Kamati Kuu kukata jina la Lowassa

Kamati Kuu kukata jina la Lowassa

usiwe mjinga kama mbayuwayu usilete ukabila wako humu

lowassa ndio mtu pekee mwenye mvuto ndani ya ccm na cc hlo ndilo tunajua sisi na ndiye Raisi wako wa awamu ya tano

hutaki!! JIPANGE KISAIKOLOJIA
Ana mvuto kwako, sio kwa wengine! Kwa taarifa yako sisiemu watamsimamisha Dr. Shein, na kwa sisiemu watamnunulia mvuto Dr. Shein, ingawa simkubali ila ni mara 1000 ya fisadi EL. JIPANGE KISAIKOLOJIA, yaani jipange kweli!
 
Dr Slaa, Lowassa wote wamekwisha jichokea hawatufai kwa nafasi ya u Rais
 
RFA zi chombo cha Dialo ambaye ameshaweka wazi kuwa Lowassa sio mtu wake?
Hata hivyo wacha jina likatwe ili tushudie MAAMUZI MAGUMU atakayochukua!
 
Msituletee uzushi wenu wa kijinga kila siku lowasa tumechoka na fisadi lenu mnajifanya mnajua kubashiri.
 
Rais wa awamu ya tano Dr Slaa. Hao wengine hao wanaopoteza muda tu!

hata babu wa CCM--Kingunge anajua kwamba ndani ya CCM hakuna mtu mwenye sifa za kuwa rais na ameishatoa tahadhari. kwa hiyo watanzania muelewe kwamba rais ajaye atatoka UKAWA na jina lake ni Rais Dr Wilbroad Peter Slaa.
 
Mi nilijua wameshamtimua huyo jamaa kwe chama!!! Nitaselebukajeeee!!!! Go UKAWA go CDM gooooooo
 
Hapa wanaoweweseka ni CCM au vibaraka wa Mzee Slaa akina tpaul ?
Kwa uelewa wenu B7 hamuwezi kuelewa kinachoendelea nyie subirini matokeo ili mje kujadili matukio.


PIGA KURA YA HAPANA KWA KATIBA PENDEKEZWA
 
Last edited by a moderator:
Hakuna mafuriko wala sunami hapa nchi yetu ya amani mtu au watu hawashawishiwi kwa kugawa fedha ovyo misikitini na makanisani....hakuna Ikulu ya kuingia hivyo...kuna kazi nyingi za kufanya sio URAIS TU. TUNATAKA ZAIDI AMANI KULIKO TAMAA YA MADARAKA.
 
usiwe mjinga kama mbayuwayu usilete ukabila wako humu

lowassa ndio mtu pekee mwenye mvuto ndani ya ccm na cc hlo ndilo tunajua sisi na ndiye Raisi wako wa awamu ya tano

hutaki!! JIPANGE KISAIKOLOJIA

Mkuu umemaliza
 
Hapa wanaoweweseka ni CCM au vibaraka wa Mzee Slaa akina tpaul ?

Mkuu mbona unachangia kwa uoga hivyo? kama unataka kukizika chama chako, thubutu kumsimamisha Lowasa, Pinda au Membe uone bakora mtakayochapwa katika uchaguzi wa mwaka huu. ni bora hata mmsimamishe John Komba au Profesa Maji Marefu kuliko hao watatu. Simiyu Yetu unamuona huyu mbugila mwenzako anavyoweweseka?
 
Last edited by a moderator:
Rais wa awamu ya tano Dr Slaa. Hao wengine hao wanaopoteza muda tu!
Uwezekano wa hilo kutokea ni mdogo kwa sababu ya uwezo wa chama tawala kuchakachua matokeo (kuiba kura) nilichojifunza kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ni kwamba uchakachuaji unafanyika kimfumo (systematically).
 
hivi watanzania ni wajinga kiasi gani mpaka wampe slaa urais??????

Huenda kiasi cha ujinga kitakachotumika ni kile kile kinachowafanya wachekelee wakiona Twiga wanapanda ndege,wakisikia habari za escrow,nk nk nk.
 
CC ya CCM na mizengwe yake chini ya wanaomchukia Lowassa, watu wenyewe wanafahamika, ni baadhi tu, wanahesabika chuki yao ni dhahiri lakini wao siyo wananchi na I wala siyo Mungu! Kila kona ya nchi hii Lowassa Lowassa .................. watu wamechoka wamekata tamaa mpeni Lowassa wao.

Nilicho kigundua hivi karibuni wananchi wengi ndani na nje ya CCM wanamhitaji Lowassa. Waliokuwa wanamchafua Lowassa wananchi wamewashutukia kuwa wanafanya hivyo wakiwa na agenda za siri!

Sasa imefika wakati maji haya masafi (Lowassa) yaendayo kasi iliyojaa matumaini mengi Kwa watanzania, kasi yake haizuiliki. Watakapo jaribu kuyazuia kujenga bwawa litalete mafuriko makubwa na yatakayo sababisha madhara makubwa hasa CCM. Maji haya yaachiwe yafuate mkondo wake.

Mkondo huo ni njia ya demokrasia, tusiwe na double standards, wagombea wote wapewe nafasi tuwafahamu ili tuweze kufanya maamuzi sahihi!

KATIKA MIAKA YOTE HIYO ALIYOKUWA KIONGOZI NDUGU LOWASA , AMEFANYA NINI CHA KUPIGIWA MFANO ? AU UmEAMUA KUJIDHALILISHA TU ?
 
Uwezekano wa hilo kutokea ni mdogo kwa sababu ya uwezo wa chama tawala kuchakachua matokeo (kuiba kura) nilichojifunza kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ni kwamba uchakachuaji unafanyika kimfumo (systematically).

uchakachuaji wa namna yoyote UTALETA VITA YA MILELE NCHINI , HATUTAKUBALI .
 
Back
Top Bottom