kama nakuona vile, mke afe ntazaa kwengine if nid arise
Either way bado ina uzito
Watoto zaidi ya 50 vs Mumeo!
bomu linalipuka baada ya dk 45 na mgonjwa kapoteza fahamu,afanyiwe upasuaji ili aseme bomu lilipo.ataamka muda upi? upasuaji dakika ngapi? hawi sedated?.....mgonjwa wa bomu acha tu afe kwani muda hauruhusu.ukimsaidia wa bomu dk 45 zitaishia kwenye upasuaji na mkeo atakufa na bomu litalipuka.
Kwahiyo maisha ya watoto zaidi ya 50 unayaweka hatarini mkuu?
nimejua ndio, na nadhan from that point ungenipata kuwa nlimaanisha ilibid umfanyie huyo gaidi sababu haiwezekani kumfanyia mkeo/mumeo
Huyo mgonjwa wa bomu unaweza kumfanyia upasuaji na akafa vile vile... the only soln ni kutoa watoto wote shule zote za chekechea haraka coz hata akipona na kusema liko sehemu fulani, ishu si kuwaondoa watoto tu? ama mtaanza kutoa na matofali na meza? watoto watolewe chekechea zote na mke atibiwe wakati kaz za kutoa watoto zikifanywa na wanajesh... huyo jambaz atakuwa next kama israel hajampitia...
Moja,kinachotkiwa hapa ni uamuzi sahihi na sio kingine
Pili,tangu aseme kuwa bomu litalipuka baada ya dakika 45 hadi amefikishwa hospital tayari muda unakwenda,utaweza kuwaondoa watoto kwenye shule zote kwa muda huo?
Inaonekana unaogopa utakachokiamua hapa binti!
Kama hapo hasomi mwanao?