Kama Zitto Kabwe unaweza kununuliwa ukipewa nchi si utatupiga mnada?

Pia mashaka ya ni pale wanapotumia mita za Tanesco kukusanyia kodi, bado wanasema gharama za kuunganisha umeme zilikuwa ndogo!
Sasa hivi wanakusanya pesa bila kashkash na kujisifu makusanyo yameongezeka kumbe juhudi za akina Kalemani na JPM kuhakikisha nchi nzima inapata mwanga!
Shame on them
 
Mjinga Kama wewe tu ndo anaweza kuamini report za CAG,unadhani Kama mpango ni kumchafua JPM,mipango yao itaanzia wapi Kama siyo kwenye report za CAG,huyo Kichere anaelekezwa Cha kuandika tu we poyoyo
Kama alivyo kuwa anaelekeza mwenda zake
 
Kama Samia pamoja na tozo kila kona bado hela ya kujenga tu madarasa amekopa WB, walitaka Magufuli hela ya kujenga SGR, Bwawa la umeme atoe wapi?

Hii mbona ni akili ya kawaida tu.

Halafu anasema Magufuli hakua mkweli wakati hiyo deal ya kukopa Standard Chartered Bank ilitangazwa hadharani, ni siri ipi hiyo ambayo haijulikani?

Samia yeye apambane afanye ama aache legacy yake na sio kupambana na Magufuli.

Zitto ni mtu wa kumpuuza maana hakuna anaemsikiliza zaidi ya misukule yake ya ACT. Na hata hiyo misukule yake mingi haimuelewi.
Asinge tuambia tunajenga kwa pesa zetu za ndani
 
Mpira unaendelea walinda legacy bado wamepaki basi hapa huku wachafua legacy bado wanashambulia kwa kasi sana japo wapo mbele kwa magoli
 
Akili yake ngumu kama sura lake. Alikopa tulizuona zikifanya kazi. Eti nae anautamani urais. Huyu mtu ni mpumbafu sana
 
Tangu Samia achukue nchi, sisikii tena watu wakihama mjini kwa kushindwa maisha, sisikii watu wakiishi kwa mlo mmoja na kuunganisha breakfast na lunch, sisikii Kariakoo na kwingineko maduka yakifungwa kwa kukosa wateja, sisikii makampuni makubwa kama TBL yakipunguza wafanya kazi kwa mamia kama ilivyokuwa siku za nyuma.
Sisikii wafanyakazi wa serikali wakilalamika.
Kimsingi nchi inakwenda vizuri tofauti na mlivyotuaminisha kwamba asipokuwepo fulani kila kitu kita doda!
Kifupi maza anaupiga mwingii!
 
Bwana Zitto anasema Magufuli hakuwa mkweli na aliendesha miradi mikubwa kwa fedha za mikopo.

Kauli ya bwana Zitto ni muendelezo wa baadhi ya wanasiasa nchini kwetu kushindana na Maiti ya hayati Dr. Magufuli ingawa ukweli unaonekana wazi kuwa Maiti ya shujaa wetu ina nguvu kuliko watu hao walio hai.

Kauli ya bwana zitto inakuja ikiwa haijapita hata siku tatu tangu Samia aiseme kauli husika. This means kwa sasa Zitto na Samia wana jambo lao! Na probably jambo lenyewe ni kushindana na maiti ya Magufuli. Na definately mission yao ya pamoja ni ya kuifuta kabisa legacy ya Magufuli ndiyo maana juzi Zitto in advance alishare post ya Luqman Maloto akionesha ilivyofutwa legacy ya Rais wa Urusi. Hawafanyi bahati mbaya, they plan wakidhani hatuelewi.

Yes wanaweza kujaribu ila trust me ili legacy ya JPM ipotee labda binaadamu aanze kutembelea kichwa badala ya miguu.

Wanapanga kuifuta legacy ya Magufuli kwa kuwa Magufuli alipokuwa hai

1. Alishawafungua macho watanzania kuwa Taifa lao siyo masikini bali Tajiri ambalo linaweza kujiendesha lenyewe. Magufuli alizitumia ipasavyo rasilimali za Tanzania kuijenga Tanzania.

Uhalisia katika jambo hili ni kuwa kwa kuwa Samia hana guts za kudeal na mafisadi, wala rushwa na wahujumu uchumi anashirikiana na Zitto na baadhi ya wanasiasa kuichafua na kuifuta legacy ya Magufuli kwa lengo la kuhalalalisha kutafuta mikopo. Mbinu yao ni kwamba ili Samia akope tena sana ni lazima aoneshe kuwa Magufuli naye alikopa, tena siyo kukopa bali kukopa kwa makosa.

