Kamati Kuu kukata jina la Lowassa

Kamati Kuu kukata jina la Lowassa

lowasa akiondolewaa kwenye chama najiuaaa hiyo n kitu kisichowezekanaaa

Ujiue ya nini mkuu? Hakuna wakumtoa Lowassa CCM! Huyo mtu hajazaliwa....! Yule ni kimbunga, nani anaweza kuzuia kimbunga?
 
Kufuatia kikao cha Kamati Kuu ya CCM kinachofanyika huko Zanzibar, kuna uwezekano mkubwa jina la Lowassa likakatwa kutoka kwenye orodha ya wanaCCM watakaopeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi mkuu wa Oktoba, 2015. Hii ni kwa sababu baada ya yeye na makada wengine kufungiwa kwa muda wa mwaka mmoja kwa sababu ya kuanza "mbio" mapema, bado aliendelea kujifanyia kampeni kama kawaida.

Chanzo: RFA

:israel:

Absolute garbage,kwani kikao cha leo kinapitia majina ya wagombea urais;na actually form za kugombea urais zilikwishatolewa lini?absolute ludicrous
 
Hiyo ni tiketi ya kuombea hela ya Lowasa. Haya utapewa tu ila unamdanganya mwenzio
Mungu akupe subila mh.lowasa, na uendelee na ukimwa wako bila kujibu ila mapambano yaendelee cc tunasubilia ushindi wa tsunami ili wajue kuwa unakubalika na unauzika ila watu tunaogopa tu kusema maana kuna viongozi wanatulazimisha tusikuchague. Hakuna mwingine atakae weza fikisha hata nusu za hoja zako.
Safari ya matumaini
 
atang'oka tu ccm hatuwezi kumsimamisha fisadi,aende huko ukawa kwa wakaskazini wenzake na mapadri,halafu hao wasijisumbue ccm tuna historia ya kusimamisha wagombea wasio na kashfa ya ufisadi na wenye uzoefu kwenye international relation nadhani wenye akili wamenielewa
 
Ni membe pekee
 
CCM ndio shida ya nchi hii,,, kuendelea kutawaliwa na CCM ni kuendeleza shida za nchi hii, kuendelea na utawala wa CCM ni kuendelea gonjwa la umasikini kwa watanzania..
hakuna mtu mwema na mwenye huruma kwa watanzania atakayekuwa upande wa CCM, CCM ni genge la wahuni na wezi, kwa usalama wa taifa hili ni bora CCM na watu wake wasiwepo.
hakuna kizuri na cha maana kitakachonufaisha watanzania chini ya utawala wa CCM. HAKUNA KIONGOZI BORA NDANI YA CCM.
 
Jamani mmi najiuliza ccm wanahitaji mtu atakayeleta ushindani kwe uchaguzi kweliiii au ndo ile tukose wote!!! Kuna nni nyuma ya pazia linalowafanya baadhi ya wana-sisiem kufight sana ili jamaa lowasa asiwapeperushie bendera uchaguzi huu? Kuna nini kisichopendwa na hawa jamaa? Lowasa anatatizo gani hasa ndani ya chama ukilinganisha na wengine? Nini matokeo yake endapo hawatampa ridhaa yakupeperusha bendera na nini kitabiliwe endapo atapenya kwe hivi vizuizi na kwa bahati mbaya sana akaenda magogoni?. Nasema bahati mbaya coz naimani na ukawa kushika hatamu from october.
Naomba kujuzwa tafadhali!!
 
Hakuna mwenye hatimiliki ya nchi hii.

mwenye hati miliki ya nchi hii ni WANANCHI. viongozi wanaochaguliwa wanawawakilisha wananchi kwa kuwa huingia madarakani kwa ridhaa ya WANANCHI.
 
Absolute garbage,kwani kikao cha leo kinapitia majina ya wagombea urais;na actually form za kugombea urais zilikwishatolewa lini?absolute ludicrous

the absolute and rotten garbage is YOU! mbona unaweweseka?
 
