Kamanda wa Malawi aapa kulinda Ziwa Malawi

Kamanda wa Malawi aapa kulinda Ziwa Malawi

Wanajamvi hili swala la mpaka wa ziwa Nyasa kati ya TZ na Malawi tusilichukulie lelemama, kwani wenzetu wako serious zaidi ya tunavyofikiri.

Kwa lugha yao wamesema hivi: “Timba samachepa ndi mazira ake,” maana yake:

"bila kujali jinsi udogo wake, (hummingbird-ndege) yuko tayari kupambana, jino na msumari kwa ajili ya usalama na umiliki wa mayai yake".

soma zaidi hapa: https://www.nyasatimes.com/malawi-a...-protecting-lake-malawi/#sthash.EbZZlIR6.dpuf

Natamani VITA TU.
Tuoneni Ubabe wa huyu MSUKUMA.
 
Maji ni baraka toka kwa mwenyezi Mungu mpaka ni katikati ya ziwa kila mtu apate ndio maana Tanzania haijawahi kudai ziwa Tanganyika ni la kwake huku ikijua DRC na ZAMBIA nao hutumia.
 
Wamalawi mafuta yatawatoa roho hasa inapogundulika kuwa yapo kwenye upande wa Tanzania maeneo ya wilaya ya nyasa ,Mimi naamini wakiamua kutumia jazba itakula kwao mtu mwenyewe yupi huyo wa chato mmm!!
 
Mkuu Chikundi ni kweli Waingereza walubadili baadhi ya mipaka ya Mjerumani to the advantage ya makoloni yao, hata matumizi ya maji ya Ziwa Victoria kwa ajili chanzo cha Mto Nile maji yafike Misri.

Huo mkataba wa Nyerere kiukweli siujui ila tangu enzi za Nyerere, aligombana na Banda hadi tukamtungia wimbo wa
"Banda Wamalawi,
Kutuvalia ngozi ya chui,
Kututishia Watanzania,
Hatujali...Hatujali..."

Kuna international formula ya mipaka ya kwenye mito ni pasu pasu! . Hapo ndipo tutasimamia, hawa Wamalawi wasitubabaishe kabisa, tutawatia adabu.

Paskali
Sasa kama umekiri hujui kuhusu OAU kwanini hukubali kueleweshwa au kama huamini ungekuja na proof baada ya kutafuta kwenye vyanzo mbali mbalo vya makubaliano Ngoja nikueleweshe zaidi ukibisha basi lkn labda kuna wengine watafaidika na maelezo haya.MCHORO WA MWISHO KUTOKA KWA WAKOLONI WA KIJERUMANI UNAONYESHA ZIWA LOTE KABISA NI LA MALAWI KUTOKANA NA MIGOGORO NA VITA NYINGI ZA MIPAKA AFRIKA HUKU OAU IKIJARIBU KUSULUISHA BILA MAFANIKIO YA KUTOSHA VIONGOZI WAKE WALIKUBALIANA KUWA NCHI ZOTE ZIHESHIMU MIPAKA YA WAKOLONI PEKEE BILA KUJALI MAKUBALIANO YA KABLA YA HAPO AU MINGINE YOYOTE PAMOJA NA ILE YA UN VIONGOZI WOTE WALIKUBALI NA KUSAINI WAKIWEMO NYERERE NA BANDA. UGOMVI BAINA YA NYERERE NA BANDA HAUKULALIA ZAIDI KWENYE MPAKA WA ZIWA BALI NI MANENO YA BANDA KUITAKA NYASA YOTE AKIDAI NI YA MALAWI HIYO NYERERE HAIKUMSUMBUA KWA SAB ALIAMINI MKATABA WA OAU UNAMLINDA KILICHOMKERA ZAIDI NYERERE NI MALAWI KUISAIDIA SOUTH AFRICA CHINI YA MAKABURU KUPAMBANA NA NCHI AMBAZO ZILIKUWA ZINAWAPINGA TANZANIA IKIWA TARGET YAO KUBWA BANDA ALITOA ARDHI YAKE ITUMIKE KAMA BASE YA KIVITA YA MAKUBURU HALI HIYO ILIMKOSESHA USINGIZI NYERERE SIO MPAKA WA ZIWA NYASA. TAWALA ZILIZOFUATA HASA YA MKAPA NA KIKWETE WALIWAOMBA MALAWI WAREJEE MKATABA WA UN UNAOZITAKA NCHI ZOTE ZILIPAKANA NA MAJI BASI ZIGAWANE NUSU KWA NUSU LKN MALAWI WALISTICK KWENYE MKATABA WA OAU AMBAO UNAKATAZA KUFUATA MKATABA MWINGINE ZAIDI YA ULE WA OAU LABDA KUWE NA RIDHAA YA KAWAIDA TU. HIVYO TANZANIA TUKAWA TUNAWAOMBA KWA VIGEZO VYA KIBINAADAMU SIO KISHERIA KWANI KISHERIA HATUNA NGUVU. MAZUNGUMZO YALIONYESHA DALILI NZURI CHINI YA UTAWALA WA BAKILI MULUZI LKN BAADA YA KUTOKA MADARAKANI HALI IKAWA NGUMU TENA HALI ILIKUWA MBAYA ZAIDI PALE UGUNDUZI WA MAFUTA ULIPOIBUKA TANZANIA TUKILALAMIKA KUDHULUMIWA NUSU YETU YA MAJI. JUMUIYA YA KIMATAIFA INATUTAKA TWENDE KATIKA MAHAKAMA YA KIMAIFA LKN TANZANIA TUNAJUA TUTASHINDWA KINACHOTAKIWA NI BUSARA TU VITA SIO SULUISHO.
 
