Kamati Kuu kukata jina la Lowassa

Kamati Kuu kukata jina la Lowassa

🙁Piganeni,uaneni,Mtoane kucha na meno,Mlogane bagamoyo na sumbawanga, mi nataka maishA bora sijui nini wala nini..
 
hivi watanzania ni wajinga kiasi gani mpaka wampe slaa urais??????

ni kama ambavyo wewe ukawa mjinga na kukubali kuzaliwa na mama masikini anayekufanya uone wivu kwa slaa kuwa Rais..ungekuwa umezaliwa familia ya kitajiri ungekuwa unawaza hela tu mengine ya siasa hata sheikh ponda awe rais poa tu .
 
teh teh teh teh teeeeeeh Nilikuwa namsemea mtu anayedaiwa analipwa vizuri zaidi mkuu, pole kwa hasira hiyo, najua kuna walio wengi ambao hata hiyo 120,000/- hawajawahi kuishika, hawajui hata 20,000 waipateje kupeleka watoto shule na wanapoomba huruma wanaambiwa BORA WASIZAE. Nilitarajia swali lako litakuja tu kwa namna Fulani. Asante kunisaidia. Wafanyakazi weng wanaopata 500,000 ni wale waliosoma sana kwa muda mrefu na vikwazo kupitiliza, wengine ndio wenye vyeo maofisini ambako wanayo dhamana juu ya vitu vyenye thamani ya mabilioni ya shilingi kama sio mamilioni lakin ati waendelee kuwa waaminifu tu. Nani anaweza kuwa mwaminifu kutunza ugali ilhali ana njaa kali na hajui familia itakula nini leo? Wanaojilipa sana ndio hao wanaotuambia tungejee kulipwa mbinguni, nadhani wenyewe wameshajua kwamba mbinguni hawatakiwi.

NAZIDI KUPATA MIHASIRA HAPA..aagghhhhhrrrrr!!!!!!!!!! yaani nimepita hapa mezani kwa bosi wangu mmoja nakuta P/slip yake ya mwezi dec 2014 gross pay ni tsh: 28,945,000/=
madha f....ck!!!!!!!
mimi nimepokea net 84.300/= eti nimekatwa na makato yao. manina zao
 
Nafarijika kwamba unawaambia wanajamvi kwamba ni kweli wasionacho wanatumiwa vibaya. Huyo wa mamilioni ya net pay hamwagi jasho jingi kama wewe, lakini nao uhakika wa maisha yake hata baada ya kustaafu au hata familia yake itaweza kuishi siku nyingi zaidi kwa uhakika wa mahali pa kulala na chakula na elimu bora kuliko ya kwako. WOTE Ni MAFISADI tunazidiana ukali wa ngazi tu. Kwa hiyo bora fisadi ambaye anatamani na wengine wanyenyuke kuliko fisadi anayezuia wengine wasipate maisha bora na kudai mamilioni anayofisadi ni visenti tu. Bora mhindi anayevuna mabilioni ya pesa nchini kwetu na kujenga maghorofa tele kulikoni yule anayevuna na kupeleka Canada akawekeze huko na kutanua. Ni mtizamo tu, tunaweza kutofautiana.
 
Waimbaji wa Tanzania hata masikini kama wewe unaweza kuwanunua tu , bei yao iko chini mno , aliyofanya lowasa wayaone waimbaji tu !
Erythrocyte Bahati mbaya your political product attracts less customer in the political market! I mean customers preference towards your product is low! Try to introduce another product to the market possibly it might sell!
 
