Kamanda Kova asilaumiwe!

Kamanda Kova asilaumiwe!

Mmh, bora kuanzisha polisi binafsi na vituo vya polisi binafsi kama vipi, maanake michezo imezidi, polisi kazi wanaifanyia posho tu, sio kulinda nchi kikweli kweli
 
Hivi kwa nini serikali ya Jk haimkamati mtuhumiwa wa kumtesa Dr Steven Ulimboka?kwa sababu Dr Ulimboka aliweza kumtambua pale alipofika wodi kutaka kumalizia kumuua Dr Ulimboka,hivi angekuwa ni mlalahoi ndo anatuhumiwa si angekuwa ameisha kamatwa na kufunguliwa mashitaka.Hivi huyu Ahmed Msangi anakinga ya kutokamatwa au analindwa na vigogo wenzake wa jeshi la pilisi na wa usalama wa taifa?au ni kutokana na udhaifu wa serikali ya mr Dhaifu?

Kesi ya ngendere kumpelekea nyani?

Watamkamataje wakati wao (Pinda, JK) ndiyo waliomtuma? Jiulize huyo Abeid Afisa wa IKULU yuko wapi? uzuri Dr. Uli na Dr. Deo wanamfahamu vizuri.

LIWALO NA LIWE was a CODED message to TISS. Pinda maekuwa TISS wa IKULU kwa mda mrefu.

LIWALO NA LIWE was deliberate coded message to TISS to kill Dr. Ulimboka.

Sijui huyu Pinda ni Mkatoliki gani? inabidi tumtenge kama yule jamaa wa Sumbawanga aliye blaspherm ukatoliki.
 
Ina maana ile mbinu ya kuchukua wafungwa ilivyovuja imebidi wachukue mkenya,Inauma halafu ni aibu tupu,yaani hata uwe zoba vipi inaonekana tu wameipika iyo issue
 
Hongeara sana jeshi la polisi kwa kumaliza utata ingawa watu wachache wasiokuwa na uzalendo na mapendo mema na nchi yao huwa wabishi kila siku, hawa huwa hawaoni success siku zote wanafikiri kupinga kila jambo linalofanywa na serikali ama vyombo vya uslama hawajui usalama wao hutengea vyombo vya usalama wanavyovibeza kila siku.
 
Hongera sana jeshi la polisi kwa kumaliza utata ingawa watu wachache wasiokuwa na uzalendo na mapendo mema na nchi yao huwa wabishi kila siku, hawa huwa hawaoni success siku zote wanafikiri kupinga kila jambo linalofanywa na serikali ama vyombo vya uslama hawajui usalama wao hutengea vyombo vya usalama wanavyovibeza kila siku.
 
ukiwa na busara huwezi endelea fanya kazi za kuwaua ama kuwaumiza wengine, kova analaumiwa kwa sababu anjua anachofanya kuwa si sahihi sasa kwa busara ilimpasa kuachana na kazi hiyo maana inamjengea maadui na kumvunjia heshima kama vile pinda.
labda tukubaliane kuwa hana busara na njaa ndio inayomsumbua ndio maana anaendelea kufanya anayoyafanya.
maana kuchagua pesa kuliko utu ni uchache wa busara
ndio maana mfalme suleiman katika biblia hakumuomba mungu utajiri au hela au nguvu aliomba busara.
Napenda kujua maendeleo ya kamanda kova kwa sasa, yuko wapi na anafanya nini? Na daktari ulimboka yuko wapi? Msaada wa taarifa hizi ili tuweke historia vema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom