Kwani mkuu ukikopa utalipa kwa pesa gani kama sio pesa zako mwenyewe?Asinge tuambia tunajenga kwa pesa zetu za ndani
Huwezi kuyasikia hayo yote kwa sababu nchi inaongozwa kifisadi Sasa,Fedha za wizi zinafacilitate kila kitu watu hawafanyi kazi wanategemea madeal tuTangu Samia achukue nchi, sisikii tena watu wakihama mjini kwa kushindwa maisha, sisikii watu wakiishi kwa mlo mmoja na kuunganisha breakfast na lunch, sisikii Kariakoo na kwingineko maduka yakifungwa kwa kukosa wateja, sisikii makampuni makubwa kama TBL yakipunguza wafanya kazi kwa mamia kama ilivyokuwa siku za nyuma.
Sisikii wafanyakazi wa serikali wakilalamika.
Kimsingi nchi inakwenda vizuri tofauti na mlivyotuaminisha kwamba asipokuwepo fulani kila kitu kita doda!
Kifupi maza anaupiga mwingii!
Na ndicho kilichofanyika Kichere yeye mwenyewe anaonekana kutokuwa na amani ya kweli kwa jinsi alivyokubali kutumiwa na wahuniJe kama CAG kahongwa na wahuni wamchafue?
Kwani mkuu ukikopa utalipa kwa pesa gani kama sio pesa zako mwenyewe?
Kukopa maana yake umepewa pesa zako ambazo ungesubiri kuzikusanya kwa muda flani, mtu ama taasisi inajitokeza inakupatia halafu wewe utakusanya taratibu taratibu utalipa kwa riba kidogo
Mbona ni simple logic.
Kwani mkuu ukikopa utalipa kwa pesa gani kama sio pesa zako mwenyewe?
Kukopa maana yake umepewa pesa zako ambazo ungesubiri kuzikusanya kwa muda flani, mtu ama taasisi inajitokeza inakupatia halafu wewe utakusanya taratibu taratibu utalipa kwa riba kidogo
Mbona ni simple logic.
Pamoja kuwa ni kweli Zitto ni mchumia tumbo lakini kasema kweli tupu.
Hii nchi ina watu wengi wajinga,mfano ni wewe.
Mtu aliyenyamazisha kibabe uhuru waa habari na expression ili asifiwe yeye tu unamuona wa maana.
Sasa hivi uchafu wake unawekwa hadharani ili wajinga kama nyie mliokuwa mnalishwa propaganda mjue.
Ripoti za CAG hakuziandika Zitoo.
Uhuru wa habari una connection na mada.Bado hujaelewa mada iliyoko mbele yetu. Kinachoelezewa ni kuwepo kwa price tag mgongoni kwa Zito. Sasa wewe unaanza sijui habari za uhuru wa habari.