Kamati za Lowassa na Zitto zavunjwa

Kamati za Lowassa na Zitto zavunjwa

Pili, maamuzi haya ya spika - ya kupora mamlaka toka kwa wananchi - yamekuja sambamba na hoja iliyowasilishwa na serikali ya kunyang'nganya (tena) watanzania - kupitia kwa wabunge wao - mamlaka ya kupokea na kuchambua taarifa za mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali!

Jana akitoa lecture at Harvard Kennedy School CAG wa India rebutted criticism that the official auditor was exceeding its mandate.

Akasema “I’m not a rubber stamp”. Referring to the criticism sparked by CAG reports on the telecom and coal scams, among others, he said the role of a public auditor cannot be confined to merely placing its report in Parliament.

"Should we, as public auditors, limit our role to placing reports in Parliament or go beyond that and seek to sensitise public opinion on our audit observations, especially so in social sector audits such as rural health, primary education, water pollution, environment, drinking water etc?"

Akasema maintaining that the auditing of government and public entities has a positive impact on trust in society: "It focuses the minds of the custodians of the public purse to use resources effectively."

Read more at:I am no rubber stamp, CAG Vinod Rai warns UPA during Harvard speech : North, News - India Today

Sisi tunaenda completely the opposite.
 
Jana akitoa lecture at Harvard Kennedy School CAG wa India rebutted criticism that the official auditor was exceeding its mandate.

Akasema maintaining that the auditing of government and public entities has a positive impact on trust in society: "It focuses the minds of the custodians of the public purse to use resources effectively."

Read more at:I am no rubber stamp, CAG Vinod Rai warns UPA during Harvard speech : North, News - India Today

Sisi tunaenda completely the opposite.

Hiki kikao cha bunge mwezi huu kimeisogeza CCM mbali kabisa na wananchi. Bunge limegeuzwa kuwa rubber stamp, kanuni zimekiukwa, hoja za msingi zinakataliwa, na funga kazi AG anakuja na marekebisho ya sheria ambayo itasambaratisha taifa! Crisis!
 
Hiki kikao cha bunge mwezi huu kimeisogeza CCM mbali kabisa na wananchi. Bunge limegeuzwa kuwa rubber stamp, kanuni zimekiukwa, hoja za msingi zinakataliwa, na funga kazi AG anakuja na marekebisho ya sheria ambayo itasambaratisha taifa! Crisis!

Do the said wananchi care anyway?

Unadhani kama hao wananchi wangekuwa wana-care, watawala wangedhubuti kufanya walichokifanya jana na leo huko bungeni?

Kwangu sioni kama kuna crisis kwa sababu wananchi don't give a damn.

Wiki ijayo haya yote yatakuwa yameshasahaulika.

Kwani kelele za Mtwara na gesi unazisikia tena?
 
kwa kweli sijui ila kama sikosei yeye ndiye alivunja kamati ya nishati, kitabu changu cha kanuni za bunge sinacho hapa

Ibara ya 96(1) inasema kuwa "Bunge laweza kuunda Kamati za Bunge za namna mbalimbali kadri litakavyoona inafaa kwa ajili ya utekelezaji bora wa madaraka yake.

Ibara ya 9 (2) inasema "Kanuni za Bunge zaweza kufafanua muundo na shughuli za Kamati za Bunge zitakazoundwa kwa mujibu wa masharti ya ibara hii"

Kwa mujibu wa thread moja, Bunge kwa mujibu wa Kanuni ya 89 limeunda Kamati 15: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...jukumu-yake-muongozo-wake-na-muundo-wake.html
 
Tunahitaji nyama zaidi kwenye hii thread ili kujiridhisha na maoni yetu, hasa sababu za kufutwa ziwekwe wazi hapa ili tujadili bila hisia
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Mkuu hizi kamati ni mzigo kwa nchi kwani wajumbe wa hizi kamati wengi wao ni watupu kichwani

Kamati nyingine zinakula fedha tu za wananchi wala hatuoni manufaa yake..... Ona walitaka kukimbilia mtwara badala ya kusubiri kwanza ripoti ya waziri Mkuu aliyekuwa Mtwara kutatua mgogoro. Posho posho posho.
 
Kwa sasa hivi CCM inajaribu kuweka kapuni chochote kile ambacho chaweza kufunua madudu ya utawala wake wa kufisadi. Zito alikuwa anapata data nyingi kwa kupitia taarifa za ile Kamati. Unaona hata wanapeleka mswada kuwa CAG apeleke taarifa ya ukaguzi kwa serikali badala ya bunge. Madudu mengi ya utafunaji wa fedha za uma yalikuwa yanajulikana kirahisi na hivyo kuathiri sura ya chama kwa wananchi. Kuna mkakati mkubwa wa kujaribu kuficha wananchi wasijue kinachoendelea hasa miaka iliyobaki kabla ya 2015.
 
Tunahitaji nyama zaidi kwenye hii thread ili kujiridhisha na maoni yetu, hasa sababu za kufutwa ziwekwe wazi hapa ili tujadili bila hisia

Umeona eh? Mie ningetaka kwanza kujua sheria iliyotumika kufuta hizo kamati na kuunda nyingine.

Baaada ya hapo ndo nitajua kama spika amefuata sheria au hakufuata sheria.

Kama amefuata sheria, then tatizo litakuwa kwenye sheria.
 
Yaaani sijaelewa hata kinachoendelea bungeni kupitia thread hii yaani ni matusi matupu kiasi kwamba haieleweki
 
Ninadhani hii transparency wanayoificha, kuna kitu wanataka kukifanya ninahisi wanataka kuchota pesa za kampeni toka kwenye Mashirika ya umma kama NSSF, LAPF, GEPF,PSPF, PPF na NHIF!! ili wasije kuulizwa peso hiyo imekwenda wapi!! Watch out Tanzanians!!

Na hasa hapo NHIF kuna pesa nyingi sana hapo, ni pakupangalia kwa macho mengi.
 
Mikael,

Kwa mfumo tulio nao sasa, wananchi wanaisimamia serikali kupitia kwa wawakilishi wao, yaani wabunge. Kamati za bunge zinafanya kazi kwa niaba ya wananchi ikiwa ni pamoja na kuidhinisha mapato na matumizi ya fedha, na kukagua mwenendo wa matumizi hayo.

Alichokifanya spika (kuvunja kamati inayosimamia mashirika ya umma), ni kunyang'anya wananchi mamlaka ya kuisimamia serikali kupitia bunge. Huu ni uhaini. Hili ni moja.

Pili, maamuzi haya ya spika - ya kupora mamlaka toka kwa wananchi - yamekuja sambamba na hoja iliyowasilishwa na serikali ya kunyang'nganya (tena) watanzania - kupitia kwa wabunge wao - mamlaka ya kupokea na kuchambua taarifa za mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali!

Nini tafrisiri yake?

Serikali haitaki kabisa 'usumbufu'. Hawataki kuulizwa wala kufuatiliwa kwenye utendaji wake ikiwa ni pamoja na kukaguliwa kwa matumizi ya kodi ya watanzania. Kwa sasa watanzania kujua matumizi ya kodi yao itakuwa ni 'fadhila' toka kwa rais.

Na huu ni mkakati wa kamati mpya wa kamati ya CCM chini ya Mangula, Kinana na Dr Asha Migiro, wa kuondoa 'transparency' kwenye governance system Tanzania. Kelele tulizozikia kule Addis Ababa, kwamba Tanzania imefanya vizuri kwenye utawala bora, ilikuwa ni ujenzi wa uzio ili wakifanya huu uharamia dunia isijue! Na hapa ndipo watanzania wanatakiwa kuwa macho zaidi.

lli kuokoa hii nchi na balaa linaloinyemelea basi 2015 ni vema bunge lisiwe dominated tena na wale wale walioruhusu 'uporwaji' huu wa haki ya wananchi kuisimamia serikali.

Kuhusu bunge
Kwa sasa hivi Tanzania hatuna bunge. hatuna! Tuna idara ya serikali inayokaa Dodoma -mara kadhaa kwa mwaka- ambapo wabunge toka vyama vingine wanaruhusiwa kuingia lakini kuongea inategemea mkalia kiti kaamka vipi siku hiyo. Hatuna bunge. Na kama kuna mtu amerudisha hii nchi nyuma, basi Makinda anaongoza. Makinda atakumbukwa kwa kuuwa Demokrasia Tanzania. Hili halina ubishi. Na huko tunakokwenda, ni mungu mwenyewe anaweza kuinusuru hii nchi na mabalaa yanayopaliliwa na huyu mama. Very unfortunate.

Duuh siku yakufa nyani miti yote huteleza..Okay, let us see who is doing the other!
 
Kamati ya Ulinzi, Usalama na Mambo ya Nje, iliyokua inaongozwa na Edward Lowassa imevunjwa na kuundwa kamati mbili ya Ulinzi na Usalama na ingine ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakati kamati ya Hesabu za Mashirika ya Umma ya Zitto Kabwe, imefutwa kabisa.

Zaidi baadae

Mdogo wangu ZZK ame cross the boader sasa wanamtafuta kakimbilia wapi? Let me release a word of prophesy....My young listen to me! They will come in one door from seven doors shall they escape, just stand still and see how God is going to uplift you at a right time. The time they would think they have succeded to bind you is when angels of the most high God shall loose the chains and leave you walk freely to your destiny! This is only when you are to be stable in your faith and join hands with your other members ordained to rule this country come 2015.
 
Hiyo ni mikakati ya CCM kuelekea uchaguzi 2015. Lakini haitawasaidia kama hawasolve issues kuhusu utawala bora zilizoshikiliwa bango na CDM. Lazima CCM watambue kwamba CDM wako makini kwa hila zozote za CCM. Nchi haitatawalika kama CCM inataka kubakia madarakani kimagumashi na sio kwa kufanya matendo mema kwa wananchi ili kupata ridhaa halali.
 
Mbona watu wanatoa maangalizo kwa hisia. Hii thread watu wanaibadilisha na kuwa mipasho na majungu.

Chambueni kanuni, miundo na majukumu ya kamati za bunge ili tuweze kujua kwa mapana na siyo hisia hisia tu.
 
Spika hawezi kuamuka na kuamua kuvunja kamati. Lazima kuwe na utaratibu umefanyika. Si kuna kamati ya uongozi na wajumbe wake ni:
(a) Spika, ambaye ndiye Mwenyekiti,
(b) Naibu Spika
(c) Kiongozi wa shughuli za Serikali
Bungeni au Mwakilishi wake;
(d) Kiongozi wa Upinzani Bungeni au
Mwakilishi wake;
(e) Wenyeviti wa Kamati za Kudumu;
(f) Mwanasheria Mkuu wa Serikali;
(2). Katibu
Katibu wa Bunge ndiye Katibu wa Kamati
 
Yaaani sijaelewa hata kinachoendelea bungeni kupitia thread hii yaani ni matusi matupu kiasi kwamba haieleweki

Hili bunge ishakuwa kama show ya KANGA MBENDE MBENDE! Upuuzi mtupu! Hujui nani anatetea kipi maana hawa VIPAZA SAUTI (speaker) wamekuwa kama spika za mchiriku....Kelele nyingi content questionable!
 
Back
Top Bottom