Jamani anae weza kunijuza.... mwenye uhakika kura za uraisi zinahesabiwa vipi plz.... maana hapa tiyari Raisi tunae je hawatachakachua hawa jamaa zetu??
Ccm tunawaua asubuhi na mapema
Aione yuda Iscariot Dr. W. Slaa,na delilah Josephine
Last edited by a moderator: