Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,751
Asiye na ugojwa aanze kutupa jiwe
Tutamchagua Lowassa hata akiwa ICU
Asiye na ugojwa aanze kutupa jiwe
Hamna namna ,awabane tu mpaka wote wapate tezi dume.
Lowassa, Mabadiliko......
Mabadiliko, Lowassa......
Itabid tuseme msemo mmoja wa marekani ** Haijalishi Kama Ataleta Maendeleo au la! Tutamchagua Obama Kuuonyesha Ulimwengu Kuwa Marekani Ni ya Kila Mtu.*** na sisi tunasema*** Haijalish Kama Ataleta Maendeleo au la! Tutamchagua LOWASA Kutoka UKAWA Kuuonyesha Ulimwengu Kuwa Tanzania Siyo ya ccm Pekee. Tuma ujumbe huu kwa wadau wasiopungua hamsini ili kuleta mabadiliko ya kweli. Lowasa oyeeeeee. Samahani kama utakwazika Lkn Tunaonesha Uzalendo Kwa Taifa Letu LA miaka 54 ya Uhuru likipitwa Na Kenya iliyochelewa kupata Uhuru kimiundo mbinu, elimu, utalii, kilimo, Katiba Mpya, Na hata Rwanda iliyotoka vitani inatupita sisi tuliojaliwa rasilimali adimu duniani.
Edo angekua vizuri kuongea ndo ingekua balaaa!.
Hakuharibika ubongo.,the mzee had an intact functional brain cells,huyu mlanguzi wenu hawezi hata kushika MIC ,central command is getting degenerated as the time is numbered ,hata form anasainiwa...
NOTE THE DIFFERENCE PLS
Endeleeni kudanganyana mitandaoni,huko site hii ndio hali halisi
![]()
Umati wa wakazi wa Musoma mjini wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli ambaye aliahidi kutatua kero ya Maji,Bara bara, Elimu na huduma za Afya.
![]()
![]()
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuliakihutubia wakazi wa nyamongo ambapo aliwaambia kuwa atahakikisha makampuni ya kuchimba madini yanaweka wazi taarifa zao.
![]()
wakazi wa Tarime kwenye mkutano wa kampeni.
![]()
![]()
Wakazi wa Ikindilo wakimsikiliza mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Huyo ndiyo kiongozi ambaye hata vyombo vya ulinzi na usalama vinamkubali.Hapana bana mkuu LOWASA awe na huruma hivi kwani hajui kuwa ccm ndo ipo madarakani?
Sasa mbona anawanyima usingizi hivo?
Mbaya zaidi kila wakimshambulia yeye kimya huwa hana mda nao we wadhani ccm wanajisikiaje ilighali wana mioyo ya nyama.
wametukana wapi mzee hajibu, Sasa hata mzee joseph warioba katupilia mbali katiba ili kujaribu kuiokoa ccm lakini wapi na mkapa sasa kaanza ziara lakini wapi maana mzee ben hata kwa nasari kule meru alienda kumnadi sioyi akala za uso na sasa amebaki kupaniki na kutukana maana mambo hayaendi
LOWASA waonee huruma ccm tafadhali nao wana mioyo ya nyama.
Endeleeni kudanganyana mitandaoni,huko site hii ndio hali halisi
![]()
Umati wa wakazi wa Musoma mjini wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli ambaye aliahidi kutatua kero ya Maji,Bara bara, Elimu na huduma za Afya.
![]()
![]()
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuliakihutubia wakazi wa nyamongo ambapo aliwaambia kuwa atahakikisha makampuni ya kuchimba madini yanaweka wazi taarifa zao.
![]()
wakazi wa Tarime kwenye mkutano wa kampeni.
![]()
![]()
Wakazi wa Ikindilo wakimsikiliza mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Hii itasaidia nchi yetu kujitegemea na kutoomba misaada 100% ambayo inaleta ushoga kama unawashabikia ulaya wewe ni sh.o..ga
lakini mkuu tumia logic angalau kidogo,huyu mtu anaumwa,anatakiwa mapumziko,mi nashauri uchaguwe magufuli,,,,,,achana mambo ya kishabiki bana
Endeleeni kujifariji tu