napingana na mtoa post
labda kamari nyengine ila sio bet ya football
bet ya football ndio kamar nzuri na ya uhakika isio na ugomvi na MTU
unachukua mkeka unachambua timu zako unaweka dau
mechi zikiisha kama umeshinda unarnda na mkeka wako unapata hela yako sasa shida iko wapi?
maksmpun ya bet yanalipa kodi ya billion 33 kwa mwaka na yametoa ajira 3000 nchi nzima mlidhan kaz n lazma utie mijasho? achen akili za kimaskini mm bet imenisadia sana ila ukibet inatakiwa use unajua mpiraa haswaa
Mimi kamari zote sichezi ila kwenye kubet hunibandui.
Sijui kabisa kucheza mpira na wala siujui kwa ujumla wake ila nabet kama kazi nyingine, nashukuru inaniingizia pesa ya kula.
Kwa vile siujui mpira, huwa nabet mechi moja tuu!
Ina na inanilazimu kuzisoma mtandaoni timu husika ili niwe na jibu moja na la uhakika kuwa nakula, tena kiasi fulani.
mkuu nipe odd nijilipuenapingana na mtoa post
labda kamari nyengine ila sio bet ya football
bet ya football ndio kamar nzuri na ya uhakika isio na ugomvi na MTU
unachukua mkeka unachambua timu zako unaweka dau
mechi zikiisha kama umeshinda unarnda na mkeka wako unapata hela yako sasa shida iko wapi?
maksmpun ya bet yanalipa kodi ya billion 33 kwa mwaka na yametoa ajira 3000 nchi nzima mlidhan kaz n lazma utie mijasho? achen akili za kimaskini mm bet imenisadia sana ila ukibet inatakiwa use unajua mpiraa haswaa
Dola itakuchukia sana ukipayuka payuka kuhusu hili janga, juzi hapa kuna thread mtu alileta kuhusu ulipaji kodi, wanadai kampuni za bahati nasibu na kubeti ndizo zinazongoza kwa kulipa kodi! kwa kifupi maisha yetu yameegemea huko, kubahatisha! Kama kweli tunataka viwanda si tungetumia nguvu kama hizo za matangazo na kushawishi watu waanzishe, wajenge na kuajiri viwandani?!Unaitwa mchezo wa matumaini, kupata au kukosa, mchezo uliowafilisi wengi kuwafaidisha wachache na kuwanufaisha wamiliki. Zipo taratibu ngumu za kufanya hii biashara ya mashine za Kamari na michezo ya kubahatisha, lakini kwa kuchukulia mambo ya mazoea au vinginevyo taratibu zinakiukwa.
Hii biashara imekuwa kwa kasi mno miaka ya karibuni, kuna makasino karibia kila mahali sasa. Lakini kibaya na kwamba hii biashara sasa imetoka huko kwenye makasino na kuingia mitaani kwenye vibanda vya kubet sasa kuna vimashine vidogovidogo portable vinasambazwa mpaka sehemu zisizoruhusiwa kisheria kufanya hii biashara.
Kamari si mchezo mzuri unaleta wezi unaleta ujambazi, unalemaza vijana na kuacha kufanya kazi zenye tija, unahamasisha ulevi na umalaya kutelekeza familia na wengine kuleta magonjwa.Unasababisha mauaji mifarakano na migongano kati ya jamii.
China waliliona hili mapema wakapiga marufuku kuchezwa hovyo wakachagua maeneo maalum ya kufanya hii biashara walijua kwanini waliona mbali tulipaswa kujifunza kutoka kwao.Tunaliangamiza taifa na kulemaza kizazi.
Kuna mengi yakutazamwa upya vibali leseni maeneo ubora wa mashine nk, uzalendo ni dhana ngumu kuitekeleza kwa vitendo na uhujumu uchumi sio wizi wa fedha za Umma tuu.
We are killing our future with our own hands... Tusije kumlaumu mtuDola itakuchukia sana ukipayuka payuka kuhusu hili janga, juzi hapa kuna thread mtu alileta kuhusu ulipaji kodi, wanadai kampuni za bahati nasibu na kubeti ndizo zinazongoza kwa kulipa kodi! kwa kifupi maisha yetu yameegemea huko, kubahatisha! Kama kweli tunataka viwanda tusingetuia nguvu kama hizo za matangazo na kushawishi watu waanzishe, wajenge na kuajiri viwandani?!
Double Standards zinatuumiza wenyewe...
And we don't care...We are killing our future with our own hands... Tusije kumlaumu mtu
Mkuu huwa napishana nawe kwenye baadhi ya post zako nikizisoma ila kwa hapa nakuunga mkono kwa asilimia 100. Athari ya muda mrefu tutaiona miaka kadhaa ijayo pale ambapo tutakuwa ni vijana wazee na watoto 90% wasiokuwa na uwezo wa kutumia akili zao kutoa hata neno la busara kwenye harusi za watoto/ndugu zao.Unaitwa mchezo wa matumaini, kupata au kukosa, mchezo uliowafilisi wengi kuwafaidisha wachache na kuwanufaisha wamiliki. Zipo taratibu ngumu za kufanya hii biashara ya mashine za Kamari na michezo ya kubahatisha, lakini kwa kuchukulia mambo ya mazoea au vinginevyo taratibu zinakiukwa.
Hii biashara imekuwa kwa kasi mno miaka ya karibuni, kuna makasino karibia kila mahali sasa. Lakini kibaya na kwamba hii biashara sasa imetoka huko kwenye makasino na kuingia mitaani kwenye vibanda vya kubet sasa kuna vimashine vidogovidogo portable vinasambazwa mpaka sehemu zisizoruhusiwa kisheria kufanya hii biashara.
Kamari si mchezo mzuri unaleta wezi unaleta ujambazi, unalemaza vijana na kuacha kufanya kazi zenye tija, unahamasisha ulevi na umalaya kutelekeza familia na wengine kuleta magonjwa.Unasababisha mauaji mifarakano na migongano kati ya jamii.
China waliliona hili mapema wakapiga marufuku kuchezwa hovyo wakachagua maeneo maalum ya kufanya hii biashara walijua kwanini waliona mbali tulipaswa kujifunza kutoka kwao.Tunaliangamiza taifa na kulemaza kizazi.
Kuna mengi yakutazamwa upya vibali leseni maeneo ubora wa mashine nk, uzalendo ni dhana ngumu kuitekeleza kwa vitendo na uhujumu uchumi sio wizi wa fedha za Umma tuu.
Matokea yake ndiyo haya, maana mtaani hizo hela zinazoingia BIKO, Tatu Mzuka n.k. ni nyingi mno, mno, ingekuwa bora hata raia wangewekeza kwenye bustani au biashara ndogo ndogo...Kwa miaka mingi tumekuwa na mfumo (system) ya kupenda njia za mkato mkato.Kwa kila nyanja, dini/imani, siasa, uchumi, utamaduni, life style, nk.