Ndugu wanajamii, hamuwezi kuamini kuwa jana usiku kulikua na kikao nyumbani kwa masogange kijitonyama karibu na sinza ambapo iliundwa kamati maalum ya kitaifa ya mapokezi ya Masogange baada ya kupata taarifa kwamba ametoka lupango. Kulikua na watu wengi wenye majina ambao walihudhuria. Kwakua wale mabinti walikutwa na PANADOL na sio madawa ya kulevya kama tulivyofikiria mwanzoni watarudi hivi karibuni kwani kesi yao haina kichwa wala ma------.