Mkuu acha kupotosha watu chukulia mfano unao watoto 10 Na kila mmoja anao mtaji wa 10,million ivyo ukizichanga zote ni kama wana 100,million atokee mtu mmoja umpe kibali cha kuwachezeshea kamari kiss anakulipa kodi kubwa matokeo take watoto wako wanafilisiwa Na MTU mmoja wanarudi kubwa maskini hiyo kodi ambayo naamini itakuwa ni asilimia NDOGO sana itakufaa niniKWANI HAWALIPI KODI?
HUJUI LAS VEGAS WAABET SANA NA WANA MAENDELEO KULIKO TZ?
HUJUI UK WANABET SANA NA WANA MAENDELEO KULIKO SISI
Mkuu wanaochaniwa mikeka ni wangapi? Pia unasema wanalipa kodi zaidi ya 3bl ulishafuatilia ni asilimia ngapi ya mapato walioingiza? Pia unasema wametoa ajira kwa wtz 3000 nchi nzima ulishawahi jiuliza ni mamilioni mangapi ya watu wanaachwa masikini? Pia unatakiwa ujue huo ni saw a Na ugonjwa ukishakuingia kichwani kuacha ni vigum nnooo.....napingana na mtoa post
labda kamari nyengine ila sio bet ya football
bet ya football ndio kamar nzuri na ya uhakika isio na ugomvi na MTU
unachukua mkeka unachambua timu zako unaweka dau
mechi zikiisha kama umeshinda unarnda na mkeka wako unapata hela yako sasa shida iko wapi?
maksmpun ya bet yanalipa kodi ya billion 33 kwa mwaka na yametoa ajira 3000 nchi nzima mlidhan kaz n lazma utie mijasho? achen akili za kimaskini mm bet imenisadia sana ila ukibet inatakiwa use unajua mpiraa haswaa
Noted acha waliwe tu wazid kuwatajirisha wengineMay be 0.5 % win so as to make others plays. Na wataweka hii kuwa very big news. The rest of the money go the the house (Casinos, betting shop, agents , Bucket shops, Forex intermediary, teacher, Gurus, etc).
Hakuna mtu aliyejenga kwa kubet tuu. Soon or later atafilisika kama akiendelea na hii watu wanaiita biashara. Lakini hauwezi kumpata maskini ambaye ana Casino, broker, Guru, Teacher, Agent au mtu ambaye ana betting shop. Wote wana hela kwa sababu wenyewe ndio wanaopokea hela. Lakini wanaotoa hela angalia maisha yao hakuna tajiri. Think.
Halafu pia kitu kingine ni kwamba kodi analipa mchezaji wa huo mchezoMkuu wanaochaniwa mikeka ni wangapi? Pia unasema wanalipa kodi zaidi ya 3bl ulishafuatilia ni asilimia ngapi ya mapato walioingiza? Pia unasema wametoa ajira kwa wtz 3000 nchi nzima ulishawahi jiuliza ni mamilioni mangapi ya watu wanaachwa masikini? Pia unatakiwa ujue huo ni saw a Na ugonjwa ukishakuingia kichwani kuacha ni vigum nnooo.....
hahahhaahhaaaaaAcha tucheze kamali... Si unaona nao wanateuna kwa mahaba
Bila kusahau Tatu mzuka, ubuyu jackpot [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]biko
mkeka bet
mbet
mpira pesa
hivi ni baadhi tuu ya mafanikio ya viwanda awamu ya 5
sisiemu hoyeeeeeeeee
Halafu akina alky, juma, rashidi, awadh, saleh, abdul ndo wanaongoza kwa kufanya hii biasharaFourteenth Greater Sin: Gambling
Gambling is the fourteenth Greater Sin. The following statements support this view. The Holy Qur’anstates in Surah al-Baqarah:
“They ask you about intoxicants and games of chances. Say: in both of them there is a great sin...”(Surah al-Baqarah 2:219)
“Ithm al-kabir” means a very great sin. The Holy Qur’an has used this phrase only for drinking and gambling.”
The tradition related by Fazl Ibn Shazān from Imam ‘Ali ar-Riďa (a.s.) also included gambling among the Greater sins. Similarly, gambling is clearly mentioned as a Greater Sin in the tradition related by Amash from Imam Ja’far as-Sadiq (a.s.).
Imam Ja’far as-Sadiq (a.s.), is reported to have told Abu Basir:
“It is Harām to sell chess. It is Harām to spend the income of this sale. To keep chess (board and pieces) in ones possession is tantamount to kufr (disbelief). To play chess is equal to ascribing partners to Allah. It is a sin even to salute one who plays chess. One who touches it in order to play it, it is, as if he has contaminated his hands by touching pork.”1
The same tradition is recorded in the book Man La Yahzarul Faqih with the addition inter alia that:
“To teach chess to others is also a kind of destructive sin.”
It is related from Imam Ja’far as-Sadiq (a.s.):
“Allah pardons all the sinners in the month of Ramadhan except Three kinds of people; those who drink wine, those who gamble and those who harbour enmity and avarice towards a Muslim.”
Another proof is the following verse of Qur’an, which shows that gambling, is a Greater Sin:
“O you who believe! Intoxicants and (Maesir) games of chance and divining (azlam) by arrows are only an uncleanness, the Shaitan’s work; shun it therefore that you may be successful.” (Surah al-Mā’ida 5:90)
Question: "Is gambling a sin? What does the Bible say about gambling?"
Answer: The Bible does not specifically condemn gambling, betting, or the lottery. The Bible does warn us, however, to stay away from the love of money (1 Timothy 6:10; Hebrews 13:5). Scripture also encourages us to stay away from attempts to “get rich quick” (Proverbs 13:11; 23:5; Ecclesiastes 5:10). Gambling most definitely is focused on the love of money and undeniably tempts people with the promise of quick and easy riches.
Uislam uko clear katika hili