2. Magufuli kabla ya kutangulia mbele za haki alishawafungua macho watanzania kuhusu miradi isiyo na tija kwa Taifa.

Kwa hiyo ili kuruhusu uanzishwaji wa miradi hii ya kipumbavu yenye masharti ya kijingakijinga na isiyo na maslahi kwa Taifa kama ule wa Bandari ya Bagamoyo ambayo mmoja wa wapambe wake ni zitto ni lazima kuikwamisha maksudi miradi aliyoianzisha JPM kuwaonesha watanzania kuwa miradi ya Magufuli imekwama kwa kisingizio cha mikopo.

Itafakari kwa kina point namba mbili hapo juu kwa kuwaza yafuatayo;

i) Samia kaongea juzi kuhusu Magufuli kukopa
ii) Zitto kaongea jana kuhusu Magufuli kukopa na kuongeza kuwa Magufuli alikuwa Muongo
ii) Leo Taifa linajulishwa kuhusu development ya majadiliano ya mradi wa bandari ya Bagamoyo.

Hawa watu wanadhani watanzania ni wajinga na hawaelewi kinachoendelea.

Kwa lugha nyepesi ni wajibu wa kila mzalendo kuitetea Legacy ya JPM kwa gharama yoyote. Na wakati tukiendelea kuitetea Legacy ya jemedari wetu Samia aelewe kuwa watanzania wana mashaka na kifo cha Rais Magufuli hivyo aruhusu uchunguzi huru ili mashaka hayo yaondoke.

Mfano Bwawa la umeme lingepunguza gharama za umeme kwa wote linapigwa danadana.

Tunaambiwa tatizo ni crane, repairs. Zitaishi baada ta wiki.

SSH yuko kimya kuhusu jambo hili muhimu. Angetembelea hapo kila mwezi wahuni wangeacha kuzipiga.

Unamtoa mchapakazi Kalemani unamuweka mpiga dili Makamba of course kila kitu kitasimama. Kutakuwa na visingizio tu.
 
Bwana Zitto anasema Magufuli hakuwa mkweli na aliendesha miradi mikubwa kwa fedha za mikopo.

Kauli ya bwana Zitto ni muendelezo wa baadhi ya wanasiasa nchini kwetu kushindana na Maiti ya hayati Dr. Magufuli ingawa ukweli unaonekana wazi kuwa Maiti ya shujaa wetu ina nguvu kuliko watu hao walio hai.

Kauli ya bwana zitto inakuja ikiwa haijapita hata siku tatu tangu Samia aiseme kauli husika. This means kwa sasa Zitto na Samia wana jambo lao! Na probably jambo lenyewe ni kushindana na maiti ya Magufuli. Na definately mission yao ya pamoja ni ya kuifuta kabisa legacy ya Magufuli ndiyo maana juzi Zitto in advance alishare post ya Luqman Maloto akionesha ilivyofutwa legacy ya Rais wa Urusi. Hawafanyi bahati mbaya, they plan wakidhani hatuelewi.

Yes wanaweza kujaribu ila trust me ili legacy ya JPM ipotee labda binaadamu aanze kutembelea kichwa badala ya miguu.

Wanapanga kuifuta legacy ya Magufuli kwa kuwa Magufuli alipokuwa hai

1. Alishawafungua macho watanzania kuwa Taifa lao siyo masikini bali Tajiri ambalo linaweza kujiendesha lenyewe. Magufuli alizitumia ipasavyo rasilimali za Tanzania kuijenga Tanzania.

Uhalisia katika jambo hili ni kuwa kwa kuwa Samia hana guts za kudeal na mafisadi, wala rushwa na wahujumu uchumi anashirikiana na Zitto na baadhi ya wanasiasa kuichafua na kuifuta legacy ya Magufuli kwa lengo la kuhalalalisha kutafuta mikopo. Mbinu yao ni kwamba ili Samia akope tena sana ni lazima aoneshe kuwa Magufuli naye alikopa, tena siyo kukopa bali kukopa kwa makosa.

