kuwa ndio ukweli na huu ndio ukweli wenyewe halisi wa jinsi sisi Watanzania tulivyo!.

Pasco.
 
Sasa badala ya kutuelezea kamati muhimu ya Zitto unaleta uchambuzi wa Lowassa. Who cares? Hata akienda kuchunga n'gombe tutakuwa tumepumua kwa sarakasi zake za kufisadi mali za umma.

Kamati ya Zitto ndio muhimu na kuitoa tunahitaji maelezo ya kutosheleza.

Ulinzi hizo kamati za ccm hazina mashiko kwani haziongezi wala kupunguza chochote kwenye ufanisi wa utendaji wa serikali.
 
Kwa logic, sidhani kama kamati ya kanuni inaweza ikahusika na maswala ya kubadilisha kamati za bunge.

Wajumbe na Majukumu ya kamati ya kanuni ni haya
1) Wajumbe wa Kamati wanateuliwa na Spika na Mwenyekiti wake ni Spika na Naibu Mwenyekiti ni Naibu Spika.
(2) Katibu huteuliwa na Ofisi ya Spika

Majukumu ya Kamati ya kanuni
(a) Kufikiria na kutoa mapendekezo juu ya kufanya mabadiliko katika Kanuni za Bunge.
(b) Kuchunguza na kutoa taarifa juu ya pendekezo lolote linalohusu Kanuni za Bunge ambalo limepelekwa kwenye Kamati hiyo na Spika au na Mbunge yeyote.
(c) Kuchunguza na kutoa taarifa juu ya lalamiko lolote kuhusu uamuzi wa Spika ambalo limepelekwa

Kipengele a ndio kinahusika, kwani kamAti za Bunge zinaundwa kwa mujibu wa kanuni na huwa zinaundwa upya kila baada ya miaka miwili na nusu ya uhai wa Bunge, so zilipaswa kuundwa upya , ila la kuifuta kamati ya POAC hoja ya spika leo ilikuwa hakuna bunge lolote duniani ambalo lina kamati kama hiyo, ila kamati ya hesabu za serikali ndio ipo na inakagua pamoja na mashirika ya umma kwani ni sehemu ya serikali hayo mashirika.

Ila kiuhalisia Spika amevunja kanuni kwani kamati ya POAC imeundwa kwa mujibu wa kanuni, yaani imetajwa na kanuni kuwa itakuwepo, hivyo alipaswa kuleta hoja ya kurekebisha kanuni kwanza ili Bunge liamue ndipo aweze kuifuta hiyo kamati , na sio kama alivyofanya.

Kamati nyingine hazijatajwa kwenye kanuni kama zilivyo za POAC, PAC NA LAAC , ndio maana Spika amepewa uhuru wa kuunda kamati kadiri atakavyoona inafaa kwa mujibu wa kanuni.
 
Mkuu you seem to know something. Unaweza kutupa sheria inayotumia kuunda na kuvunja kamati za bunge?

Or at least utaratibu unaotumika kuzifunja na ushiriki mzima wa spika?

I'm completely lost on this maana sioni kinachojadiliwa kwenye hii thread angalao kutoa mwanga what exactly happened.

Tayari nimetoa ufafanuzi, ila kiuhalisia ni kuwa leo Bunge liliamua kujipunguzia mamlaka yake katika kuiwajibisha Serikali kwani wameamua kuweka kipengele cha sheria kinachokinzana na katiba kuwa taarifa za CAG hazitajadiliwa Bungeni bila majibu ya Serikali kwanza ,kifungu hicho kilipingwa kwa nguvu sana na wabunge Halima, Mnyika na Cheyo , ila kiliungwa mkono kwa nguvu sana na January Makama, Serukamba, na wengine nimewasahau.

Bunge limepoteza muelekeo wake , na hii ni kwa sababu amewekwa Spika wa majaribio kuwa sasa ni zamu ya Mwanamke bila kujali uwezo wa huyo mwanamke......
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Mkuu FJM , usiwe na wasiwasi kabisa!, muda muafaka ukiwadia, CCM itawarudisha wote karibu!. It is very simple, kwa vile sisi Watanzania tuko simple, poa na hatuna makuu kabisa, muda ukifika tutapigwa na zile T-shirts na kofia na ile pilau ya shibe ya siku moja!, kila kitu kitakuwa poa kabisa, tutarudi karibu wenyewe, tutaikumbatia CCM yetu na 2015 tutaichagua tena kwa kuipa ushindi kishindo!.

Najua kuna wengi humu hamuamini maneno yangu, just take it or leave it, ukweli halisi daima unabaki kuwa ndio ukweli na huu ndio ukweli wenyewe halisi wa jinsi sisi Watanzania tulivyo!.

Pasco.kabisa!weCC

Mimi nakuelewa kwani una hasira kuwa Kamati ya mtu wako imevunjwa na kupunguziwa mamlaka ya kujua nini kinaendelea kwenye masuala ya ulinzi na usalama, .....
 
Kama kazi ya kubadilisha kamati za bunge inafanywa na kamati ya kanuni, kwa nini tunamlaumu spika tu wakati pia kuna wajumbe ambao wengine ndiyo walikuwa wanakwanguana na spika kuhusu kanuni za bunge.

Wajumbe wa kamati ya kanuni ni hawa:

STANDING ORDERS

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="class: line_member, width: 15%, bgcolor: initial, align: center"]Photo[/TH]
[TH="class: line_member, width: 27%, bgcolor: initial, align: center"]Fullname[/TH]
[TH="class: line_member, width: 29%, bgcolor: initial, align: center"]Political party[/TH]
[TH="class: line_member, width: 29%, bgcolor: initial, align: center"]Position[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="class: line_member, align: center"]
1268.jpg
[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]Makinda, Anne Semamba[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]CCM[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]CHAIRPERSON[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: line_member, align: center"]
1199.jpg
[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]Ndugai, Job Yustino[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]CCM[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]DEPUTY CHAIRPERSON[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: line_member, align: center"]
1755.jpg
[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]Lissu, Tundu Antiphas Mughwai[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]CHADEMA[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]MEMBER[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: line_member, align: center"]
1480.jpg
[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]Chana, Pindi Hazara[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]CCM[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]MEMBER[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: line_member, align: center"]
1381.jpg
[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]Mnyaa, Eng. Mohamed Habib Juma[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]CUF[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]MEMBER[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: line_member, align: center"]
1747.jpg
[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]Makani, Eng. Ramo Matala[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]CCM[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]MEMBER[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: line_member, align: center"]
1677.jpg
[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]Akunaay, Mustapha Boay[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]CHADEMA[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]MEMBER[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4, align: center"][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="class: line_member, width: 15%, bgcolor: initial, align: center"][/TH]
[TH="class: line_member, width: 27%, bgcolor: initial, align: center"][/TH]
[TH="class: line_member, width: 29%, bgcolor: initial, align: center"][/TH]
[TH="class: line_member, width: 29%, bgcolor: initial, align: center"][/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="class: line_member, align: center"]
1350.jpg
[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]Simbachawene, George Boniface Taguluvala[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]CCM[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]MEMBER[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: line_member, align: center"]
1667.jpg
[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]Mkosamali, Felix Francis[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]NCCR-MAGEUZI[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]MEMBER[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: line_member, align: center"]
1029.jpg
[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]Chenge, Andrew John[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]CCM[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]MEMBER[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: line_member, align: center"]
1028.jpg
[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]Abdallah, Anna Margareth[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]CCM[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]MEMBER[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: line_member, align: center"]
1159.jpg
[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]Mkono, Nimrod Elireheema[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]CCM[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]MEMBER[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: line_member, align: center"]
1378.jpg
[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]Mohamed, Hamad Rashid[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]CUF[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]MEMBER[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: line_member, align: center"]
1568.jpg
[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]Kairuki, Angellah Jasmine Mbelwa[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]CCM[/TD]
[TD="class: line_member, align: center"]MEMBER[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4, align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Taarifa zako ni za zamani sana , soma kanuni ya 113 , ujue kuwa mawaziri na manaibu sio wajumbe wa kamati za Bunge, hivyo Simbachawene na Kairuki sio wajumbe.

Pili , ukisoma hiyo kanuni utajua nani mwenye mamlaka ya kuunda , kamati kazi yake ni kumshauri na sio kuunda , mamlaka ya kuunda ni ya Spika.

Aidha , ukisoma kanuni hiyo ya 113 kifungu cha 11 utaona kuwa kamati zilizotajwa kwa majina kwenye kanuni ni tatu nyingine anapanga Spika kadiri atakavyoona inafaa..........
 
Hii ni ngwe ya mwisho ya utawala wa ccm...hawataki kuhojiwa, hawataki kuchunguzwa! information is power... bila taarifa za CAG wapinzani mgejuaje madudu yanayofanyika?...wanataka waachwe wale vya mwisho x 2...
 
Leo kikao hakikua na wajumbe wafuatao, sijui hata kama koramu ilitimia ,

1. Mkono
2. Ramo Makani
3. Anna Abdalah
4. Hamad Rashid
5. Mkosamali

Ukiondoa manaibu mawaziri wawili utaona kuwa kamati yenye wajumbe 14 , saba hawakuwepo.

Kumbuka pia spika alivunja kamati ya nishati na madini mwaka jana , hivyo yeye anaweza kuunda na kuondoa........do i say more?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Kifo cha nyani kila mti unateleza. CCM hata ifanye nini kifo kiko mlangoni.. Miaka 50 ya kujaribu imetosha na sasa kaeni pembeni.
 
Nini maana ya serikali kuu, mashirika ya umma na serikali za mitaa? Serikali na mashirika yake ni vitu viwili tofauti. Sanasana wanaongeza mzigo kwa kamati ya cheyo ili kuipunguzia ufanisi. Walibanwa tanesco, nssf, na kwingine wakaona lazima wamwondoe huyu mpinzani. Na bado watapangua sana hadi watajikuta walipotoka
 
Back
Top Bottom