Ninachosema ni kuwa "Tuwe waangalifu na uchaguzi wetu maishani", ukichagua kuolewa kuzaa ni wajibu! Wala hautalaumiwa kwa kuzaa! The same applies to Kamanda.
enheeeee,,,,,,,,na kulala bila nguo ni faradhi,wacha bhana
Ninachosema ni kuwa "Tuwe waangalifu na uchaguzi wetu maishani", ukichagua kuolewa kuzaa ni wajibu! Wala hautalaumiwa kwa kuzaa! The same applies to Kamanda.
Ninachosema ni kuwa "Tuwe waangalifu na uchaguzi wetu maishani", ukichagua kuolewa kuzaa ni wajibu! Wala hautalaumiwa kwa kuzaa! The same applies to Kamanda.
Duh! utapita lini!? Baada ya miaka 50 mingine!? :confused2:
yeah,anaitwa AL-HAJI KOVA,OVAHuyo nani, kajicho,sijui kovu ni sehemu ya mkakati huu, sio tu kwa sasa bali hata wakati wa kutekwa dr.Ulimboka,hawezi kujinasua,ni sehemu ya kikosi kazi, kwani hili la kwanza kwa kova!???
Usijali ndugu, maana siku ukipita "UTAPITA" tu. Tumwombe Mungu ili upite
Mbona unamtetea sana huyu gamba? Ni nani kwako huyu hadi umtetee kiasi hiki na kwa kipi alichowahi kukifanya miaka ya nyuma mpaka umpigie debe la nguvu kwamba asilaumiwe? au weye ndiye Kova mwenyewe?
ni upepo, utapita tu! Kamanda kaza buti
yeah,anaitwa AL-HAJI KOVA,OVA
Thank you mkuu!
Kama kuna Mwana JF liyepiga picha ya huyu Mkenya wa Kova na ana picha ya huyu Msangi, napendekeza zote zipelekwe kwa Dr Ulimboka huko Afrika Kusini.
Ulimboka anaweza kututhibitishia aliyemteka na kumtesa.

Ni aje? Funguka banaa!![]()
"Namtetea kwa kuwa katika wakati mgumu tukipata wa kututia moyo, huwa ni rahisi moyo kurudi nyuma na kuwa mwanadamu tena. You never know, anaweza akaamua kueleza ukweli wote anapojua kuwa tunaelewa anayo pitia! Ni nature yetu wanadamu"
Ndugu wanaJF, humu ndani kumejaa lawama na laana kwa kamanda wetu kipenzi, Kova. Najua uchungu uliopo mioyoni mwa watz wengi. Lakini tujiulize au tuvae viatu vya kamanda wetu;
- Je mwenyewe alipenda alicho kitangaza?
- Hakujua mwitikio wa watz utakuwaje?
- Je yeye ni mjinga?
Hakika majibu yetu sote ni HAPANA!
Kwa nini sasa?
ANA WAKATI MGUMU MAISHANI MWAKE KAMA KAMANDA!!! Tumtie moyo tu. Au mnadhani sikio linaweza kupita kichwa?