Ngongoseke
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 3,202
- 1,464
Yeee bhagoshaa yeneye tuja gete,
Yeee bhagoshaa yeneye tuja gete,
i hope its not real. But damnnn the girl got a thing.....face sio sana ila she has nice shape
kamatu ya kitaifa au maswahiba zake tu!?mie sijaelewa bandugu.
kaka umeniacha kidogo...unazungumzia fineass?Inawezekana , hukuona Mjomba alivyochomoka fasta toka Kagera hadi South akazuga kupiga picha na bosi wa HOME SHOPPING CENTRE then akaenda kumaliza mchezo, Sema tu cha kujiuliza ni kwamba Wasauzi amewapa nini? Coz gesi yote amewapa Wachina kumuokoa prince, sasa tujiandae kuuzwa mkoa kwa mkoa