NAZIDI KUPATA MIHASIRA
HAPA..aagghhhhhrrrrr!!!!!!!!!! yaani nimepita hapa mezani kwa bosi wangu
mmoja nakuta P/slip yake ya mwezi dec 2014 gross pay ni tsh:
28,945,000/=
madha f....ck!!!!!!!
mimi nimepokea net 84.300/= eti nimekatwa na makato yao. manina
zao
pole pole bassss
pamoja na hayo yote ebu tumuombe mungu akachague kiongozi bora na si bora kiongozi. polee
 
Taarifa za ndani toka cc ya ccm, zinadai kuwa Lowasa hata akifurukuta vipi kwa sasa ccm haiwezi kumpitisha kutokana na masuala mbalimbali yanayomkabili.habari za ndani zimedokeza kwamba jina lake litakatwa mapema kabla halijaingia kwenye uchaguzi wa wajumbe,ambako anadaiwa kuwa na nguvu ya zaidi ya sailimia 75.baadhi ya mambo yanayomkabili ni pamoja na

1.Suala la Afya yake ccm haiwezi kumpitisha urais wakati afya yake imeshindikana kutibika.

2.Uadilifu ndani ya chama 0,ccm haimwamini kama anaweza kufanya ipasavyo bila kukigawa chama makundi.

3.Jazba na visasi ni tatizo kwa lowasa.
 
Rubish ya Kufunga Mwezi February
 
Mkuu huyu EL namuone huruma kwa kweli mana mkuu wa Kaya kashammaliza..hata kama una pesa kiasi gani usicheze na mtu aliyeshika madaraka hasa Urais kwa nchi zetu za kiafika..atakumaliza tu..
 
Nakuunga mkono.Nilishawahi andika hapa kuwa Lowassa hawezi pitishwa kwani "top layer" ya viongozi wa CCM hawamtaki licha ya kuwa na support ya wana-CCM wengi.

Hiki ndio kitakachotokea na nilisema wazi kwenye huo uzi wangu kuwa unaweza ukatokea mpasuko mkubwa au chama kuhujumiwa katika uchaguzi ujao.

Tusubiri yatimie.
 
Mkuu Arusha Leo kuna jingine kubwa ambalo watu wengi bado hawajaliona "UKABILA"

Lowassa ni muasisi wa kile kikao cha malaigwanan kilichoratibiwa na Ole Medeye pale Arusha Technical College ambacho agenda yake kuu ilikuwa ni kuhamashisha ukabila hapa Jiji Arusha na kwingineko bahati baada ya kikao kile mauaji ya kikabila yakaanza kutokea sehemu mbali mbali za nchi hasa maeneo ya wamaasai wafugaji wakigombana na wakulima wa makabila mengine.

Jiulize Lowassa akikamata hatamu za nchi hali itakuwa vipi hasa vita baina ya wakulima na wafugaji.

Mwisho Lowassa amejipambanua wazi kuwa si mtu anyefuata sheria katika utekelezaji wa majukumu yake.Ni lowassa aliyeamuru kuvunjwa kwa ghorofa lilokuwa karibu na makazi yake bila kufuata sheria na taratibu matokeo yake serekali iliingia hasara kubwa kwa kumlipa muathirika ambaye alikwenda mahakamani.

Uchaguzi wa vitongoji na vijiji pia vimeonyesha picha hali ya Lowassa,Kwanza alikuwa akivuruga ratiba kwa kufanya mikutano ya CCM sehemu walizopangiwa wapinzani.Uchaguzi Mkuu aliongoza kikubndi cha magaidi wa kisomali kumshambulia Nassari na baadae kumbambikia kesi.

Taarifa za ndani toka cc ya ccm, zinadai kuwa Lowasa hata akifurukuta vipi kwa sasa ccm haiwezi kumpitisha kutokana na masuala mbalimbali yanayomkabili.habari za ndani zimedokeza kwamba jina lake litakatwa mapema kabla halijaingia kwenye uchaguzi wa wajumbe,ambako anadaiwa kuwa na nguvu ya zaidi ya sailimia 75.baadhi ya mambo yanayomkabili ni pamoja na

1.Suala la Afya yake ccm haiwezi kumpitisha urais wakati afya yake imeshindikana kutibika.

2.Uadilifu ndani ya chama 0,ccm haimwamini kama anaweza kufanya ipasavyo bila kukigawa chama makundi.

3.Jazba na visasi ni tatizo kwa lowasa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom