Kamati za Lowassa na Zitto zavunjwa

Kamati za Lowassa na Zitto zavunjwa

Point yako naona inaangukia hapa.

(11) Wenyeviti wa Kamati za Bunge zinazosimamia matumizi ya
fedha za Umma ambazo ni Kamati ya Hesabu za Serikali, Kamati ya
Hesabu za Serikali za Mitaa na Kamati ya Hesabu za Mashirika ya
Umma
watachaguliwa kutoka miongoni mwa Wajumbe wa Kamati
hizo ambao wanatoka katika Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni.

Sidhani kama hiki kipendele kingetakiwa kwanza kielekebiswe kabla ya kuiondoa kwa sababu kipo kwaq ajiri maalum ya kuwapa wapinzani kipao cha mbele.

Nadhani for drafting purposes kulikuwa na umuhimu kwanza wa kufuta hapo kwenye red kama walivyofanya kwenye Audit Act 2008 kabla ya kuifuta POAC.

Vinginevyo kifungu kitakuwa kinataja kamati ambayo haipo.

Hizo kanuni zipo online? Nipe link please.
 
Kuhusu wabunge wa upinzani walihoji sana na walipeleka hoja ya marekebisho ya Halima, wengine walikua Mnyika na Cheyo , ila CCM waliounga mkono walikuwa January , Serukamba na wengine ambao siwakumbuki.

Kuhusu kutoona POAC ni kweli kwani hata hizo kamati nyingne mbili hazikutajwa pia , ila walisema tuu kuwa kamati za mahesabu hazitajadili mpaka............so kwa mtu ambaye hukua unajua nini kilipangwa wakitaja kamati za mahesabu basi kila mtu anajua ni zile tatu kumbe walikuwa tayari wameingiza jambo walilokuwa wanajua lingetokea baadae......

Pili, kuhusu kamati kutumika ni kweli kabisa na hata hivyo akidi haikutimia , naomba aliyeweka kanuni ya 113 atuwekee nyongeza ya nane ya kanuni yote then mtanielewa naongea nini .

Nimejaribu lakini ninashindwa kupakua hiyo nyongeza, kama kuna mwingine anaweza kutusaidia
 
Nadhani for drafting purposes kulikuwa na umuhimu kwanza wa kufuta hapo kwenye red kama walivyofanya kwenye Audit Act 2008 kabla ya kuifuta POAC.

Vinginevyo kifungu kitakuwa kinataja kamati ambayo haipo.

Hizo kanuni zipo online? Nipe link please.

Ndivyo haswaa sasa kwa kuwa walikuwa na ajenda ya siri hawakuliona hilo , nafikiri kamati hiyo inapaswa kuwepo mpaka warekebishe kanuni na ninawashauri wabunge waombe kuwa wajumbe wa hiyo kamati kwa mujibu wa kanuni kwani ipo na inatambuliwa na kanuni ili wakome kuchakachua...
 
Kifungu cha 3 na 7 vinahusika sana na madwali yako EMT.

Una maana kilichowekwa na Ng'wamapalala?

If so, kifungu cha (3) kinasema "Wajumbe wa Kamati zote watateuliwa na Spika kwa namna ambayo itawezesha kila Mbunge kuwekwa kwenye Kamati mojawapo". Hiki kinahusika kivipi?

Kifungu cha (7) kinasema "Ujumbe katika Kamati za Kudumu za Bunge utadumu mpaka
mwisho wa Mkutano wa Kumi wa Bunge ambao ni nusu ya kwanza ya maisha ya Bunge."

Ndio maana nikakuuliza mwanzoni kwani POAC ilikuwa kamati ya kudumu?

Kama ilikuwa siyo ya kudumu sioni relevance ya kifungu cha 7.

Hata kama ilikuwa ni kamati ya kudumu, nusu ya kwanza ya maisha ya bunge bado?
 
Nadhani for drafting purposes kulikuwa na umuhimu kwanza wa kufuta hapo kwenye red kama walivyofanya kwenye Audit Act 2008 kabla ya kuifuta POAC.

Vinginevyo kifungu kitakuwa kinataja kamati ambayo haipo.

Hizo kanuni zipo online? Nipe link please.

hii ndiyo link,

Parliament of Tanzania

Unaweza pia kunipatia link ya hii Public Audit Act 2008
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Kuhusu wabunge wa upinzani walihoji sana na walipeleka hoja ya marekebisho ya Halima, wengine walikua Mnyika na Cheyo , ila CCM waliounga mkono walikuwa January , Serukamba na wengine ambao siwakumbuki.

Kuhusu kutoona POAC ni kweli kwani hata hizo kamati nyingne mbili hazikutajwa pia , ila walisema tuu kuwa kamati za mahesabu hazitajadili mpaka............so kwa mtu ambaye hukua unajua nini kilipangwa wakitaja kamati za mahesabu basi kila mtu anajua ni zile tatu kumbe walikuwa tayari wameingiza jambo walilokuwa wanajua lingetokea baadae......

