Mkuu ccm ni watu makini,na huwa hawana kigeugeu,tulishasema hakuna rais kutoka kaskazini!!nyie watu huwa hamuelewi?
yeye alisema akichaguliwa tu analeta maji nini maana ya neno TU?
January Makamba, Pindawewe ni nani unayemjua aliyekwisha tangaza nia?
Kapepa Maswanya Nani kakuomba kura wewe??
Mpe huyo Boss wako mtoa rushwa makanisani hadi misikitini!!
Hivi Lowasa akiwa Rais ataacha ka ugonjwa ka Ufisadi? Kama ataacha atawashauri wakina Rostam na Chenge waache kupiga dili? Je wanaoteketeza nchi kwa kutujazia mateja JK atampa Orodha yake awahukumu? Pesa zilikataliwa Kurudishwa ka hiari za EPA zitarudishwa. Hakiweza haya yote Basi kura yangu ndio hiyoooo (.....Yes......)