NYARUKURURU
JF-Expert Member
- Aug 22, 2016
- 349
- 199
Sahihi kabisa mkuuachana nae!ila nawewe mwambie kuwa WATANZANIA na raisi wao sasa hawajaribiwi!
Sahihi kabisa mkuuachana nae!ila nawewe mwambie kuwa WATANZANIA na raisi wao sasa hawajaribiwi!
Wanajamvi hili swala la mpaka wa ziwa Nyasa kati ya TZ na Malawi tusilichukulie lelemama, kwani wenzetu wako serious zaidi ya tunavyofikiri.
Kwa lugha yao wamesema hivi: “Timba samachepa ndi mazira ake,” maana yake:
"bila kujali jinsi udogo wake, (hummingbird-ndege) yuko tayari kupambana, jino na msumari kwa ajili ya usalama na umiliki wa mayai yake".
soma zaidi hapa: https://www.nyasatimes.com/malawi-a...-protecting-lake-malawi/#sthash.EbZZlIR6.dpuf
Ajaribu aone cha moto na kilicho mkataza mbuzi kupiga mswakiWaache bange wafanye kama alivyofanya Idd Amini ili tumfanye kama tulivyomfanya Idd Amini shenz zake
Mkuu Chikundi ni kweli Waingereza walubadili baadhi ya mipaka ya Mjerumani to the advantage ya makoloni yao, hata matumizi ya maji ya Ziwa Victoria kwa ajili chanzo cha Mto Nile maji yafike Misri.Ni kweli lkn wao wanang'ang'ania makubaliano waliyoyafanya OAU kuwa nchi zote zifuate mipaka ya mwisho iliyochorwa na wakoloni mchoro unaoonyesha ziwa lote ni la malawi. Makubaliano yalisainiwa na mwl nyerere.
Naanza kuwa na wasiwasi na wewe hata nickname yako inaelekea kule kule, tuwabembeleze wao kina nani, kwenye kulinda mpaka hakuna cha kubembelezana. Tukiwakubalia wamalawi kesho wakongo nao watadai ziwa Tanganyika lote ni lao.Ni kweli tulisign mkataba OAU kuwa nchi zote za afrika tuheshimu mipaka ya mwisho tuliyoachiwa na wakoloni na mpk wetu wa mwisho ulikuwa unaonyesha ziwa lote la malawi km ni kosa analo Nyerere kwa kusign makubaliano yale wakati mpk uliwapa ziwa lote malawi. Nadhani Nyerere hakutaka kuonekana mkorofi ukizingatia alikuwa mwanaukombozi mpenda amani. Kinacjotakiwa ni kuwabembeleza tu tukienda mahakama yoyote tunashindwa ndio maana maongezi na malawi yameimarika hasa kuanzia kipindi cha mkapa lkn mambo hayakukamilika baada ya bakili muluzi kutoka madarakani. Baadae mazungumzo yakaendelea lkn hayakuzaa matunda mpk waingereza walipogundua mafuta kuvuka nusu ya ziwa kuelekea kwetu mgogoro ukaibuka upya lkn kisheria ziwa ni lao 100%
Wewe utakuwa na tatizo la mgo lo bila shaka na hayo uliyoandika ni mawazo yatokanayo na mu washo, unge kuwa unaishi pembezoni mwa hili ziwa ungeona umuhimu wake, sio kila kitu muongelee kishenz shenz, ziwa nyasa ni Muhimu sana kwetu na ni haki yetu kunywa maji yake, kula samaki wake na hata kuchimba mafuta yake bila kkuathiri mazingira, maji asilimia tisini ya ziwa yanatoka tz.
Zanzibar haijakidhi kiu ya nyakuwa nyakuwa?Kwa kawaida kelele za jirani haziwezi kumkosesha mwenye nyumba usingizi. Mipaka ya kwenye maji, bahari, mito na maziwa ina formular yake ya calculating, hivyo waacheni Wamalawi wajifurahishe tuu, mwisho wa siku mpaka ni pasu kwa pasu kama ulivyowekwa na ule mkutano wa Berlín wa 1884 na sio mkataba wa Hellingoland kwa sababu Waingereza walikabidhiwa Tanganyika just as a protectorate na sio colony, huwezi kumega kipande cha kitu cha dhamana na kukimegea koloni lako.
Paskali
Tunakuaga na mitazamo tofauti ya kisiasa Ila kwa hili waambie tutaungana kwanza tuwashughulikieeee na tukishawashughulikia tunarudia Tabia za kubishana zetu
Ninaipenda nchi yangu Tanzania Kama ninavyompenda mama yangu, wajaribu waone motoWanajamvi hili swala la mpaka wa ziwa Nyasa kati ya TZ na Malawi tusilichukulie lelemama, kwani wenzetu wako serious zaidi ya tunavyofikiri.
Kwa lugha yao wamesema hivi: “Timba samachepa ndi mazira ake,” maana yake:
"bila kujali jinsi udogo wake, (hummingbird-ndege) yuko tayari kupambana, jino na msumari kwa ajili ya usalama na umiliki wa mayai yake".
soma zaidi hapa: https://www.nyasatimes.com/malawi-a...-protecting-lake-malawi/#sthash.EbZZlIR6.dpuf
siasa za ukawa na ccm ktk mambo ya kitaifa unazileta hapa?Utasimama wewe ficiem wenzako sisi tunawaza pesa zetu za rambirambi huku bukoba eti tutalinda linda
Sisi na tuna tinga tinga.... Hvyo hatujaribiwiHawa Malawi wasifikiri Sisi ni watoto wenzao.
Wanajamvi hili swala la mpaka wa ziwa Nyasa kati ya TZ na Malawi tusilichukulie lelemama, kwani wenzetu wako serious zaidi ya tunavyofikiri.
Kwa lugha yao wamesema hivi: “Timba samachepa ndi mazira ake,” maana yake:
"bila kujali jinsi udogo wake, (hummingbird-ndege) yuko tayari kupambana, jino na msumari kwa ajili ya usalama na umiliki wa mayai yake".
soma zaidi hapa: https://www.nyasatimes.com/malawi-a...-protecting-lake-malawi/#sthash.EbZZlIR6.dpuf
Wana haki kwa mujibu wa sheria na mkatabaWanajiamin Sana, kunan nyuma yao
Waambie wajaribu badala ya mpaka kuwa katikati ya ziwa tutausogeza hadi Lilongwe.Mnajidanganya hamna ubavu wa kuishughulikia malawi