Lowasa mzee waonee huruma ccm mbona hivyo hivi we mzee Lowasa unajua idadi ya vikao vinavyo fanywa na makada, hivi unajua gharama ccm walizoingia hadi sasa kwajili yako wame nunua watu akiwemo slaa & co, wasanii, vijanaa wa kufanya vurugu, matangazo kibao na mabango pia lakini yote wameshindwa vikao vyao vyaendelea waone namna ya kufanya maana we mzee umeshindikana.
Yaani unawapa tabu sana mzee ebu waahidi basi walau utaunda serikali mseto
maana wana haha magharama yao watarudishaje ilighali wameshatumia miguvu kibao lakini bado upepo mbaya kwao ccm.
Ewe lowasa waonee ccm huruma nao ni binadamu.