badali
JF-Expert Member
- Mar 27, 2017
- 212
- 81
Michezo ya kubahatisha au KAMARI HIZO.hali ngumu na namba zinasomeka vilivyo kwa hiyo watu wanaamua wajilipue kwenye michezo ya kubahatisha
Na zambi za kiwango cha chini ni sawa kuzini na mama ako
Michezo ya kubahatisha au KAMARI HIZO.hali ngumu na namba zinasomeka vilivyo kwa hiyo watu wanaamua wajilipue kwenye michezo ya kubahatisha
mhMichezo ya kubahatisha au KAMARI HIZO.
Na zambi za kiwango cha chini ni sawa kuzini na mama ako
hata sijafanikiwa kukuelewa,,tulia uandike vizuriMichezo ya kubahatisha au KAMARI HIZO.
Na zambi za kiwango cha chini ni sawa kuzini na mama ako
Kutisha kawaida yangu comrade[emoji109] [emoji109]Ha ha ha...umetisha mkuuu
Haziendi zote kuna mirija katikatiKamari ni mchezo unaoipatia serikali kodi ya bure kabisa, kwa sasa ndio unaongoza kwa kodi za fasta , ukibeti jero kodi ni sh 90 , chukulia, watu milioni mbili wabeti jero kwa siku. 500*2,000,000/. 1,000,000,000*0.18 jibu ni 180,000,000