Wazee walikuwa na hasira hawakutaka kufuata procedure walimalizana nae hapo hapoMkuu kwani kazi ya kamati ya maadili si kusikiliza, kuhoji na kutoa mapendekezo kwa kamati kuu ya chama ambao wao ndo hutoa maamuzi??, au na wao siku hizi wanatoa maamuzi Moja kwa Moja?
Sasa fikiriani watu wangapi walianza kuyafuatilia hayo matusi mtandaoni baada ya ile hotuba,makonda ni liability,Hata mi sikuwa najua kinachoendelea maana sipogi Instagram hadi Makonda aliposema hayo, ikabidi nidownload Instagram Lite. Yale matusi angekuwa anamtukana mama yangu, yule ningetafuta teja marekani amuue. Sijui balozi wa Tanzania USA ana kazi gani? Mama anatakiwa amtengue yule balozi haiwezekani Rais anatulanwa alafu Balozi yupo tu. Anashindwa kutafuta vibaka wakambake Mange huko wanamchekea.
Balozi anashindwa kumpa kazi Maghayo the Mongolian amfanyie Mange anakaa kujichekesha tu kwenye nchi za watu.
BoraPDF ya mabadiliko ya wakuu wa mikoa na wilaya na Wakurugenzi ipo tayali Arusha ina mkuu wa mkoa mwingine katika hii PDF jina makonda halipo hapa tunasubilia sherehe za mei mosi zipite tuipandishe
Mtahangaika sana tena sana na Mwamba Makonda. Naona Mwamba anawatesa sana vichwa vyenu nyumbu wa CHADEMA mpaka mnakosa usingizi. mnajuwa chini ya Mwamba mnakwenda kuambulia patupu katika chaguzi zinazokuja .PDF ya mabadiliko ya wakuu wa mikoa na wilaya na Wakurugenzi ipo tayali Arusha ina mkuu wa mkoa mwingine katika hii PDF jina makonda halipo hapa tunasubilia sherehe za mei mosi zipite tuipandishe
Hamna kituPDF ya mabadiliko ya wakuu wa mikoa na wilaya na Wakurugenzi ipo tayali Arusha ina mkuu wa mkoa mwingine katika hii PDF jina makonda halipo hapa tunasubilia sherehe za mei mosi zipite tuipandishe
Jifunze kuandika mkuu.Kabla hajateuliwa nafasi yeyote hakukuwa na hizi kelele zake, baada ya kupata ukatibu uenezi dhen URPC, ni makelele tu,