Naanza kuwa na wasiwasi na wewe hata nickname yako inaelekea kule kule, tuwabembeleze wao kina nani, kwenye kulinda mpaka hakuna cha kubembelezana. Tukiwakubalia wamalawi kesho wakongo nao watadai ziwa Tanganyika lote ni lao.
Mipaka yote inalindwa na sheria hakuna nchi kwa karne hii inayoweza kudai au kuvamia mpk wa nchi nyingine kama idi amin ilivyofanya na ikitokea nchi kufanya hivyo inatengwa na jumuiya za kimataifa. Tulishajifunga kwenye mkataba aliosaini nyerere tukitumia nguvu yoyote tutatengwa na africa halikadhalika dunia huu ugumu wa maisha wa sasa utakuwa mara kumi.
 
Alafu hizo kelele za wamalawi ni za chura ......mbona hatujasikia kwamba wamekaa ama wamevamia (encroach) upande wetu.....waache kelele waweke muziki...!
 
Kukaa chini ni kuwaomba na kuwabembeleza kwa sab kisheria ziwa ni lao lote kwa mujibu wa makubaliano yaliyoazimiwa na OAU na Nyerere alisaini kuwa michoro ya wakoloni iheshimiwe
Kukaa chini sio lazima kuwaomba na kuwabembeleza ni kuongelea HAKI. ..njia itapatikana tu. ..maana hakuna mkataba wa ajabu kama huo duniani. ..yaani hau make sense period. ..
 
Alafu hizo kelele za wamalawi ni za chura ......mbona hatujasikia kwamba wamekaa ama wamevamia (encroach) upande wetu.....waache kelele waweke muziki...!
Rais wao aliwaambia wananchi wake wale panya na nzige kipindi kile walipokuwa na njaa. ..afanalek. .
 
Km namuona vile magu na mwamunyange wanavyopanga mikakati ya kumpiga huyo anayejaribu kutujaribu,hatujaribiwi sisi
 
Tupo Tayari Kuingia Vitani Kupigania Sehemu yetu ya Tanzania ndani ya Ziwa Nyasa.

Tena waambieni wamalawi kuwa Sasa hivi hatutaona haya kabisa, yaan hadi Bank Kuu ya Malawi Tutaingia ndani tuzoe Dola kama zipo, na tutaingia Ikulu kabisa na kumuweka Rais wetu huko.

Wapelekee Salamu hizi, kwanza tuna Majeshi mengi sana na vifaa vya kisasa vya kivita, tusilaumiane.
Ulishawai kupigana nanani mwenye pawa zaidi idiamini na huko komoro hivi kuna kwingine mtakimbia nchi yenu soma jina langu utagundua.mimi nikabila gani sisi wanyasa tunataka nchi yetu iwe malawi tumechoka kuongozwa na mambumbumbu ficiem
 
Hata Kagame alisema nini sijui kwa ki lugha chao atampiga na asijue amepigwa na nini ,maajabu kabla ya Jk kumaliza muda wake akaja kwenye bandari ya Dar

Hawa Malawi ni kaka na dada zetu ila wanachokitaka watakipata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom