Kamari: Janga lingine lililofumbiwa macho

Kamari: Janga lingine lililofumbiwa macho

Sisi kina nani? Na nyie night kina nani? Usijaribu kamwe kubomoa misingi ya umoja wetu
Jr[emoji769]
Utofauti sio uadui. Ndio maana tuna dini tofauti, makabila tofauti, jinsia tofauti, vyama tofauti na kadhalika.

Unahofia nini?
 
Utofauti sio uadui. Ndio maana tuna dini tofauti, makabila tofauti, jinsia tofauti, vyama tofauti na kadhalika.

Unahofia nini?
Umesema sisi... Ina maana kuna nyie... Usijaribu kukimbia swali

Jr[emoji769]
 
Umesema sisi... Ina maana kuna nyie... Usijaribu kukimbia swali. Jr[emoji769]
Sijakimbia swali. Ndizo tofauti nilizozieleza. Au unadhani hatupo tofauti? Si umesema mwenyewe kutofautiana mawazo sio uadui. Ama?
 
Sijakimbia swali. Ndizo tofauti nilizozieleza. Au unadhani hatupo tofauti? Si umesema mwenyewe kutofautiana mawazo sio uadui. Ama?
Bado sisi na nyie ulimaanisha nini?

Jr[emoji769]
 
Sio vema kukimbia mjadala.... Kama umeshindwa unakiri tu hutachapwa viboko

Jr[emoji769]
Sasa kuna haja gani ya kupoteza muda kujadiliana na mtu aliyejitoa fahamu makusudi, si upotevu wa muda tu huo mkuu? Halafu siku hizi umekuwa mtu wa hovyo sana mzee baba..
 
Sasa kuna haja gani ya kupoteza muda kujadiliana na mtu aliyejitoa fahamu makusudi, si upotevu wa muda tu huo mkuu? Halafu siku hizi umekuwa mtu wa hovyo sana mzee baba..
Ok sawa usijali kuhusu hilo.. Nijibu sasa kuhusu swali lile la msingi.... Sisi ni akina nani na nyie ni akina nani.... Jibu kwa kutulia wala usikurupuke

Jr[emoji769]
 
Ok sawa usijali kuhusu hilo.. Nijibu sasa kuhusu swali lile la msingi.... Sisi ni akina nani na nyie ni akina nani.... Jibu kwa kutulia wala usikurupuke
Jr[emoji769]
This is BS. Off I go.
 
Never mind about this bullshit....ukitulia jabza zikaisha nitakuomba unijibu kwa weledi

Jr[emoji769]
Wala sina jazba mkuu. Naona nimekosea sana kujadiliana na wewe. Nilisahau kuwa hupendi kuambiwa ukweli.
 
Wala sina jazba mkuu. Naona nimekosea sana kujadiliana na wewe. Nilisahau kuwa hupendi kuambiwa ukweli.
Pole sana lakini bado hujanijibu... By the way nini tafsiri ya ukweli?

Jr[emoji769]
 
Unaitwa mchezo wa matumaini, kupata au kukosa, mchezo uliowafilisi wengi kuwafaidisha wachache na kuwanufaisha wamiliki. Zipo taratibu ngumu za kufanya hii biashara ya mashine za Kamari na michezo ya kubahatisha, lakini kwa kuchukulia mambo ya mazoea au vinginevyo taratibu zinakiukwa.

Hii biashara imekuwa kwa kasi mno miaka ya karibuni, kuna makasino karibia kila mahali sasa. Lakini kibaya na kwamba hii biashara sasa imetoka huko kwenye makasino na kuingia mitaani kwenye vibanda vya kubet sasa kuna vimashine vidogovidogo portable vinasambazwa mpaka sehemu zisizoruhusiwa kisheria kufanya hii biashara.

Kamari si mchezo mzuri unaleta wezi unaleta ujambazi, unalemaza vijana na kuacha kufanya kazi zenye tija, unahamasisha ulevi na umalaya kutelekeza familia na wengine kuleta magonjwa.Unasababisha mauaji mifarakano na migongano kati ya jamii.

China waliliona hili mapema wakapiga marufuku kuchezwa hovyo wakachagua maeneo maalum ya kufanya hii biashara walijua kwanini waliona mbali tulipaswa kujifunza kutoka kwao.Tunaliangamiza taifa na kulemaza kizazi.

Kuna mengi yakutazamwa upya vibali leseni maeneo ubora wa mashine nk, uzalendo ni dhana ngumu kuitekeleza kwa vitendo na uhujumu uchumi sio wizi wa fedha za Umma tuu.
Mkuu vipi utaratibu wa kupata hizi mashine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_20190207-192344.png
 
Back
Top Bottom