2. Magufuli kabla ya kutangulia mbele za haki alishawafungua macho watanzania kuhusu miradi isiyo na tija kwa Taifa.

Kwa hiyo ili kuruhusu uanzishwaji wa miradi hii ya kipumbavu yenye masharti ya kijingakijinga na isiyo na maslahi kwa Taifa kama ule wa Bandari ya Bagamoyo ambayo mmoja wa wapambe wake ni zitto ni lazima kuikwamisha maksudi miradi aliyoianzisha JPM kuwaonesha watanzania kuwa miradi ya Magufuli imekwama kwa kisingizio cha mikopo.

Itafakari kwa kina point namba mbili hapo juu kwa kuwaza yafuatayo;

i) Samia kaongea juzi kuhusu Magufuli kukopa
ii) Zitto kaongea jana kuhusu Magufuli kukopa na kuongeza kuwa Magufuli alikuwa Muongo
ii) Leo Taifa linajulishwa kuhusu development ya majadiliano ya mradi wa bandari ya Bagamoyo.

Hawa watu wanadhani watanzania ni wajinga na hawaelewi kinachoendelea.

Kwa lugha nyepesi ni wajibu wa kila mzalendo kuitetea Legacy ya JPM kwa gharama yoyote. Na wakati tukiendelea kuitetea Legacy ya jemedari wetu Samia aelewe kuwa watanzania wana mashaka na kifo cha Rais Magufuli hivyo aruhusu uchunguzi huru ili mashaka hayo yaondoke.
Zitto akazikwe na mzoga wa mama yake.Kwanza Ni mdini,mkabila,mgoni.Mpenda visasi.Yaan ni mchafu wa kila kitu.Akawe Rais wa kibondo .
 
Hawa manyang'au na huyo mzazi wao soon mapigo yatakuja juu yao na vizazi vyao wanafanya yote hao wakifikiri kuwa wana akili sana lakini wajue kila wanalopanga litavurugwa kwa aibu na MUNGU Hatawaacha hawa mbwa mwitu wachezee watu wake. Na hii project ya kuchafua alama za kiongozi wetu Mh. J.P.M ilianza tangu akiwa hai mtoa taarifa wao ndo huyo wanaemtumikia sasa hao akina kabwela nyepesi Hata hicho chama cha kijani wajiandae kuvurugwa wakimwachia huyo MBEA afanye anavyotaka siasa zake kwa watu wanaoona mbali ni hatari zaidi kwa SISIEMU muda utaongea
 
Pamoja kuwa ni kweli Zitto ni mchumia tumbo lakini kasema kweli tupu.
Hii nchi ina watu wengi wajinga,mfano ni wewe.
Mtu aliyenyamazisha kibabe uhuru waa habari na expression ili asifiwe yeye tu unamuona wa maana.
Sasa hivi uchafu wake unawekwa hadharani ili wajinga kama nyie mliokuwa mnalishwa propaganda mjue.
Ripoti za CAG hakuziandika Zitoo.
Poor u kiroboto
 
Legacy inajilinda yenyewe, wala haihitaji chawa.

Hao wanaojifanya wanaitetea legacy ya Magu, hawana lolote, kikubwa wanacho maanisha ni kumtishia mama, pia wanautisha mfumo usiwaguse kwakuwa nafasi zao wanazoshikilia zilitokana na Magufuli na watu wake.
Unaakili ndogo kama nyumbu
 
Kwa mara ya kwanza ndio nasikia maiti yenye nguvu kuliko walio hai naamini ingekuwa na huo uwezo ingejifufua
Kwani we huoni viroboto wanavyo hahaha kupambambana nae Amekufa kimwili kiroho yupo ndo maana amepata sauti za kujibu vinyago kama nyie
 
Alafu kumbuka ukitenda yaliyo mema hazitakuwepo nguvu yakulinda uliyoyatenda yatajilinda yenywe bila nguvu yoyote
Alitenda mema ila kuna viroboto kama wewe mmelipwa ili kuvuruga akili za wtz kwa sisi tunatetea mema yake maana hayupo na hatutegemei hisani yoyote maana hayupo kimwili
 
Pamoja kuwa ni kweli Zitto ni mchumia tumbo lakini kasema kweli tupu.
Hii nchi ina watu wengi wajinga,mfano ni wewe.
Mtu aliyenyamazisha kibabe uhuru waa habari na expression ili asifiwe yeye tu unamuona wa maana.
Sasa hivi uchafu wake unawekwa hadharani ili wajinga kama nyie mliokuwa mnalishwa propaganda mjue.
Ripoti za CAG hakuziandika Zitoo.
Je kama CAG kahongwa na wahuni wamchafue?
 
Back
Top Bottom