Kamanda Lowassa ndani ya Singida, Afanya mkutano Manyoni

Kamanda Lowassa ndani ya Singida, Afanya mkutano Manyoni

Tatizo wengi wanatumia muda wao kumjadili na kumsema badala ya kumwombea, yawezekana angekuwa ameshaimarika. Mungu tunaomba umponye mzee wetu, japo hatujajua mambo yatakuwaje baada ya tarehe 25 Oktoba,2015.
 
acha akatetemeke ikulu co kila ck kiguu na njia nchi za watu km huyo ambaye pia alikuwa anadondoka ovyo mwisho kaamua kudondosha nchi jumla
 
Siasa nyepesi kama Sufi au pamba. Wakenya walimchagua Emily Kibaki akiwa kwenye Wheel chair yaani baiskeli ya kukokota wagonjwa baada ya kupata ajali akiwa kwenye kampeni. Kikwete alidondoka Mara ngapi jukwaani mbona tulimchagua kwa kishindo? Zamu ya Lowassa hata akilazwa kura yangu na familia yangu ni zake​
 
Lowasaaaa....hata kama ange dondosha jukwaa nzimaa KURA ni kwa LOWASA tu. Fisiemu,mtakoma Mwaka huu.
 
In 2002 kibaki was so sick during the campaign after a massive accident that during the campaign and swearing in on a wheelchair.....hata kampeni was done by odinga, saitoti na late wamalwa...Please be objective and realisticin your commentaries.
 
Siasa nyepesi kama Sufi au pamba. Wakenya walimchagua Emily Kibaki akiwa kwenye Wheel chair yaani baiskeli ya kukokota wagonjwa baada ya kupata ajali akiwa kwenye kampeni. Kikwete alidondoka Mara ngapi jukwaani mbona tulimchagua kwa kishindo? Zamu ya Lowassa hata akilazwa kura yangu na familia yangu ni zake​
Kibaki alipata ajali wewe mburula.aliumia miguu,usilete irrelevant correlation ,huyu Low~Hasa ,ana shida upstairs ,yaani brain cells zina degenerate ,it will.only get worse with time.
Yaani ataongozwa by remote na MTEI family ,sasa yule DJ ,mpiga hela mjini awe Rais by proxy ,haliwezekaniki ,haikubaliki.
 
Kikwete alishawahi kudondoka kabisa jukwaani,na alishinda Urais,we una shangaa kudondosha mic!
Huyo ndo Rais kwa taarifa yako
JK kamanda wa kweli JWTZ achana na huyu graduate wa sanaa za maonyesho. Mara zote mbili Kikwete alikuwa kwenye swaumu na ilikuwa dehydration tu. Kwa sisi tunaofunga tunaelewa what goes on hasa ukijitumikisha sana wakati mwili hauwi replenished accordingly.

Juzi juzi hapa Mbowe kapoteza netiweki wakati wa kuzindua kampeni za UKIWA mpaka kakimbizwa na kulazwa Muhimbili. Unajua tatizo lilikuwa nini? Uchovu na dehydration which is normal. Sasa huyu mtaalam wa sanaa za maonyesho anatetemeka kabisa permanently tunaona hivi halafu unaleta argument ya Kikwete kuanguka? Tuombe tu kuwa his mental faculties are still intact otherwise kuna hatari ya kuongozwa na zombie/msukule japo naamini hatashinda kwani Watanzania siyo wapumbavu wala malofa!
 
Hivi urais ni kubeba vyuma au zege jamani? au ni ku-delegate majukumu tu,, Lowasa mbona mi naona yuko fit sana tu.
 
In 2002 kibaki was so sick during the campaign after a massive accident that during the campaign and swearing in on a wheelchair.....hata kampeni was done by odinga, saitoti na late wamalwa...Please be objective and realisticin your commentaries.
Hakuharibika ubongo.,the mzee had an intact functional brain cells,huyu mlanguzi wenu hawezi hata kushika MIC ,central command is getting degenerated as the time is numbered ,hata form anasainiwa...
NOTE THE DIFFERENCE PLS
 
kama magufuli anamnadi chenge hiyi mahakama ya wala rushwa atakayoianzisha atamfunga nani?au ni wale kina kambaja nani....
 
Hivi urais ni kubeba vyuma au zege jamani? au ni ku-delegate majukumu tu,, Lowasa mbona mi naona yuko fit sana tu.
Parkinson's na dementia vinavuruga ubongo mkuu. Hii kutetemeka ni symptoms tu kazi hasa ni huko kichwani. Ugonjwa ukikolea huwa hawakumbuki cho chote na kujinyea ni jambo la kawaida na wala hawajui kuwa wamejinyea. Sasa ata-delegate nini wakati wala atakuwa hajui kinachoendelea? Na ugonjwa huu hauna tiba. Go figure!
 
Hivi urais ni kubeba vyuma au zege jamani? au ni ku-delegate majukumu tu,, Lowasa mbona mi naona yuko fit sana tu.
Hiyo delegation inafanywa na ubongo kiongozi ,yeye ana dalili za kiharusi ,kuonesha cell za ubongo zina shida ,kama atatumia masaburi kufikiria ili kutoa maamuzi sawa,akitumia ubongo tayari ni shida.
 
Back
Top Bottom