Hapo kweny ndipo linapokuja suala zima la attention to details.

Lazima mtu anayesoma the details aulize kamati zipi za mahesabu maana zipi zaidi ya moja.

Emmanuel Tayari alipendekeza kuwa bunge liwe linaridhia mikataba ya madini, kwa stahili hii mbona tutaliwa?

Pili, kuhusu kamati kutumika ni kweli kabisa na hata hivyo akidi haikutimia , naomba aliyeweka kanuni ya 113 atuwekee nyongeza ya nane ya kanuni yote then mtanielewa naongea nini .

(8) Bila ya kuathiri masharti ya fasili ya (7) ya Kanuni hii, Mbunge yeyote anaweza kuteuliwa tena katika Kamati aliyokuwa anaitumikia katika nusu ya kwanza ya maisha ya Bunge.

Hii nayo inahusika kivipi?
 
Koramu imetajwa kwenye kanuni nyongeza ya nane , nyongeza hii iwekwe yote then mjadala utakuwa guided vizuri.....

OK nitaitafuta. Unayo soft kopi ya Mswada wa Marekebisho ya Sheria Mbalimbali Mwaka 2013?
 
Ndivyo haswaa sasa kwa kuwa walikuwa na ajenda ya siri hawakuliona hilo , nafikiri kamati hiyo inapaswa kuwepo mpaka warekebishe kanuni na ninawashauri wabunge waombe kuwa wajumbe wa hiyo kamati kwa mujibu wa kanuni kwani ipo na inatambuliwa na kanuni ili wakome kuchakachua...

Lakini kama alivyosema Ng'wamapalala, substantively, kifungu cha 113(11) kama kipo zaidi kuonyesha kuwa Mwenyekiti wa POAC lazima atoke chama cha upinzani.

To me it is not a core provision really to the extent ya kuweza ku-nulify maamuzi ya kuifuta POAC.

Ila ili kuvoid poor drafting, wangeondoa kwanza kwenye kifungu 11 maneno "na Kamati ya Hesabu za Mashirika ya
Umma" kabla ya kuifuta POAC.

In addition, kifungu chote cha 113 ni kwa ajili ya muundo wa Kamati za Kudumu za Bunge.

Sidhani kama POAC ilikuwa kamati ya kudumu?

Nafikiri uzito wa hoja ungekuwa zaidi kwenye sababu hasa za kuifuta POAC.
 
Hata mimi nilimweleza Mpaka Kieleweke hivyo hivyo. Sioni uzito wa hoja yake anaposema spika amevunja kipengele cha 113 cha kanuni za bunge.

kwani iliyokuwa kazi POAC imepelekwa kwenye kamati ipi?
 
Hata mimi nilimweleza Mpaka Kieleweke hivyo hivyo. Sioni uzito wa hoja yake anaposema spika amevunja kipengele cha 113 cha kanuni za bunge.

kwani iliyokuwa kazi POAC imepelekwa kwenye kamati ipi?

Imeunganishwa na PAC ya Cheyo.

Basically kilichotokea ni hivi (Analysis ni yangu):

Ya Lowassa imekatwa vipande; Imeundwa upya na Spika na Kamati ya Kanuni... Imeundwa Kamati 2 ya Ulinzi na Usalama na Kamati ya Mambo ya Nje, na ya Zitto (POAC) imevunjwa kabisa imeunganishwa na PAC ya Cheyo!

Wabunge wa kamati hizo (akiwamo Lowassa na Zitto) watalazimika kujaza fomu kuomba upya wawekwe kamati gani na wataomba kamati 3 ambapo Spika atachagua mojawapo ndio awaweke. kamati zitaundwa upya, maana zimetajwa upya kabisa.

My Take:
Kwa maana hiyo itakapounda upya ndio tutajua; ama EL anaondolewa kudhibiti vyombo vya Ulinzi, ama anaondolewa kuwadhibiti ama kuwafuatilia Membe na Sitta.

Akiwekwa kamati ya Ulinzi maana yake anaepushwa kusimamia Wizara ya Mambo ya nje na ile ya Afrika Mashariki.

Akiwekwa Mambo ya Nje ataonekana ameondolewa Ulinzi na Usalama.
 
Yaani mnashindwa kuelewa kwa nini poac imevunjwa?
mnamkumbuka Ekelege?
Mnakumbuka hii kamati ilivyokuwa inaibua madudu kila kukicha?
Mnakumbuka Deo filikunjombe alipata umaarufu kwa sababu zipi?
sasa ili Ekelege Arudi, wanoko inabidi waondoke. Na pia tunakoelekea Kama hii kamati ingeendelea kuwepo basi ulaji unekuwa Hakuna .
I feel sorry to Zitto and Deo
 
wanaojitoa muhanga si wajinga. kusikitika pekee haitoshi, jifanyizieni silaha za kivita mioyoni mwenu, maana ni heri kwake aijuaye hatari ya dubu kujivinjari maskani.
 
Back
Top Bottom