Lema wakati akifungua tawi pale sokoni kasema tuna kata mti tunapanda mti...This is super, kumbe kwa CDM hakuna MTU, KABILA wala PESA, huu ni mfano wa kuigwa. Saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaafi saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana!
Habari yako mkuu, jana uliomba katiba ya CHADEMA nikakupatia vipi umeipitia, je umeona makosa ya CC ya Chadema?...
hapo juu kwenye rangi nyekundu hebu nikumbushe ziko wilaya gani na nani diwani, mbunge wa sehemu husika, kwnye rangi ya blue siijui hii barabara...
unashangaa kwanini CC ya CHADEMA imekuja hapa Arusha madiwani watano siyo mchezo kama ingekuwa CCM kamwe wasinge wafukuza sasa basi watu wa Arusha wengi hawajui kilicho tokea na Lema peke yake pengine wengine wasinge mwelewa kwani walio fukuzwa wana mtuhumu na hata leo Asubuhi nimepita sehemu wanaangea na baadhi ya wana Arusha kuwa tazizo ni Lema hivyo Kamati kuu ni busara nani kuonyesha kuwa heshimu wapiga kura wao wa Arusha kuja kuwajulisha kilicho tokea mpaka kufikia kuwatimu madiwa hao... ni maoni yangu tu
Taratibu wataamka na ngoja wauza mafuta waendelee na mgomo na mgao huu wa umeme hapata kalika pale dar...afadhali kidogo huku ArushaIKULU INGEKUWA AR. Jk angeshapa mwendo. Huko Dar sijui wakoje. Utadhani wamelegezwa na magamba lege lege.loh. Amkeni banaaa,?
YupoWapi ngongo????????
acha uvivu nenda kwenye kipengele husika kwani kukusaidia anzia page ya 11 mpaka ya 12 ..ukimaliza uje uchukue kadi...Ahali yangu nimeipata hio katiba na nashukuru sana.
Sasa naomba muda kidogo niipitie kwa kina nikilinganisha na tamko la CC la chadema kisha nitakujuza.
Nipe muda kwani katika sio kitabu cha khadithi.
tusubiri.tuone.Idumu CCM yangu.
Kama wamefikiri kuwa wamefanya maamuzi magumu yanini CC yote iende Arusha? Je wanakwenda kufanya nini?
Bado anatunga umbea.Wapi ngongo????????
Sasa majibu unayo, halafu unayafanya maswali. Ungekuwa uamuzi mwepesi, kusingekuwa na sababu ya kwenda huko. By the way, hizo barabara unazosema zingekuwa zilijengwa miaka kibao iliyopita. Unadahani kuwa madiwani walikuwa wanakimbimbilia maendeleo ya wananchi na sio mifuko yao?
Labda kwa haraka haraka unaweza kuniambia Chadema wamewafanyia nini wakaazi wa Arusha mjini kwa takriban mwaka mmoja toka waingie madarakani.
Labda kwa haraka haraka unaweza kuniambia Chadema wamewafanyia nini wakaazi wa Arusha mjini kwa takriban mwaka mmoja toka waingie madarakani.
acha uvivu nenda kwenye kipengele husika kwani kukusaidia anzia page ya 11 mpaka ya 12 ..ukimaliza uje uchukue kadi...
Kama wamefikiri kuwa wamefanya maamuzi magumu yanini CC yote iende Arusha? Je wanakwenda kufanya nini?au ndio kujikosha kwa wana Arusha watu ambao wamechoshwa na malumbano ya takriban mwaka mzima pasi na maendeleo. wanataka ile barabara ya kwenda skuli kwangu Ilboru (BINO Rd) kutokea sanawari na ile inayotokea mianzini mpaka Ekenywa na ile ya Inaboishu na barabara za majengo, mbauda kaloleni zitiwe lami.
Nachelea kujiuliza Hii CC ya Chadema itawaeleza nini wananchi wenye kiu ya maendeleo? Haya angu macho.
Shule yangu Ilboru inasifika sana
Popote ninapokwenda inasifika sana,
Kwa usafi na majengo inasifika sana.
Shule yangu naku peenda.
Walimu wafanyakazi wasifika sana.
Du Nimemkumbuka BINO mwl Mushi
Kwanini usiulizie miaka 50?
Aisee wewe! Kwa nini unatulazimisha kukutengulia swaumu yako? Unaulza maswali ya kijinga hivyo ndo nini jamani? Mbona miaka 50 ya 1. Tumejaribu 2. Tumeweza na 3. Tunasonga mbele huisemei? Miaka 50 nchi iko kwenye majaribio wewe haikugusi kabsa! Ila umeguswa na miezi 8 ya CDM! Is it??Labda kwa haraka haraka unaweza kuniambia Chadema wamewafanyia nini wakaazi wa Arusha mjini kwa takriban mwaka mmoja toka waingie madarakani.