Kama Wewe ni Mwanaume halafu una hivi viashiria jua 100% umerogwa Kimahaba

Katika Font style ninayoipenda ni hii na sijui kama itatokea siku nitakuja kuibadili. Sasa kama Font yangu inakutesa na huwezi kusoma imekuwaje umeweza kujua nilichokiandika na umekuja kutoa hilo ombi lako?
Badilisha tu font mkuu, ashasema HAIMVUTII. Au unabisha na unakomaa ili tujue hajakuroga..??? Hahahahahahha. Unakuwa kma washkaji wababe wakiwa kitaa, ila akiwa kwa wife anakuwa mpole kichizi.
 
Kumbe na wewe unakula papuchi mkuu
9751ecaf9ba5d7b4c773f3fc0b1aeeb0.jpg

Ndio mkuu kwani mimi sio Binadamu au unadhani mimi Robot??
 
Back
Top Bottom