Kamari: Janga lingine lililofumbiwa macho

Kamari: Janga lingine lililofumbiwa macho

Asilimia 90 ya wanaobet ni bavicha. serikali ikipiga marufuku utasikia wakisema kuwa wanaonewa.
 
Ngoja niwape ushuhuda kidogo. Mie nimefanya kazi serikali na naendelea na kazi kwa takriban miaka 8 sasa. Nimejitahidi sana kudunduliza kwa kusave kamshahara kangu ili niwe na angalau kitega uchumi cha kunipa 15,000 kwa siku imeshindikana. Nikasikia wenzangu wanatia mkeka nami nikajifunza. Kiukweli kama hauna tamaa za kijinga haukosi 20,000 kwa siku.
Kuna siku walikuwa wanacheza Juventus na R. Madird fainali uefa. Nikajitoa ufahamu nikatia 100,000 kwa kumpa Juventus goli la kuanzia (inaitwa handcap) baada ya game nilikuwa na 1.4Mil maana Madiri alishinda 3:1 ambayo kwangu ilikuwa inasoma 3:2. Sihamasishi betting lakini ukiondoa tamaa za kutaka mil 80 kwa elfu 5 utapata pesa ila ukitaka mil 80 kwa elfu 5 kila siku utakuwa unaliwa.
Kwa mtaji huo nimeweka kitega uchumi fulani. Sikosi 12-16 elfu kwa siku.
Bado unabet? Nakuombea uzima, najua ipo siku utakuja kutuambia hatma ya hicho kitegauchumi!
 
Serikali inategemea kodi kwenye hiyo michezo juzi kayombo kasisitiza wapewe chao mapema
 
Nina mtoto Mdogo home, bado anajifunza kuongea. Nimeumia kuja kugundua ameshakariri yale maneno: BIKO - MSHIKO NJE NJE! Sa hapo anapotamka NJE, NJE! Lazima akuvunje mbavu!
 
Wamebadili jina wanaita betting, mama yangu kabla sijajua nilikuwa nikipita mtaaani nawaona vijana wengi wana karatasi na kalamu,, nikawa nashangaa nini kimetokea hapa mjini? mbona naona vijana wanapenda kujisomea siku hizi. kuja kugundua nini wanafanya niliishiwa nguvu. Kuna watu wanadesh hata chai ii aende aka bett. kwa kweli hili ni janga mkuu.
Ingekua Hawali wasingecheza
 
Nina mtoto Mdogo home, bado anajifunza kuongea. Nimeumia kuja kugundua ameshakariri yale maneno: BIKO - MSHIKO NJE NJE! Sa hapo anapotamka NJE, NJE! Lazima akuvunje mbavu!
IMG-20171013-WA0064.jpg
 
Kuna watu wamejenga kwa kubet tu!


May be 0.5 % win so as to make others plays. Na wataweka hii kuwa very big news. The rest of the money go the the house (Casinos, betting shop, agents , Bucket shops, Forex intermediary, teacher, Gurus, etc).

Hakuna mtu aliyejenga kwa kubet tuu. Soon or later atafilisika kama akiendelea na hii watu wanaiita biashara. Lakini hauwezi kumpata maskini ambaye ana Casino, broker, Guru, Teacher, Agent au mtu ambaye ana betting shop. Wote wana hela kwa sababu wenyewe ndio wanaopokea hela. Lakini wanaotoa hela angalia maisha yao hakuna tajiri. Think.
 
Sasa kazi hamna watu wafanyaje?

Bro, sio sababu, kuingia kwenye matatizo makubwa zaidi. Kuna wakinamama wengi hawana kazi lakini wanauza dagaa, wanafungua genge kwenye shule, colleges na sehemu zenye watu wengi. Sasa kama wewe sio bishoo unaweza kwenda mkoa mwingine au hata Rwanda, Kenya, Malawi Uganda kuanza business ndogo. Baada ya mwaka mmoja miwili unaweza kuwa na pesa za kutosha kufungua kitu kikubwa (Big business).

Kuna single mother wengi wana watoto wengi tuu wanajitahidi, pia watoto wadogo yatima pia wanajitahidi kupambana na hali yao. Sasa wewe una elimu ya kutosha jaribu kufanya kitu chochote, hacha kulalamika tu.
 
Hata humu kuna uzi wa kubet right??
so sad maana watu wanalemaa akili matokeo hutoweza kuona leo wala kesho ila tunatengeneza kizazi cha matahira.

Culture gal, you are 100% right, inabidi vijana wetu wajue kama hela sio ngumu kupatikana lakini inachukua muda kupatikana. Mwaka mmoja au miwili sio muda mrefu kama una malengo. Ndio wazazi wetu walivyofanya. Ndio hizi ni law of nature, hata Bill Gates, Warren Buffet, Mark Zuckerberg walivyofanya.
 
May be 0.5 % win so as to make others plays. Na wataweka hii kuwa very big news. The rest of the money go the the house (Casinos, betting shop, agents , Bucket shops, Forex intermediary, teacher, Gurus, etc).

Hakuna mtu aliyejenga kwa kubet tuu. Soon or later atafilisika kama akiendelea na hii watu wanaiita biashara. Lakini hauwezi kumpata maskini ambaye ana Casino, broker, Guru, Teacher, Agent au mtu ambaye ana betting shop. Wote wana hela kwa sababu wenyewe ndio wanaopokea hela. Lakini wanaotoa hela angalia maisha yao hakuna tajiri. Think.
Cristal clear truth
 
Cristal clear truth

Bro, siku zote ni kitu kile kile, same tricks to every addicts:- umepoteza pesa, unataka kuzirudisha, halafu unapoteza mara mia moja / mara elfu moja kwa muda mwingi kutaka kuzirudisha, Kama unapenda pombe, kamali au madawa ya kulevya pia unatumia zaidi ya pesa mara mia moja / elfu moja kupata same feelings kwa muda fulani mpaka either you go crazy, broke, prison or dead au kama una ndugu wazuri watakwambia punguza, acha hiki kitu. It is always the same cycle. Always same thing. Same trap.
 
Pambaneni na hali zenu! Kwani kuna mtu amelazimishwa kubeti? Kuna mtu kavunja sheria kwa kubeti? Acheni wivu wa KIKE acheni watu wabeti! Kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake
 
Betting zipo karibu kila nchi, hadi mbele huko uk na usa, zimesambaa mitaani!! Kwetu ni kitu kigeni labda ndo maana tunashangaa, ingawa siungi mkono kuiga kila kitu!
 
Back
Top Bottom