pixel
JF-Expert Member
- Jun 22, 2012
- 1,630
- 406
Mimi ni mwanaccm damdam lakini nko tayary kuwapa kura yangu wapinzani aka UKAWA
Hata mimi ni ccm damu,ila kura yangu kwa ukawa tu.diwani,mbunge na rais.
Mimi ni mwanaccm damdam lakini nko tayary kuwapa kura yangu wapinzani aka UKAWA
na ndivyo itakavyokuwa. Rais ajaye atatoka ukawa, yaani dr slaa.
Hata mimi ni ccm damu,ila kura yangu kwa ukawa tu.diwani,mbunge na rais.
hivi watanzania ni wajinga kiasi gani mpaka wampe slaa urais??????
as simple as that?? forget my friend!!Kufuatia kikao cha Kamati Kuu ya CCM kinachofanyika huko Zanzibar, kuna uwezekano mkubwa jina la Lowassa likakatwa kutoka kwenye orodha ya wanaCCM watakaopeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi mkuu wa Oktoba, 2015. Hii ni kwa sababu baada ya yeye na makada wengine kufungiwa kwa muda wa mwaka mmoja kwa sababu ya kuanza "mbio" mapema, bado aliendelea kujifanyia kampeni kama kawaida.
Chanzo: RFA
:israel:
Umechanganyikiwa wewe si bure mlivyo na visabengo mngekubali aongoze nchi kama mmeshinda.fyuuuuu!!!!
Mgombea urais hapaswi kuwa na kashfa ya ufisadi,lowasa ni fisadi.
Narudia kusema kuwa chuki haijengi. Waliofanya dhambi ya kuwagombanisha CCM hawatasemehewa hata na mashetani kuzimu! Wapo wanafahamika lakini Bahati nzuri wao ni dhaifu na hawakubaliki kutokana na u dhaifu na janja yao!Ni Lowassa peke yake anayeweza kuandika kujifagilia hivi...hata mkewe haamini hiki kilichoandikwa hapa!
Ana mvuto kwako, sio kwa wengine! Kwa taarifa yako sisiemu watamsimamisha Dr. Shein, na kwa sisiemu watamnunulia mvuto Dr. Shein, ingawa simkubali ila ni mara 1000 ya fisadi EL. JIPANGE KISAIKOLOJIA, yaani jipange kweli!
Ccm hawajafikia huko kumfukuza lowasa! wanawapma akili tu !wakimfukuza lowasa watampa nan apeperushe bendera jifkirie na jjbu mwenyewe
Akikatwa anahamia chadema tunampa kura zetu ila slaa simpi ng'oo na hawezi kuwa Rais wa nchi hii hata siku moja
Unajua wewe huenda no mwana ccm wa juzi hujui taratibu na kanunu za chama unaposema Ana eweza kukatwa kutoka wagombea no mini chama kimetoa fomu za wagombea had I waanze kukata.hakika Vijana wa ccm wengine akili za kibavicha sana.simple logic kwa MTU mwenye akili unakataje Jina LA Lowassa wakato hats hajawahi kutangaza atagombea zaidi ya tetesiKufuatia kikao cha Kamati Kuu ya CCM kinachofanyika huko Zanzibar, kuna uwezekano mkubwa jina la Lowassa likakatwa kutoka kwenye orodha ya wanaCCM watakaopeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi mkuu wa Oktoba, 2015. Hii ni kwa sababu baada ya yeye na makada wengine kufungiwa kwa muda wa mwaka mmoja kwa sababu ya kuanza "mbio" mapema, bado aliendelea kujifanyia kampeni kama kawaida.
Chanzo: RFA
:israel: