Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,364
Kama ningekuwa mimi nisingetangaza..Mkuu wa upelelezi alokabidhiwa kazi hii ndiye angetangaza yeye maanake haingii akilini. Huwezi kukurupouka kutangaza muuaji kutokana na mtu kujitokeza huku majuu vichaa wengi hufanya hivyo kwa publicity tu. Ushahidi ulokusanywa hufananishwa na maelezo ya mtuhumiwa na kikubwa zaidi Dr. Ulimboka mwenyewe angemtambua mhusika hapo ndipo unaweza kutangaza.
Huyu mtu nayedaiwa kuwa jambazi maelezo yake yote yanfanana sana na yaliyoandikwa magazetini jambo mabalo hata miomi ningeweza kusema hivyo hivyo. Kama kweli huyu mtu ni jambazi kwa sifa ya Gangster, huyo Padre mbona hapewi ulinzi maana kavunja miiko ya Mapadre na upo uwezekano mkubwa kundi la majambazi wenzake kuja kumfanyizia. Mchungaji wetu jihadhari sana, maisha yako yako hatarini maana ili sinema hii ipate uzito wa kuaminika ni lazima udhuriwe vile vile.
ni mchungaji wa kanisa la ufufuo mkuu na si padre kama ulivyoandika