Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,454
Fisadi lowassa anazidi kuwaumiza vichwa watu wana ccm.
Msituletee uzushi wenu wa kijinga kila siku lowasa tumechoka na fisadi lenu mnajifanya mnajua kubashiri.
hivi watanzania ni wajinga kiasi gani mpaka wampe slaa urais??????
CCM ndo chama tawala na chama pendwa. Wengine ni wasindikizaji tuNi ulivyo mjinga kuichagua CCM!!
Msituletee uzushi wenu wa kijinga kila siku lowasa tumechoka na fisadi lenu mnajifanya mnajua kubashiri.
hilo ni jina tuccm ndo chama tawala na chama pendwa. Wengine ni wasindikizaji tu
Kwani mpaka sasa kuna orodha ya wana CCM watakaowania urais? Ka nijuavyo mie ni kwamba wote waliotangaza nia au kufanya jitihada za kujipatia umaarufu ili ateuliwe kuwa mgombea wamefanya kosa na wote wataenguliwa. Si Lowasa tu bali hata akina Membe, Ngeleja, Makamba, Pinda nk
usiwe mjinga kama mbayuwayu usilete ukabila wako humu
lowassa ndio mtu pekee mwenye mvuto ndani ya ccm na cc hlo ndilo tunajua sisi na ndiye Raisi wako wa awamu ya tano
hutaki!! JIPANGE KISAIKOLOJIA
RFA zi chombo cha Dialo ambaye ameshaweka wazi kuwa Lowassa sio mtu wake?
Hata hivyo wacha jina likatwe ili tushudie MAAMUZI MAGUMU atakayochukua!
hivi watanzania ni wajinga kiasi gani mpaka wampe slaa urais??????
CCM wanajisimbua bure tu! Hata Samwel Sitta alikwishawaambia kuwa Dr Slaa ndiye mtu wa kuogopwa katika uchaguzi wa mwaka huu.
unapenda rushwa sana wewe,sasa unadhani wote wanapewa hizo rushwa?muulize jk kilichompata 2010.bila vyombo vya dola na NEC sasa hv angekuwa amesahau urais.