Jamani mmi najiuliza ccm wanahitaji mtu atakayeleta ushindani kwe uchaguzi kweliiii au ndo ile tukose wote!!! Kuna nni nyuma ya pazia linalowafanya baadhi ya wana-sisiem kufight sana ili jamaa lowasa asiwapeperushie bendera uchaguzi huu? Kuna nini kisichopendwa na hawa jamaa? Lowasa anatatizo gani hasa ndani ya chama ukilinganisha na wengine? Nini matokeo yake endapo hawatampa ridhaa yakupeperusha bendera na nini kitabiliwe endapo atapenya kwe hivi vizuizi na kwa bahati mbaya sana akaenda magogoni?. Nasema bahati mbaya coz naimani na ukawa kushika hatamu from october.
Naomba kujuzwa tafadhali!!

kama lowasa ataingia magogoni kwa miujiza, kikwete atafute nchi ya kwenda kuishi kwa kuwa amechangia sana kurudisha nyuma maendeleo ya kisiasa ya lowasa. aidha, JK ajiandae kurudisha yale mabilioni ya fedha aliyochukua kutoka kwa mafisadi wa EPA.
 
CC ya CCM na mizengwe yake chini ya wanaomchukia Lowassa, watu wenyewe wanafahamika, ni baadhi tu, wanahesabika chuki yao ni dhahiri lakini wao siyo wananchi na I wala siyo Mungu! Kila kona ya nchi hii Lowassa Lowassa .................. watu wamechoka wamekata tamaa mpeni Lowassa wao.

Nilicho kigundua hivi karibuni wananchi wengi ndani na nje ya CCM wanamhitaji Lowassa. Waliokuwa wanamchafua Lowassa wananchi wamewashutukia kuwa wanafanya hivyo wakiwa na agenda za siri!

Sasa imefika wakati maji haya masafi (Lowassa) yaendayo kasi iliyojaa matumaini mengi Kwa watanzania, kasi yake haizuiliki. Watakapo jaribu kuyazuia kujenga bwawa litalete mafuriko makubwa na yatakayo sababisha madhara makubwa hasa CCM. Maji haya yaachiwe yafuate mkondo wake.

Mkondo huo ni njia ya demokrasia, tusiwe na double standards, wagombea wote wapewe nafasi tuwafahamu ili tuweze kufanya maamuzi sahihi!

labda wewe ndo unayemhitaji lowasa lakini mimi na familia yangu walaaaa
 
kama lowasa ataingia magogoni kwa miujiza, kikwete atafute nchi ya kwenda kuishi kwa kuwa amechangia sana kurudisha nyuma maendeleo ya kisiasa ya lowasa. aidha, JK ajiandae kurudisha yale mabilioni ya fedha aliyochukua kutoka kwa mafisadi wa EPA.

Kumbe ndo chanzo eeeeh!!! Hili game tamu sana
 
You guys you're not serious. ! Kwa nini siasa za nchi hii ziwawie ngumu. ? CCM itoe wapi nguvu ya kumsulubu Lowasa kama walimshindwa wakati wa kuvua gamba .. akiwa na mzee vijisenti.

CCM ingekuwa na uwezo huo .. ungejionyesha kwenye mambo muhimu ya kitaifa .. kwenye maamuzi magumu. . pasingekuwa na mambo sijui ya kubakisha viporo .. hadi vichache au kuvua gamba nusu nk
 
Double Standard Approach ya CCM itakuwa ya ajabu Zaidi.. Yaani wamfungie Lowassa Kufanya Kampeni HUKU Pinda, Membe wanaruhusiwa? JK alipiga kampeni kwa miaka 10!!! ... Watanzania wanaona.... Diallo na RFA yake inajulikana kuwa wako kwa Membe ...

Back
Top Bottom