Kamanda Lowassa ndani ya Singida, Afanya mkutano Manyoni

Kamanda Lowassa ndani ya Singida, Afanya mkutano Manyoni

Mie labda niwa ambie kitu watu wa ccm hata sisi tunajua mko karibuni kukata roho na dunia nzima ina jua kukata roho siyo kazi rahisi huu ni mwaka wa mabadiliko
 
Karibu tanzania mpya tumaini la kweli mabadiliko ya uhakika peopleoooooooooooooooooooooz
 
Tumekusoma lakin lowassa ndo rais wako utake usitake
 
Leo mida ya mchana mgombea wa UKAWA Lowasa amejikongoja kuhutubia kwa Dakika 11 ila alianza kutetemeka hadi akaangusha Mic alijifanya mjanja kushika mwenyewe

Kumbe CCM mnasaidia kujaza nyomi
 
Kwani wakati Marekani wanamchagua Obama walikuwa hawajaendelea hata waseme haijalishi ataleta maendeleo au la?
 
Back
Top Bottom