Kamanda Lowassa ndani ya Singida, Afanya mkutano Manyoni

Kamanda Lowassa ndani ya Singida, Afanya mkutano Manyoni

Leo mida ya mchana mgombea wa UKAWA Lowasa amejikongoja kuhutubia kwa Dakika 11 ila alianza kutetemeka hadi akaangusha Mic alijifanya mjanja kushika mwenyewe
 
CCM kwa majungu..vipi chenge kanadiwa na magufuli au ndoto ya mahakama ya mafisadi imekufa
 
Uhuru Kenyata alikataliwa totally na mataifa yote ya ulaya na Marekani ila kwa aliyefika kenya recently ataona kenya ilivyopiga hatua hata inakuwa ya 3 kwa uchumi stable baada ya SA na Nigeria. Nasi wanaotupa raisi sio ulaya bali ni wananchi wanaojua utendaji wake, na uadilifu wake. hana wa kumsemea uadilifu huo kwa kuwa maadui wake ndio kama wangekuwa wenye utu wangeongelea uadilifu na uchapa kazi wake. CCM wanapoteza na watattumia kila kilicho kwenye bongo lala zao kuhadaa uma but this is a new era na ndio transformation yenyewe.
 
Singida yatikisika IMG-20150912-WA0062.jpg 6
 
Leo mida ya mchana mgombea wa UKAWA Lowasa amejikongoja kuhutubia kwa Dakika 11 ila alianza kutetemeka hadi akaangusha Mic alijifanya mjanja kushika mwenyewe

Akiwa Rais muandae fungu la kutosha la matibabu
 
Lowasa mungu akusaidie utuokoe katka janga la ccm, watanzania tuko nyuma yko
 
Itabid tuseme msemo mmoja wa marekani ** Haijalishi Kama Ataleta Maendeleo au la! Tutamchagua Obama Kuuonyesha Ulimwengu Kuwa Marekani Ni ya Kila Mtu.*** na sisi tunasema*** Haijalish Kama Ataleta Maendeleo au la! Tutamchagua LOWASA Kutoka UKAWA Kuuonyesha Ulimwengu Kuwa Tanzania Siyo ya ccm Pekee. Tuma ujumbe huu kwa wadau wasiopungua hamsini ili kuleta mabadiliko ya kweli. Lowasa oyeeeeee. Samahani kama utakwazika Lkn Tunaonesha Uzalendo Kwa Taifa Letu LA miaka 54 ya Uhuru likipitwa Na Kenya iliyochelewa kupata Uhuru kimiundo mbinu, elimu, utalii, kilimo, Katiba Mpya, Na hata Rwanda iliyotoka vitani inatupita sisi tuliojaliwa rasilimali adimu duniani.
 
Leo mida ya mchana mgombea wa UKAWA Lowasa amejikongoja kuhutubia kwa Dakika 11 ila alianza kutetemeka hadi akaangusha Mic alijifanya mjanja kushika mwenyewe

Mtahangaika sana, lakini huyo ndo rais wenu wa awamu ya Tano.
 
watasoma namba mwaka huu ccm hawajawah kukutana na balaa kama hii ya mwaka huu
 
Wakati Mwigulu akihangaika kumpigia kampeni Magufuli Singida hiyoooooooooooo,,atashangaa

attachment.php
 

Attachments

  • 11059862_892211474194320_529866829693702728_n.jpg
    11059862_892211474194320_529866829693702728_n.jpg
    49 KB · Views: 1,456
Back
Top Bottom