totally kamarNtakuwa wa mwisho kuamini kuwa football betting ni Kamari
Mzee ile ni biznes tuu kama zilivokuwa zinginetotally kamar
Mkuu uliona mbali sanaUnaitwa mchezo wa matumaini, kupata au kukosa, mchezo uliowafilisi wengi kuwafaidisha wachache na kuwanufaisha wamiliki. Zipo taratibu ngumu za kufanya hii biashara ya mashine za Kamari na michezo ya kubahatisha, lakini kwa kuchukulia mambo ya mazoea au vinginevyo taratibu zinakiukwa.
Hii biashara imekuwa kwa kasi mno miaka ya karibuni, kuna makasino karibia kila mahali sasa. Lakini kibaya na kwamba hii biashara sasa imetoka huko kwenye makasino na kuingia mitaani kwenye vibanda vya kubet sasa kuna vimashine vidogovidogo portable vinasambazwa mpaka sehemu zisizoruhusiwa kisheria kufanya hii biashara.
Kamari si mchezo mzuri unaleta wezi unaleta ujambazi, unalemaza vijana na kuacha kufanya kazi zenye tija, unahamasisha ulevi na umalaya kutelekeza familia na wengine kuleta magonjwa.Unasababisha mauaji mifarakano na migongano kati ya jamii.
China waliliona hili mapema wakapiga marufuku kuchezwa hovyo wakachagua maeneo maalum ya kufanya hii biashara walijua kwanini waliona mbali tulipaswa kujifunza kutoka kwao.Tunaliangamiza taifa na kulemaza kizazi.
Kuna mengi yakutazamwa upya vibali leseni maeneo ubora wa mashine nk, uzalendo ni dhana ngumu kuitekeleza kwa vitendo na uhujumu uchumi sio wizi wa fedha za Umma tuu.
Hukumpiga mhindi, uliwapiga wabongo wenzako kupitia mhindi... Na in fact ulichopata wewe ni mkia wa mbuzi na alichopata yeye ni mkia wa kondooNilimpiga muhindi milioni 1.2 mwezi Wa nne kwa elfu mbili, unaponiambia nisicheze sikuelewi kabisa
Wamebadili jina wanaita betting, mama yangu kabla sijajua nilikuwa nikipita mtaaani nawaona vijana wengi wana karatasi na kalamu,, nikawa nashangaa nini kimetokea hapa mjini? mbona naona vijana wanapenda kujisomea siku hizi. kuja kugundua nini wanafanya niliishiwa nguvu. Kuna watu wanadesh hata chai ii aende aka bett. kwa kweli hili ni janga mkuu.
Kwenye hili umefeli vibaya mno... Hatuwezi kuwaza sawa hata siku moja... Tofauti ya mitazamo sio uadui na hiyo serikali hauongozwi na malaika ni binadamu wenye mapungufu na changamoto kama wengineNaona serikali imeanza kuchukua hatua kudhibiti michezo hii.
Ila Mshana kwa kuwa wewe ni anti-govt basi utainanga serikali japo ulishaanzisha uzi mzuri sana kuonesha uovu wa kamari..
Tunajuana wabongo!
Kweli kabisa maono yako yametimia[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji123]naona wakati umetimia... Maandiko hayafutiki
Jr[emoji769]
Umenielewa sivyo! Nilikuwa namaanisha ninyi ni mahodari sana wa kuanzisha hoja, ikitekelezwa mnakuja kuikataa. Yaani vigeugeu. Nimetia shaka kwa sababu ni kawaida yenu na hambadiliki.Kwenye hili umefeli vibaya mno... Hatuwezi kuwaza sawa hata siku moja... Tofauti ya mitazamo sio uadui na hiyo serikali hauongozwi na malaika ni binadamu wenye mapungufu na changamoto kama wengine
Jr[emoji769]
Sisi kina nani? Na nyie night kina nani? Usijaribu kamwe kubomoa misingi ya umoja wetuUmenielewa sivyo! Nilikuwa namaanisha ninyi ni mahodari sana wa kuanzisha hoja, ikitekelezwa mnakuja kuikataa. Yaani vigeugeu. Nimetia shaka kwa sababu ni kawaida yenu na hambadiliki.
Nisamehe kwa presumptions!